Wakina baba hawachelewi ku replace

Wakina baba hawachelewi ku replace

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,403
Yaani watu wamekaa kwenye ndoa miaka 30,40 au 50. Wamezaa na kuozesha. Mara nyingi mama anaitwa kwa majukumu ya kumhudumia mzazi.

Akiwa pale ndiyo mnagundua mama ana matatizo ya afya. Mkienda hospitali daktari anagundua ni matatizo sugu ya moyo, kisukari au hata TB.

Daktari anasema awe kwenye uangalizi wa karibu kwenye clinic yake. Mnarudi nyumbani na kumfahamisha mzee. Mnamueleza kabisa kuwa anaweza akaja kukaa na nyinyi, amasema hawezi kuacha mifugo yake na mazao

Mama anatibiwa kwa miaka miwili, afya inaimarika anarudi kwake. Akifika huko mzee ana mtoto wa miezi miwili na mama anaambiwa ni damu yangu.
 
Daktari anasema awe kwenye uangalizi wa karibu kwenye clinic yake. Ninarudi nyumbani na kumfahamisha mzee. Mnamueleza kabisa kuwa anaweza akaja kukaa na nyinyi, amasema hawezi kuacha mifugo yake na mazao

Mama anatibiwa kwa miaka miwili, afya inaimarika anarudi kwake. Akifika huko mzee ana mtoto wa miezi miwili na mama anaambiwa ni damu yangu.
TUVUMILIENI TU, hakuna namna
 
ukisikia mtu anaanza upya kuumwa ndio hapo yaani anaanza uuuuuuuupyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Wengine wanavuta dada wa kazi, mama akimtuma anaambiwa amechoka muache apumzike.
 
Shida ni hapo kupata hadi mtoto. Hilo ndio tatizo, mengine si ishu.
 
Sijaelewa swali lako?unauliza kwanini waislam wanaoa wake wanne???

Hapo zamani za kale mwaafrica alikuwa na dini yake mizimu,mwarabu alikuwa na dini yake ,asia walikuwa na dini yao Buddha na jamii nyingine nyingi walikuwa na dini zao.Mzungu hakuwa na dini yake sasa akaona bora na yeye aanzishe dini kwa kukusanya mafundisho ya dini nyingine ndo hapo ukaja .............

Lakini katika dini hizi zote na tamaduni karibu zote hadi wanyama wanaamini dume moja lina capacity ya kumiliki majike???????

Hiki unachokiona mzungu anafanya kwenye kuharibu vyakula ni katika kutetea maandiko ya dini yake ya mke moja mme mmoja.

Mzungu alijua mapema ili race yako iwe superior lazima lifestyle yako ipendwe na race nyingine lazima kila kitu chako kiwe maarufu iwe dini,culture au uchawi.

Leo hii hata kuvaa shanga unaonekana mshamba na cheni mjanja,leo hii hata wameupa promo hadi uchawi wao eti Freemasons eti wao ndo wapo karibu na shetani Hahahaahah kumbe wameupambapamba na science tu....

Soma kwanza Hilo gazeti [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Bahati mbaya wenzetu wa upande wa pili hamjawahi kabisa kutuelewa! Sisi wanaume wote, baba yetu ni mmoja! Ni watu wa kurahisisha mambo siku zote. Na maisha ya mke mmoja kwa kweli kwetu ni magumu sana! Kwa hili nawapongeza sana Waislamu kwa kuondokana na unafiki tulionao Wakristu.

Kama unafuga kuku wa kienyeji, angalia tu kwa ukaribu maisha ya jogoo wako wachache dhidi ya ile mitetea yako mingi! Hayo ndiyo maisha yetu halisi. Ukiona tumetulia kwenye ndoa, basi utambue tunajikaza na kuvumilia tu. Lakini kiuhalisia, wanaume ni watu wa kumiliki makoloni na siyo koloni! na bahati nzuri huwa hatuzeeki maini.
 
Sasa mzee wawatu angefanyaje. apigwe na baridi kisa mke yuko matibabu miaka miwili wakati makucha na meno yakuwindia bado anayo.Hayo nimarupurupu yakiume bana.Bi mkubwa awe mpole tu maana akifikiria sana ataumwa tena nasafari hii akienda matibabu si miaka miwili tena.
 
Akili za wanawake bhana.
Akifikisha miaka 50 hamu ya sex Hana Tena.
Na hawezi kufanya.
Ila anataka na wewe uache kabisa wakati yeye physiology ya mwili ndio imemuachisha.!!
Huu Ni ubinafsi ambao wanao tufanye wanalofurahia wao
Mwanaume wa hivyo hayupo!?
 
Sasa mzee wawatu angefanyaje. apigwe na baridi kisa mke yuko matibabu miaka miwili wakati makucha na meno yakuwindia bado anayo.Hayo nimarupurupu yakiume bana.Bi mkubwa awe mpole tu maana akifikiria sana ataumwa tena nasafari hii akienda matibabu si miaka miwili tena.
Wanawake wanachojidanganya Ni kusahau kuwa at any time mwanaume anaweza kuwa na mwanamke mwingine.
Kwa kujua au kutojua.
Wanaume wote dunia hii ya Mungu ni sawa tu.
 
Yaani watu wamekaa kwenye ndoa miaka 30,40 au 50. Wamezaa na kuozesha. Mara nyingi mama anaitwa kwa majukumu ya kumhudumia mzazi.

Akiwa pale ndiyo mnagundua mama ana matatizo ya afya. Mkienda hospitali daktari anagundua ni matatizo sugu ya moyo, kisukari au hata TB.

Daktari anasema awe kwenye uangalizi wa karibu kwenye clinic yake. Mnarudi nyumbani na kumfahamisha mzee. Mnamueleza kabisa kuwa anaweza akaja kukaa na nyinyi, amasema hawezi kuacha mifugo yake na mazao

Mama anatibiwa kwa miaka miwili, afya inaimarika anarudi kwake. Akifika huko mzee ana mtoto wa miezi miwili na mama anaambiwa ni damu yangu.
Tuvumiliane tu jaman ndo ivyo tena
 
Back
Top Bottom