Wakinga kwa fasheni hawajambo

[emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] hapana hapo nawasifia, kwanza nimetoka kumwambia Nazjaz kua chips za 1000 hamalizi
Naona unazidi kujitetea ili upate mkate. Huogopi kurogwa[emoji13] [emoji13]
 
Yeye mwenyewe alikuwa masikini,usiamini waganga ndugu nao wanasaka pesa,tafuta pesa kuwa bahili mbona utazipata.
Mwakipande amekufa akiwa tajiri mkubwa. Nasikia ana apartments kibao Masaki na Mbezi Beach
 
Kwa taarifa nilizozikuta ni kua sisi tulikua A level wa pili, wa kwanza walikua 25, mmoja wapo ni huyu Goodluck Gosbert, muimbaji.
Ok hata sijui hio A level ilianza lini.
 
Mwakipande amekufa akiwa tajiri mkubwa. Nasikia ana apartments kibao Masaki na Mbezi Beach
Nani amekudanganya (No reseach no right to speak),amefia Makete hakuna cha maana.
Wajinga ndio waliwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…