Wakinadada tuache kuomba hela, inawezekana?

Wakinadada tuache kuomba hela, inawezekana?

date aguy with money all mens are not faithfull its better your heart to be broken in dubay than some were in semtema nimeikopy tu mmeamkaje

hii point! a cry in a BODA BODA is not equal to that in a ..BENZZZZZZ
 
Linah aliwaimbia ule wimbo wa MALKIA WA NGUVU naamini ukifuata ushauri ule hauta kaa kumuomba mwanaume hela hata shilingi moja.. Mjishughulishe na ujasiliamali, hicho mnachokitunza kwenye chupi zenu msikifanye ndio kitega uchumi chenu.
 
Kwani sisi wanaume ndio wenye pesa kuliko nyie wanawake? ? Ebu tuhurumieni jamani tunashindwa hata kuwatongoza kwa sababu iyo asee mnatukwaza kwa kweli
 
Sijui wanaume mkoje, wewe ndio unashida unataka mkutane na binti ukamgede hata bei ya chupi aliovaa hujui bei, na unataka aje na nauli yake, na wewe moyoni unajua kabisa hauna mpango wa kumuoa alafu akikuomba pesa mnachukia , sasa apate pesa wapi ya Kuja kukuhudumia bure bure kila kitu ni gharama, kulala mnataka mkalale guest sio nyumbani kwako.
correction mnagegedana either uchague kuweka bei au bure ijulikane,usipogegedwa huvai chupi?chupi inasitiri papuchi kwa hyo hakuna uhusiano,bora ungesema hata sabuni maan utatoa jasho na papuchi itachafuka!
 
Wakati mwingine mnazidi, ndio maana nimeacha kabisa habari ya michepuko sitaki hata kusikia. Kuna kabinti tena humu humu Jf tumeingia PM tumejadili yetu tukapeana namba kisha tukaonana. Siku ya kwanza tulipokutana , nilimuona binti mzuri sana na mstaharabu, tumwekwenda lodge kugegedana, tumemaliza nikampa 50 kwa usawa hu hu wa Magufuli kwa sababu alinifurahisha kwa uzoefu wake. Tukaachana kila mmoja na njia yake tukaidiana weekend nyingine.

Ndani ya siku 2 Mara oh mpenzi simu yangu Sijui imeanguka kwenye maji sasa sina simu hii natumia ya Dada yangu, alafu pia kuna shughuli ya rafiki yangu nahitaji nguo na zawadi za kumpa. Nikamwambia kuhusu simu ninazo 2 nitakupa yangu 1 ya Tecno C8.. Oh baby simu hizo mbaya naomba Pesa nikanunue, haya bei gani laki sita, yaani alihitamka kirahisi rahisi tu, Pesa ya shughuli laki 1 jumla laki saba. Unanitumia saa ngapi my hubby.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilicheka mwenyew kisha nikablock hapo hapo. Kanipigia kwa namba nyingine baby kwani....... Nikamwambia subiri utongozwe na CRDB au NBC tena ukome kunitafuta. Kanitumia msg za kuomba msamaha alipoona sijibu chochote akaanza kutukana naangalia tu, nafuta. Nina wiki sasa hatumi tena. Nikitazama ID yake nacheka tu, wanawake hawa, yaani ninunue papuchi kwa laki 7 wakati nikiende pale Mwananyamara nachagua papuchi nayotaka kwa 2000. Yaani 10000 nakula papuchi 5 kwa wakati mmoja.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyo aliona amegegedwa na ATM ya CRDB Ila kuna wadada wako vizuri looh!!
 
Back
Top Bottom