[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mapigo ya moyo yanaongezekaNimekupenda bureeeeee. A real gentleman huwa anajiongeza mwenyewe. Akiona minywele timutimu au uso umekauka Kama mchangaya zege lazima akupe tu ata ya kunua mafuta. Sasa li mwanamke linaomba hela Kama ugonvi mpaka unakosa raha. Yaani ukiona simu yake inaingia mpaka mapigo ya moyo yanabadirika