Wakina Mama kuweni makini na kuchangia simu zenu na Binti zenu, akina Baba kuweni na utu

Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
32,196
33,861
Nilikuwa sehemu kwa mafundi umeme wa magari Kinondoni, nimesikitika kumsikia baba mmoja akimsimulia rafiki yake kuwa anatembea na mama mmoja wa binti waliyeshindana kimahusiano in other words amechanganya mama na mwana kimapenzi.

Kisa ni kwamba siku moja binti alimpigia simu mwanaume wake kwa kutumia simu ya mama yake baada ya simu yake kutokuwa na salio, miaka kadhaa baada ya binti kukata mahusiano na mawasiliano na huyo mwanaume, mwanaume akatuma fedha kwenye namba ya mama wa binti kwa namba nyingine isiyofahamika na yule binti na baada ya muda mfupi kujifanya alikosea alitaka kutuma kwa mkewe ati namba zinaelekeana.

Hicho kikawa chambo kwa yule mama na mwisho wa siku wakaanzisha mahusiano na mama mtu na anaendelea naye mpaka sasa.

Natoa wito kwenu wamama kutowaacha binti zenu kutumia simu zenu kuwasiliana na watu msiowafahamu, nanyi kinababa wenzangu tujitofautishe na wanyama kulinda utu wetu, siyo kitendo chame kuingia kwa mama wakati umetoka kwa mwanaye.

Mungu akinusuru kizazi hiki.
 
Kizazi cha Snake ....Lucifer....Ogopa.
Kuna Wengine Wakikutana na Sir God Watamuomba Wawe kuni Wa Ule Moto.
 
Acha waliwe tu,ni viherehere vyao.

Halafu unajifanya mtu mwingine kumbe ni wewe mwenyewe. Hebu tupe kuhusu ladha za papuchi. Ipi ilikuwa murua kati ya mtoto na mama mtu??
Nahisi ndiwe ulikuwa ukimsimulia yule jamaa yako mwenye ndevu kama kavaa wigi mdomoni
 
Hii mbona kawaida Sana mkuu? Njoo huku Maneromango, rukhsa kuoa mama na mwana
 
Nilikuwa sehemu kwa mafundi umeme wa magari Kinondoni, nimesikitika kumsikia baba mmoja akimsimulia rafiki yake kuwa anatembea na mama mmoja wa binti waliyeshindana kimahusiano in other words amechanganya mama na mwana kimapenzi.

Punguza wivu mjuba...
 
Nahisi ndiwe ulikuwa ukimsimulia yule jamaa yako mwenye ndevu kama kavaa wigi mdomoni
Uwe makini, kuna siku mjuba atapita na wote watatu, wewe, mama na mwana Atakuja atusimulie amazing flavour na style ipi ni konki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…