Wako wapi Branch na Tala?

Frumence M Kyauke

JF-Expert Member
Aug 30, 2021
630
1,245
Ndugu zangu tunakumbuka kuwa Branch na Tala walikua wakichuana sana na kutupa mikopo ya papo kwa hapo kupitia simu yako ya mkononi. Wapo watu wengi walionufaika sana mikopo hiyo kwa namna tofauti. Ilifikia pahala Tala wakatuondokea bila taarifa yeyote ya kueleweka kitendo kilichotuumiza sana tuliokuwa wateja wao. Branch nao mpaka sasa hawaeleweki kuwa wanaotoa mikopo ama lah. Hii ni kwasababu wateja wa Branch waliokuwa wamekopa awali, wanadai kuwa kila wanaporejesha mikopo yao basi hawapewi tena wanapojaribu kuomba. Mpaka sasa hatujafahamu nini changamoto kubwa inayo kwamisha kampuni hizi mbili.
 
Airtel wananilazimisha wanikopeshe laki 2 kasoro nimewakatalia
 
Ndugu zangu tunakumbuka kuwa Branch na Tala walikua wakichuana sana na kutupa mikopo ya papo kwa hapo kupitia simu yako ya mkononi. Wapo watu wengi walionufaika sana mikopo hiyo kwa namna tofauti. Ilifikia pahala Tala wakatuondokea bila taarifa yeyote ya kueleweka kitendo kilichotuumiza sana tuliokuwa wateja wao. Branch nao mpaka sasa hawaeleweki kuwa wanaotoa mikopo ama lah. Hii ni kwasababu wateja wa Branch waliokuwa wamekopa awali, wanadai kuwa kila wanaporejesha mikopo yao basi hawapewi tena wanapojaribu kuomba. Mpaka sasa hatujafahamu nini changamoto kubwa inayo kwamisha kampuni hizi mbili.
Wameshazikusanya kutoka kwa wajinga so wako kufanya mengine 🏃🏃
 
Tatizo la hizi pesa zao wanakupa, ukitoa unakatwa tayari wameshapata faida, walitakiwa wakikupa ukitoa usikatwe,
Inabidi uwe na biashara yenye faida nzuri ndipo utanufaika..ukikopa Bila tar
Tatizo la hizi pesa zao wanakupa, ukitoa unakatwa tayari wameshapata faida, walitakiwa wakikupa ukitoa usikatwe,
Ni nzuri ukiwa na biashara yenye faida ya papo kwa papo..ukikopa Bila Target Ni balaa
 
Back
Top Bottom