Wakina baba hawachelewi ku replace

Wakina baba hawachelewi ku replace

pole yake yalomkuta but bora hata huyo aloamua hata kumleta nyumbania na kupunguza maradhi kuliko angeizungusha ka tairi la gari,
Ila huruma jamani
 
Wanaume tumeumbwa kutamani
Yaani watu wamekaa kwenye ndoa miaka 30,40 au 50. Wamezaa na kuozesha. Mara nyingi mama anaitwa kwa majukumu ya kumhudumia mzazi.

Akiwa pale ndiyo mnagundua mama ana matatizo ya afya. Mkienda hospitali daktari anagundua ni matatizo sugu ya moyo, kisukari au hata TB.

Daktari anasema awe kwenye uangalizi wa karibu kwenye clinic yake. Mnarudi nyumbani na kumfahamisha mzee. Mnamueleza kabisa kuwa anaweza akaja kukaa na nyinyi, amasema hawezi kuacha mifugo yake na mazao

Mama anatibiwa kwa miaka miwili, afya inaimarika anarudi kwake. Akifika huko mzee ana mtoto wa miezi miwili na mama anaambiwa ni damu yangu.
 
Ni Aibu sana kwetu. Halafu tunajiita 'wanaume'.
 
Back
Top Bottom