Wakinadada tuache kuomba hela, inawezekana?

Wakinadada tuache kuomba hela, inawezekana?

eti wanaume wanadai hatudumu nao kwenye mahusiano maana tunawapiga sana miamala ya mpesa ,tigopesa nk.
acheni visingizio jamani,Mungu anawaona.mbona sisi tunawapenda tu.hela kidogo tu ndo mnachukia jamani? kweli mwanamke nikupende,nikuheshimu,nikithamini,nikujali nikupe tunda kumbe mnatuponda hivo kisa elf 50 kwa week/mwezi .nyie mnakunywa bia ngapi kwa mwezi? zinawapa nini? acheni hizo .hata nikija kuingia kwenye mahusiano rasmi sijui kama nitaweza kukaa bila kupewa vijisenti sijui
Inakera, mwngine huo mzinga utafikiri ni deni mnadaiana.
 
Mwanamke hata asipokuomba, nafsi inakusuta inabidi tu umpee. Utakuta ni yeye kakusumbua , Nina hamu baby, unamwambia basi nakuja , ukimaliza kazi yenu , unaingia mfukoni kumpa chochote.
Mimi nikikaa mda mrefu kidogo sijamtumia hela najiona kama nakwepa majukumu vile, ila sijui ni kwanini.
ubarikiwe sana
 
Thats how we call it gentleman
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
Mkiweza kuacha kuomba ela basi nitaamini kila kitu kinawezekana!! Najua hamuez
 
Hahahahah ....Its better for a man to be stingy with his money because he hustled for it than a woman to deny you a hole she did not drill.
 
Wanawake wetu wengi ndio akili zao zimegota hapo kwenye kupiga mizinga! Unakuta binti muda wote yupo Snapchat Au instagram kuposti vipicha vya uchi na kujibinua makalio. Afu hii Mitandao ya jAmii imerahisisha sana hii biashara ya kujiuza kwa hawa madada zetu wa Mujini.
 
eti wanaume wanadai hatudumu nao kwenye mahusiano maana tunawapiga sana miamala ya mpesa ,tigopesa nk.
acheni visingizio jamani,Mungu anawaona.mbona sisi tunawapenda tu.hela kidogo tu ndo mnachukia jamani? kweli mwanamke nikupende,nikuheshimu,nikithamini,nikujali nikupe tunda kumbe mnatuponda hivo kisa elf 50 kwa week/mwezi .nyie mnakunywa bia ngapi kwa mwezi? zinawapa nini? acheni hizo .hata nikija kuingia kwenye mahusiano rasmi sijui kama nitaweza kukaa bila kupewa vijisenti sijui
Na nyinyi muwe mnatupa bwana.kweni utamu tunasikia sisi peke yetu?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Jamani umenifurshisha sana, kama ulienda ukajionesha uko vizuri angefanyaje zaidi kukuuzia kwa Lk 7. Njoo kwangu nitakupa bureeeeee malipo yako unifikishe tu basi inatosha.

Daaah...hii bahati ya mtende. I wish i were him...ha ha
 
Wakati mwingine mnazidi, ndio maana nimeacha kabisa habari ya michepuko sitaki hata kusikia. Kuna kabinti tena humu humu Jf tumeingia PM tumejadili yetu tukapeana namba kisha tukaonana. Siku ya kwanza tulipokutana , nilimuona binti mzuri sana na mstaharabu, tumwekwenda lodge kugegedana, tumemaliza nikampa 50 kwa usawa hu hu wa Magufuli kwa sababu alinifurahisha kwa uzoefu wake. Tukaachana kila mmoja na njia yake tukaidiana weekend nyingine.

Ndani ya siku 2 Mara oh mpenzi simu yangu Sijui imeanguka kwenye maji sasa sina simu hii natumia ya Dada yangu, alafu pia kuna shughuli ya rafiki yangu nahitaji nguo na zawadi za kumpa. Nikamwambia kuhusu simu ninazo 2 nitakupa yangu 1 ya Tecno C8.. Oh baby simu hizo mbaya naomba Pesa nikanunue, haya bei gani laki sita, yaani alihitamka kirahisi rahisi tu, Pesa ya shughuli laki 1 jumla laki saba. Unanitumia saa ngapi my hubby.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilicheka mwenyew kisha nikablock hapo hapo. Kanipigia kwa namba nyingine baby kwani....... Nikamwambia subiri utongozwe na CRDB au NBC tena ukome kunitafuta. Kanitumia msg za kuomba msamaha alipoona sijibu chochote akaanza kutukana naangalia tu, nafuta. Nina wiki sasa hatumi tena. Nikitazama ID yake nacheka tu, wanawake hawa, yaani ninunue papuchi kwa laki 7 wakati nikiende pale Mwananyamara nachagua papuchi nayotaka kwa 2000. Yaani 10000 nakula papuchi 5 kwa wakati mmoja.
😛😀😀
 
Tafuta zako mama!vyakupewa siku zote vinakuja na outcome....kama anataka kukupa atakupa tu bila ww kuomba kwani hajui ka una mahitaji.Wengine mnaomba ka deni unataka ulipwe loh!!
Nimekupenda bureeeeee. A real gentleman huwa anajiongeza mwenyewe. Akiona minywele timutimu au uso umekauka Kama mchangaya zege lazima akupe tu ata ya kunua mafuta. Sasa li mwanamke linaomba hela Kama ugonvi mpaka unakosa raha. Yaani ukiona simu yake inaingia mpaka mapigo ya moyo yanabadirika
 
Kwa hiyo atakuwa ameshatupia jicho hapa..teh!!! Kwa kweli mtu anayenunua uchi kwa gharama kubwa hivyo (laki saba) ni mjinga tu. Ukute unaishi kwa kuunga unga, huna hata asset yoyote lakini kila siku unagawa pesa kwa wapita njia.
Ha ha ha
 
Wew nilikufuata Pm ukanichunia, nikaangukia kwenye ID ya mizinga, anataka kuniuzia papuchi kwa lk 7. Wakati siku hiyo ya kwanza analia eti utamuu hajawah kukunwa namna hiyo, nilimzamia chumvini kama dk 30 mtoto akawa hoi kidogo apoteze fahamu, kwa utamu aliopata alitakiwa anilipe mim sio mim kumlipa.
Ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom