hill and portion
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 1,236
- 744
I'm a woman too sisi wanawake tumejaliwa huruma uvumilivu nk ila sometimes hugeuka na kuwa katili mpaka shetani anaomba poo mwenyewe
Paka ana roho nzuri sana. Ukimpigia mfano huo utakuwa hujatenda haki. Tuvumilieni na mtuhurumie,maana sisi ndo wake zenu,mama zenu na mabinti zenu,tafuteni njia nzuri ya kuamiliana na sisi.