Wakinadada tuache kuomba hela, inawezekana?

Wakinadada tuache kuomba hela, inawezekana?

Sijui wanaume mkoje, wewe ndio unashida unataka mkutane na binti ukamgede hata bei ya chupi aliovaa hujui bei, na unataka aje na nauli yake, na wewe moyoni unajua kabisa hauna mpango wa kumuoa alafu akikuomba pesa mnachukia , sasa apate pesa wapi ya Kuja kukuhudumia bure bure kila kitu ni gharama, kulala mnataka mkalale guest sio nyumbani kwako.
 
Tatizo linakuja pale unapogeuka kuwa matonya Mkuu.

Leo umeomba nimekupa kilo 3 umeenda...kesho tena unataka ile ya Jana ulipeleka wapi unakuta huna majibu ya kujitosheleza. Lazima usemwe.

Pia kitu kingine sio kwamba wanaume wote ni hawatoi pesa tunapenda sana sema wanawake nyie sio watu wazuri kabisa unakuta unampa hela na yeye anaenda kuhonga kimchepuko chake huko.

Kwa upande wangu mpenzi wangu kila siku lazima nimpe 50 elfu ingawa ana kazi yake. Nafanya hivyo kwa sababu ni jukumu langu kama mwanaume kumhudumia mpenzi wangu.
 
Tatizo ni pale wanawake wanapo ona kuwa eti kwenye relation wao wapo kama kutusaidia, wakati mapenzi ni kitu ambacho wote kwanza tuna ki hitaji, ukisema umenithamini na mimi si nna kuthamini!!? Wakati wa kunipa tunda si wote tunaenjoy!!?
Kwa hiyo wewe kuwa mpenzi wangu si bidhaa kusema ni kununue, na wala si msaada kusema uwe na masharti. Sote ni wapenzi sote tunafurahia penzi.
Hivo tuvumiliane tuu.

*ila mwanaume na wewe sio sasa ndo ubahili kila siku, watakusaidia wenzio, wapenzi wetu wenyewe ndo type hizi, ukiwa nazo toa, usipo kuwa nazo sema ili mvumiliane, kina dada na nyie tukiwa makapuku kuweni waelewa basi khaa!!

Toa toa hela kaka!!
 
kwani wakati wa kepeana mambo utamu tunasikia wenyewe?Dada tuonee huruma
umejibiwa[emoji116] [emoji116] hapo
Sijui wanaume mkoje, wewe ndio unashida unataka mkutane na binti ukamgede hata bei ya chupi aliovaa hujui bei, na unataka aje na nauli yake, na wewe moyoni unajua kabisa hauna mpango wa kumuoa alafu akikuomba pesa mnachukia , sasa apate pesa wapi ya Kuja kukuhudumia bure bure kila kitu ni gharama, kulala mnataka mkalale guest sio nyumbani kwako.
 
Tatizo linakuja pale unapogeuka kuwa matonya Mkuu.

Leo umeomba nimekupa kilo 3 umeenda...kesho tena unataka ile ya Jana ulipeleka wapi unakuta huna majibu ya kujitosheleza. Lazima usemwe.

Pia kitu kingine sio kwamba wanaume wote ni hawatoi pesa tunapenda sana sema wanawake nyie sio watu wazuri kabisa unakuta unampa hela na yeye anaenda kuhonga kimchepuko chake huko.

Kwa upande wangu mpenzi wangu kila siku lazima nimpe 50 elfu ingawa ana kazi yake. Nafanya hivyo kwa sababu ni jukumu langu kama mwanaume kumhudumia mpenzi wangu.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] wewe huyoo...
umemkimbia babu kule...!
 
Alaf wadada wanaonekana huwa kutuboom si kwamba hawana akiba no wanafanya uwekezaji tu
 
ka staili hii sishangai mwanamke kuwa na wanaume zaidi ya kumi kwa kigezo cha kujikusanyia miamala kote kote kwa staili hii utu wa mwanamke unashuka kila siku hasa mwenye tabia hizi chafuuuu kabisa
 
Sijui wanaume mkoje, wewe ndio unashida unataka mkutane na binti ukamgede hata bei ya chupi aliovaa hujui bei, na unataka aje na nauli yake, na wewe moyoni unajua kabisa hauna mpango wa kumuoa alafu akikuomba pesa mnachukia , sasa apate pesa wapi ya Kuja kukuhudumia bure bure kila kitu ni gharama, kulala mnataka mkalale guest sio nyumbani kwako.

Sikuwahi kujua kama wanawake hamna shida ya kugegedwa.
 
eti wanaume wanadai hatudumu nao kwenye mahusiano maana tunawapiga sana miamala ya mpesa ,tigopesa nk.
acheni visingizio jamani,Mungu anawaona.mbona sisi tunawapenda tu.hela kidogo tu ndo mnachukia jamani? kweli mwanamke nikupende,nikuheshimu,nikithamini,nikujali nikupe tunda kumbe mnatuponda hivo kisa elf 50 kwa week/mwezi .nyie mnakunywa bia ngapi kwa mwezi? zinawapa nini? acheni hizo .hata nikija kuingia kwenye mahusiano rasmi sijui kama nitaweza kukaa bila kupewa vijisenti sijui
Miss natafuta kwenye ubora wake wa kutafuta [emoji85] [emoji85] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji100] [emoji100] [emoji100]
 
date aguy with money all mens are not faithfull its better your heart to be broken in dubay than some were in semtema nimeikopy tu mmeamkaje
a guy
men
faithful
dubai
somewhere

Najua ume-copy ila mimi nimeamua kufanya editing.
 
Back
Top Bottom