JT2014
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 1,863
- 1,374
Kumbe ndo maana siku hizi kuolewa ni majaaliwa,Siku hizi si ajabu kumkuta mwanaume anapigwa na mke wake/mpenzi wake, kaka zangu mkipigwa na wake zenu/wapenzi wenu mnauwezo wa kuyahadithia nje? Hii ni janga lililoibuka na wanaume wengi wanaumizwa ndani ya nyumba lakini hawana uwezo wa kuyasema nje.
wanaume wanaogopa kupigwa?
asante kwa kunifahamisha nilikuwa sipati majibu.
wateja wa madada poa wanaongezeka wakati wadada wazuri wapo.
kumbe leo nimejua sababu.