Madeni ya TALA na Branch

nyakandula

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
1,035
2,000
Habar, nahitaji kujua madhara ya kutowalipa hawa tala na branch mkopo uliochukua, maana kuna jamaa yang anadaiwa na elfu 70 tala na laki moja branch na hajawalipa miez kadhaa imepita ila jamaa wanamtumia mesej za vitisho sana hadi namim naogopa kuwakopa ili nitokomee.

MADHARA GANI UTAYAPATA MAANA HATA WAO HAWAJAWEKA BAYANA AU KAMA USHAPATA HAYO MAAFA NIJUZE

Sent using Jamii Forums mobile app
Moja ya mesej ya kitisho
WEWE ENDELEA TU KUWA MKAIDI.WE NI MTU MZIMA UNASHINDWA KUJITUMA UNAAMUA KUJIPATIA KIPATO MTANDAONI KWA NJIA ZA KITAPELI.SI HAUTAKI KULIPA DENI.JIPE MASAA MACHACHE USHUHUDIE FEDHEHA ULIOJITENGENEZEA MWENYEWE. PESA YAKO HAINA THAMANI TENA KWETU MAANA UMETUPA HASARA KUBWA SANA TUPO TAYARI KUTUMIA GHARAMA ZAIDI YA PESA ULIOKOPA KUKUPATA NA KUKUFANYA WA MFANO KWA WOTE WENYE NIA KAMA YAKO ILI IWE FUNZO KWA WOTE ...TUMECHOSHWA NA UTAPELI WAKO!
 

Zesh

JF-Expert Member
Apr 27, 2017
15,027
2,000
Habar, nahitaji kujua madhara ya kutowalipa hawa tala na branch mkopo uliochukua, maana kuna jamaa yang anadaiwa na elfu 70 tala na laki moja branch na hajawalipa miez kadhaa imepita ila jamaa wanamtumia mesej za vitisho sana hadi namim naogopa kuwakopa ili nitokomee.MADHARA GANI UTAYAPATA MAANA HATA WAO HAWAJAWEKA BAYANA AU KAMA USHAPATA HAYO MAAFA NIJUZE

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna madhara wote wananidai ni miaka 2 sasa hakuna kitu kimetokea

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Surya

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
6,002
2,000
Habar, nahitaji kujua madhara ya kutowalipa hawa tala na branch mkopo uliochukua, maana kuna jamaa yang anadaiwa na elfu 70 tala na laki moja branch na hajawalipa miez kadhaa imepita ila jamaa wanamtumia mesej za vitisho sana hadi namim naogopa kuwakopa ili nitokomee.MADHARA GANI UTAYAPATA MAANA HATA WAO HAWAJAWEKA BAYANA AU KAMA USHAPATA HAYO MAAFA NIJUZE

Sent using Jamii Forums mobile app
huna shida wew, shida ikija utapata tu ujasir

Sent using Jamii Forums mobile app
 

laii

JF-Expert Member
Oct 10, 2016
674
1,000
Branch wako poa sana,na inatusaidia sana wa mkoani hukuu,binafsi nikikwama bati mbili,nachukua 80 yangu chapu..nikikwama petrol nachukua 40chap,nikikwama na kila nikikwama nakopa....ila mi ni mlipaji mzuri mnooo!Ukiwa umalipa utaenjoy ndugu kuliko riba ya hivi vimicrofinamce inayokaribia asilimia 75 ya mkopo uliochukua....

Sent using nokia ya tochi
 

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Jun 2, 2014
5,690
2,000
Hakuna madhara wote wananidai ni miaka 2 sasa hakuna kitu kimetokea

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mm hawa jamaa wananidai nilikopa laki moja kila siku wananitumia meseji za vitisho na wanapiga simu.
Mara ya mwisho juzi wamenitumia meseji iliyosomeka hivi.
"HABARI,HARVEST TANZANIA LTD NI WAKALA WA UKUSANYAJI MADENI KWA NIABA YA TALA,TUMEPOKEA TAARIFA ZAKO KWAMBA UMESHINDWA KULIPA MKOPO WAKO KWA WAKATI. KAMA WAKALA WENYE DHAMANA TUNAKUKUMBUSHA UFANYE MALIPO YAKO LEO HII KABLA YA KUKUCHUKULIA HATUA KALI KISHERIA.MALIPO YOTE YAFANYIKE TALA".
Je hii kitu Ina ukweli au ni mikwara tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom