Wakinadada tuache kuomba hela, inawezekana?

Wakinadada tuache kuomba hela, inawezekana?

Hayo ni mawazo local sana, if we are in relationship y shud i b th only one paying for ts expense while we enjoy equally,if so then i will juc dump u on the way n for something better once t comes across
Buuana sisi ni watanzania. Unaondoa radha ya siledi buana
 
Wanawake wetu wengi ndio akili zao zimegota hapo kwenye kupiga mizinga! Unakuta binti muda wote yupo Snapchat Au instagram kuposti vipicha vya uchi na kujibinua makalio. Afu hii Mitandao ya jAmii imerahisisha sana hii biashara ya kujiuza kwa hawa madada zetu wa Mujini.
Ha ha ha ha
 
Tatizo linakuja pale unapogeuka kuwa matonya Mkuu.

Leo umeomba nimekupa kilo 3 umeenda...kesho tena unataka ile ya Jana ulipeleka wapi unakuta huna majibu ya kujitosheleza. Lazima usemwe.

Pia kitu kingine sio kwamba wanaume wote ni hawatoi pesa tunapenda sana sema wanawake nyie sio watu wazuri kabisa unakuta unampa hela na yeye anaenda kuhonga kimchepuko chake huko.

Kwa upande wangu mpenzi wangu kila siku lazima nimpe 50 elfu ingawa ana kazi yake. Nafanya hivyo kwa sababu ni jukumu langu kama mwanaume kumhudumia mpenzi wangu.
Nimeipenda iyo kila siku unampa elf 50
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyo aliona amegegedwa na ATM ya CRDB Ila kuna wadada wako vizuri looh!!
[emoji28][emoji28]
 
Wew nilikufuata Pm ukanichunia, nikaangukia kwenye ID ya mizinga, anataka kuniuzia papuchi kwa lk 7. Wakati siku hiyo ya kwanza analia eti utamuu hajawah kukunwa namna hiyo, nilimzamia chumvini kama dk 30 mtoto akawa hoi kidogo apoteze fahamu, kwa utamu aliopata alitakiwa anilipe mim sio mim kumlipa.
[emoji28][emoji28]
 
Hivi unavyomtongoza mtu si unamkuta kapendeza mpk ww kakuvutia kuwa nae unatakiwa ujiongeze tu kwa manzi sio lazma akuombe we mpe tu hela sema kuna wanaume wengne wakavu unaweza wala usiwe unamwomba na yy anauchuna ila siku ya siku ukimpa kizinga kikubwa analialia we toa helaa
 
Back
Top Bottom