Wakina dada wa JF acheni kufunga pm zenu

Hello..! warembo wa humu.

Unakuta umeuelewa hata mwandiko wa mdada unamfata pm mbadilishane hata mawazo unakuta kafunga pm. Aaaaarrrghh....
Msitufungie huko pm basi.

Uzi tayari.
Unakuta yuko single/ mother,huko mtaani Hana soko, kabisa huku Kuna vijana wasiotumia vumbi la kongo a.k.a mundende ya papaaa bana kongo anafunga pm alafu akifika 35+ hajaolewa anaseama kalogwa ooh kila mtu ana bahati zake wakati pm mmefunga na mnachangua wenye magar wakati baako hata baiskel ya kukodi hajawah kukodi
 
No wonder kwanini ccm bado inaliongoza taifa
Hii ni kama Thread ya tatu Hiv naona mapm pm tu tunakwama wapi jaman!!? Tufungueni thread moja ambayo itakuwa na kila kitu mdada or mkaka weka request watu warespond
NB:Ukiona mtu kafunga pm yake ujue hajawa interested na wewe
 
Back
Top Bottom