Wakinadada tuache kuomba hela, inawezekana?

Wakinadada tuache kuomba hela, inawezekana?

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,122
Reaction score
52,866
Eti wanaume wanadai hatudumu nao kwenye mahusiano maana tunawapiga sana miamala ya mpesa ,tigopesa nk. Acheni visingizio jamani, Mungu anawaona. Mbona sisi tunawapenda tu, hela kidogo tu ndo mnachukia jamani?

Kweli mwanamke nikupende, nikuheshimu, nikithamini, nikujali, nikupe tunda halafu unaniponda hivo kisa elf 50 kwa week/mwezi? Nyie mnakunywa bia ngapi kwa mwezi? Zinawapa nini?

Acheni hizo, hata nikija kuingia kwenye mahusiano rasmi sijui kama nitaweza kukaa bila kupewa vijisenti.
 
ili usiombe ,inabidi utafute zako ,inawezekana kutoka kwenye huo utumwa wa kupewa .''Our life is what our thoughts make it''
 
Wanawake wa mwendokasi bhana wanawaza tu kwa mwendokasi kupewa pesa za mwendokasi. Tafuta zako, rahisisha maisha zitakutosha tu ila UKIOLEWA ni ruksa kuhudumiwa.
 
Tatizo ni pale wanawake wanapo ona kuwa eti kwenye relation wao wapo kama kutusaidia, wakati mapenzi ni kitu ambacho wote kwanza tuna ki hitaji, ukisema umenithamini na mimi si nna kuthamini!!? Wakati wa kunipa tunda si wote tunaenjoy!!?
Kwa hiyo wewe kuwa mpenzi wangu si bidhaa kusema ni kununue, na wala si msaada kusema uwe na masharti. Sote ni wapenzi sote tunafurahia penzi.
Hivo tuvumiliane tuu.

*ila mwanaume na wewe sio sasa ndo ubahili kila siku, watakusaidia wenzio, wapenzi wetu wenyewe ndo type hizi, ukiwa nazo toa, usipo kuwa nazo sema ili mvumiliane, kina dada na nyie tukiwa makapuku kuweni waelewa basi khaa!!
 
Kama kuna mtu aliangalia mambo na vijambo jana anaweza nisaidia kuweka ka clip ka yule jamaa alieenda na duu hotelini ni jibu tosha la hii mada,
 
eti wanaume wanadai hatudumu nao kwenye mahusiano maana tunawapiga sana miamala ya mpesa ,tigopesa nk.
acheni visingizio jamani,Mungu anawaona.mbona sisi tunawapenda tu.hela kidogo tu ndo mnachukia jamani? kweli mwanamke nikupende,nikuheshimu,nikithamini,nikujali nikupe tunda kumbe mnatuponda hivo kisa elf 50 kwa week/mwezi .nyie mnakunywa bia ngapi kwa mwezi? zinawapa nini? acheni hizo .hata nikija kuingia kwenye mahusiano rasmi sijui kama nitaweza kukaa bila kupewa vijisenti sijui

Kupewa vijisenti ni sawa ila wengine hadi mnaomba kwa ajili ya wadogo zenu wazazi na kadhalika,wengine hadi ada,sasa mzazi wako anakupeleka hakupi ada?unadaiwa hostel hajakulipia?huna hela ya kula chuo mzazi wako hana taarifa?ana expect uishije?uuze papuchi?mimi binti yangu nikimpeleka chuo atapata all basic neccesities plus hela ya ka luxury kidogo,the only problem mliyonayo sio hela kidogo,u want a lot of cash,and the desire for something more will always land you into trouble,afu nyie hata mkiwa na kazi unalipwa mshahara 3 times my salary untaka tu upewe,badilikeni bana!
 
date aguy with money all mens are not faithfull its better your heart to be broken in dubay than some were in semtema nimeikopy tu mmeamkaje
Usipende kukopi sana Mkuu.

Unakuta kitu kina makosa kibao na wewe unachukua vivyo hivyo unaonekana mzembe sana!
 
Back
Top Bottom