Wako wapi akina Dr Ndodi,Nikiza,Fiterawa...nk

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,825
9,528
Hawa waganga wa jadi walijitwalia umaarufu sana kwenye runinga zetu pendwa wakinadi dawa zao za kienyeji...wenyewe wakiziita tiba mbadala...hivi wamepotelea wapi?...ni kwamba biashara imeshawalipa vya kutosha sasa wanakula faida?
 
Ndodi na Dr. Mwaka na wengine!
Dawa zao zilinadiwa kuvuka kwenda Uarabuni.

Hiyo ilikuwa fursa iliyotumika kusafirisha madawa ndani ya makopo ya dawa zao enzi za Jakaya.

Walitajirika wengi sana.
 
Yule wa pale bungoni dr.mwaka karudi saa hivi anapiga kazi kama kawaida

Back
Top Bottom