Wako wapi akina Dr Ndodi,Nikiza,Fiterawa...nk

Wako wapi akina Dr Ndodi,Nikiza,Fiterawa...nk

Wameshatajirika sana wale. Ndodi ndiye kapiga sana kwakuwa yeye ndiye alikuwa mwanzilishi wakaanza kufurika akina fiterawa, foreplan nk
 
Kwa sasa naona serikali imekaa kimya hamfuatilii tena labda kashatumiza masharti ya kiserikal au kashamhonga mwenye mkoa wake
Ila sio kama zamani alipochungulia sana p.a.p.u.*.h* za -ke ilhali hawatibiwi kikweli...
 
Mamlaka husika zilichelewa sana kuwafukuza wameacha madhara makubwa sana kwenye jamii mojawapo ni UTI walianzisha wao ugonjwa huu haupo, upo kwa aina tafauti si kama walivyokuwa wanautangaza wao, kwa sahihi unaweza kita GENITOURINALY SYSTERM INFECTION na upatikanaji wake siyo vile walivyokuwa wanatangaza wao.
 
Ndodi kafutuka mishavu hiyo,kitambi kama kipipa changu chakuhifadhia maji.Kipindi kile yy alikuwa anahubiri balance diet wakati yy mwenyewe haifuati,ila nchi hii waongo waongo wanatusua ,nasikia Kinyerezi Ndodi ana hekalu.
 
Ndodi kafutuka mishavu hiyo,kitambi kama kipipa changu chakuhifadhia maji.Kipindi kile yy alikuwa anahubiri balance diet wakati yy mwenyewe haifuati,ila nchi hii waongo waongo wanatusua ,nasikia Kinyerezi Ndodi ana hekalu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2958]
 
Walimalizwa na kikombe cha babu ingawa hata babu nae kimyaaa
 
Siku hizi wapo kwenye mabasi.Panda gari za Bukoba Mwanza wamejaa kibao.Ila nimecheka Sana.Bongo tunakwenda kwa upepo Sana.
Hivi hawa waganga hawezi kusaidia Stars huko Misri na tiba zao za matunda na mbogamboga?.
 
Hawa waganga wa jadi walijitwalia umaarufu sana kwenye runinga zetu pendwa wakinadi dawa zao za kienyeji...wenyewe wakiziita tiba mbadala...hivi wamepotelea wapi?...ni kwamba biashara imeshawalipa vya kutosha sasa wanakula faida?
Wagonjwa wamepona wote
 
Wanakula Maisha mkuu baada ya kuzizoa za akina sisi.
Wazee wa kikombe cha babuuu.[emoji478][emoji478]
 
Back
Top Bottom