MBIIRWA
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 2,695
- 5,579
Kuna jamaa yetu anatokea lile kabila la wababe,ambako wilaya tuu ni kanda maalum ya kipolisi, kwa sasa yuko jela
Alipewa kauli kama hzo, kilichofuata ni kumtenganisha yule mwanamke viungo vyote kwa panga, na aka jisalimisha polis mwenyew
Kwa kweli usipo kuwa mvumilivu unaweza kuta mnagawana majengo ya serikali, mmoja mochwari au hospital ,mmoja jela
Wanawake mbadilike kwa kweli na wanaume ukiambiwa kama hvo tuliza mzuka uskurupuke
Unifurahisha hapo pa kugawana majengo ya Serikali.! Mmoja mochwari mwingine gerezani...