Hakuna mke aliyekaa madhabhahuni au msikitini akaja na semi kama hizo. Ukiona hivo ujue huyo kaopolewa au kavunja ndoa ndo anamtesa alovunjiwa ndoa. Kha babu haiwezekani mke alofundwa aje na maneno kama hayo ya duh nashindwa kurudia.
Mimi ni mkiristo tuliambiwa mme ni mfalme na mke ni malkia hivyo wote na waheshimiwe. Nitabaki na wangu wa mwandani huu mwaka wa therasini na nne na bado penzi ni lile lile.
Mimi ni mkiristo tuliambiwa mme ni mfalme na mke ni malkia hivyo wote na waheshimiwe. Nitabaki na wangu wa mwandani huu mwaka wa therasini na nne na bado penzi ni lile lile.