Wakinadada tuache kuomba hela, inawezekana?

Wakinadada tuache kuomba hela, inawezekana?

Haahah hawajiulizi tunawapa vingapi sisi
Hivy vijisent ndio wanalalamikia
M mwanaume w hivy sitak anisogeleee kbisaaaa
[emoji87]
Tunapena bhana, sio mnatupa tuu
Mbona huwa mna jihisi kama nyie mnatoa sanaaa!
 
Unanikoshaga n comments zako hapo mwisho nimefurah
Kuna wanaume wengine kutoa hata hela ya nauli mpaka akupe umeongea kila aina y sentes
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Au huwa unamuomba indirect we mwambie "naomba nauli"

Mi kutoa hela huwa ina uma, ila kwa kuwa dada zetu wa kibongo nawajua ndo bas tena, sa ntafanyaje
 
Eti mmefika mahala.. Mnatuambia. ".. Mauwa tuwapelekee nyuki , nyie pesa tuu.. ".. Nalichukia hilo neno... NAOMBA HELA..... si nikaushie ntakupa mwenyewe..... Yaani wadada ni kuomba hela kwa kwenda mbele kama mmeambiana vile..... [emoji114][emoji114][emoji114]
 
Hivi unavyomtongoza mtu si unamkuta kapendeza mpk ww kakuvutia kuwa nae unatakiwa ujiongeze tu kwa manzi sio lazma akuombe we mpe tu hela sema kuna wanaume wengne wakavu unaweza wala usiwe unamwomba na yy anauchuna ila siku ya siku ukimpa kizinga kikubwa analialia we toa helaa
Shunie bhana si ungeniambia toka mwanzo mamii?
 
Thats how we call it gentleman
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
I think ni tamaduni zetu, kwamba majukumu ya kuhudumia mwanamke ni ya mwanaume. I learnt from my brother, yeye na mke wake wakitoka hata kama mwenye hela ni mke wake, mke atampa kwa kificho alipe bili ya watu ili ionekane aliyelipa ni mwanaume.
 
Back
Top Bottom