Uhusiano wa Vijana na Mama zao sikuhizi unamweka Baba mahali pabaya sana

Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
26,109
34,068
Habarini Wadau,

Sikuhizi kumekuwa na tabia flani mbaya sana ya Wamama waliopo katika ndoa kuwakumbatia Watoto na kuwaeleza au kuwaonesha madhaifu ya Baba zao

Nina mifano mingi sana ya aina ya Wamama hao, hasa kama Baba yupo mbali kiutafutaji, Mwanaume anajitahidi kutafuta pesa za matumizi ya familia, ada za Watoto n.k lakini Mama haoni hayo, na Mara nyingine ukimtumia mama pesa kwaajili ya Watoto labda za nguo au ada, anawaambia ni yeye ndiye aliyetoa

Hiki kitu kisaikolojia kinawafanya Watoto tangu wakiwa wadogo waone kama Baba zao hawajali na wanaanza kumchukia Baba mpaka wanakuwa wakubwa, na mbaya zaidi kama Baba anakunywa pombe hata kiasi tu atasemwa vibaya mno

Kwa Mkoa wa Kilimanjaro juzi kulikuwa na kikao flani cha wazazi (kwa ajenda tofauti) Ila Baba mmoja akaleta hoja hii ya kuwa sikuhizi Wanaume tunasomesha Watoto na kuwasaidia lakini wakipata kazi au biashara huko hawatupigii simu sis hatavkutujulia hali na wakija wanaishia kuonana na mama zao na kuwapa chochote

Hii sumu kwa sehemu kubwa inatengenezwa na Wanawake / Wamama

Wanawake kuweni makini katika ukaribu wenu na Watoto wa kiume kwa wa kike, msiwaseme vibaya Waume zenu mbele ya Watoto.
 
Tulipoifikisha dunia ndiyo hapo, anayetaka kuchomoka ni (mke) yule aliyeamua kujishusha na kila analofanya anajiona ni yeye.

Nimewahi kusoma kitabu flani kuhusu tabia ya mwanamke na huruja zake, ukweli unaouma ni kuwa mwanamke hawezi kuacha tabia yake ya asili toka pale Eden labda, nasema labda umkute aliyekwisha vunjwa vunjwa na Yesu Kristo.

Yule ambaye anaona mwiba mmoja mguuni pake lakini anaenda kumsaidia mwenzake alichomwa na miiba zaidi yake.

Lakini nawasihi nanyi waume muwapende wake zenu ili ijala yenu ipate nafasi kwenye kazi na maombi yenu.
 
Habarini Wadau,

Sikuhizi kumekuwa na tabia flani mbaya sana ya Wamama waliopo katika ndoa kuwakumbatia Watoto na kuwaeleza au kuwaonesha madhaifu ya Baba zao

Nina mifano mingi sana ya aina ya Wamama hao, hasa kama Baba yupo mbali kiutafutaji, Mwanaume anajitahidi kutafuta pesa za matumizi ya familia, ada za Watoto n.k lakini Mama haoni hayo, na Mara nyingine ukimtumia mama pesa kwaajili ya Watoto labda za nguo au ada, anawaambia ni yeye ndiye aliyetoa

Hiki kitu kisaikolojia kinawafanya Watoto tangu wakiwa wadogo waone kama Baba zao hawajali na wanaanza kumchukia Baba mpaka wanakuwa wakubwa, na mbaya zaidi kama Baba anakunywa pombe hata kiasi tu atasemwa vibaya mno

Kwa Mkoa wa Kilimanjaro juzi kulikuwa na kikao flani cha wazazi (kwa ajenda tofauti) Ila Baba mmoja akaleta hoja hii ya kuwa sikuhizi Wanaume tunasomesha Watoto na kuwasaidia lakini wakipata kazi au biashara huko hawatupigii simu sis hatavkutujulia hali na wakija wanaishia kuonana na mama zao na kuwapa chochote

Hii sumu kwa sehemu kubwa inatengenezwa na Wanawake / Wamama

Wanawake kuweni makini katika ukaribu wenu na Watoto wa kiume kwa wa kike, msiwaseme vibaya Waume zenu mbele ya Watoto.
Kosa linaanzia hapo hapo kwa baadhi ya wanaume wapuuzi,wanaotuimbia nani kama mama..? Ukicheki sababu zinazofanya aimbe hivyo eti ni kwasababu mama kamweka tumboni miezi 9, wakati kuzaa kwa uchungu ni fungu la mwanamke alieanza mambo yake na nyoka ..pesa za shopping unampa mama chumbani halafu wewe unajifanya misheni Town,mama anawapeleka shopping kwa hela yako na kisha anawaambia nimepambana......Akili ya mwisho kabisa ya kupambana kwa mwanamke iwe ni katika vitengo,nafasi ukiskia kapambana ni kavua chupi,na fikra za mwisho za kijana wa hovyo kujikwamua ni kugawa asali.......hivyo kizazi tumekiharibu sisi baadhi ya wanaume wenye mamlaka kwa kutumia vibaya nafasi zetu....kwa jamii
 
Dawa siyo kuwalalamikia wanawake, dawa Lipa school fees, risiti mpe mtoto apeleke shule that's it.
 
Siku ya pasaka tumekaribishwa kwa Boss wetu, kumbe alimpatia mkewe 150,000/= kwaajili ya kuwanunulia Watoto Nguo....wale watoto wakaja sebuleni tulipokuwepo...

Wakaanza kusema Baba angalia nguo mama ametununuliaa.. Yule mzee akacomplain sana kuwa mara kwa mara mama yao anawaaminisha Watoto kuwa yeye ndio anawagharamia

Hii Watoto wanakuwa nayo na inawaathiri kisaikolojia na kuwafanya wamchukie Baba yao
 
Mara nyingine upo mbali, km ni ada au kuwanunulia vitu vingine unamtumia mama hela kwakuwa yuko karibu nao...ht kuwachagulia ni rahisi
 
Mwanaume ni kiongozi mkuu wa familia
Linda sana nafasi hiyo kubwa uliyopewa na Mungu kwa kufanya majukumu na kutimiza wajibu wako kama kichwa cha familia utanishukuru.

Ila Wanaume mnalilia sana siku hizi buana. Chaaaa
 
Siku ya pasaka tumekaribishwa kwa Boss wetu, kumbe alimpatia mkewe 150,000/= kwaajili ya kuwanunulia Watoto Nguo....wale watoto wakaja sebuleni tulipokuwepo...

Wakaanza kusema Baba angalia nguo mama ametununuliaa.. Yule mzee akacomplain sana kuwa mara kwa mara mama yao anawaaminisha Watoto kuwa yeye ndio anawagharamia

Hii Watoto wanakuwa nayo na inawaathiri kisaikolojia na kuwafanya wamchukie Baba yao
Mimi huo upuuzi sifanyagi kid wangu kila kitu namnunulia na anashuhudia mpaka mama yake akimletea kitu anamwambia ni baba kaleta
 
Kuna Namna tu wanaume tuna mess up na familia zetu bila kujua.

Mwishowe mtoto atalink matukio na vile alivyo visikia na atathibitisha tu.

kwenye matukio muhimu sisi wababa ndio tunaharibu. Ona Mfano mtoto ndio anaanza shule form one, hap familia ndio inaongea nae

Baba - nimetoa hela zang kukulipia ada sasa wewe uende ukacheze uone Kama sijakukata hayo masikio yako shenzi type

Mama - Ukasome mwanang ukajitahidi huko shule umesikia ? Eeeh ndio hivyo. Mwenzako Melo yuk form two sahvi, Na usisahau kumuomb Mungu usali huk shuleni,
 
Wababa mnashindwa kupewa maua yenu
Sababu jukumu la malezi mnaacha kwa mama
Nyie mdhani mkitoa hela ndio kila kitu
 
Sasa ivi wanaume tunapigwa na vitu vizito balaa.....hakuna pa kuponea tumekua yatima taslimu😣.......tunapigwa vita kama waasi,japo tunapambana lakini jamii haitupi tena heshima yetu!!MATESO MATESO MATESOOOOOOOOOOOOOOOOO
 
Back
Top Bottom