Siafu na Manga
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 2,894
- 8,975
Ukitaka kupiga pesa nchi hii.
Wewe zungumzia Masuala ya afya hususani nguvu za kiume [emoji16][emoji16], na afya kiujumla utapiga pesa balaa.
Kingine wewe anza kuhubiri na uwe na kipawa cha miujiza utapiga pesa sana.