Wakili wa Sabaya: Kinachoendelea Moshi ni ubatili

Wakili wa Sabaya: Kinachoendelea Moshi ni ubatili

mbona magufuri aliamuru wafungwa walio katika magereza ya mjini wapelekwe kwenye magereza yenye mashamba wakazalishe huko na yeye hakutetea?
 
hivi taasisi binafsi inapomiliki gereza inanufaika vipi?
kila mfungwa aliye magereza huwa na bajeti kuanzia malazi, chakula, mavazi na matibabu. Nadhani serikali inawalipa wamiliki wa magereza bajeti hizo. Na inapunguza mlolongo wa urasimu wa uendeshaji kwa serikali. Uwe na kamishna wa magereza, mkuu wa magereza amkoa na wilaya, wardens, askari etc...
 
kila mfungwa aliye magereza huwa na bajeti kuanzia malazi, chakula, mavazi na matibabu. Nadhani serikali inawalipa wamiliki wa magereza bajeti hizo. Na inapunguza mlolongo wa urasimu wa uendeshaji kwa serikali. Uwe na kamishna wa magereza, mkuu w amagerez qamkoa na wilaya, wardens, askari etc...
Duh
 
usishangae, ndivyo ilivyo. hata hapa tz, kwa mfano, gharama ya kumsomesha mtoto wa shule ya msingi inazidi 3mil ambayo ni gharama serikali inaingia bahati mbaya inaishia kuwalipa watu mishahara kuanzia wizarani, mikoani, wilaya, kata, mpaka shule hata chaki n.k...kuna wakati wamiliki wa shule binafsi walirush akijembe wakitaka wapewe hiyo bajeti wao. wakasema hakuna mtoto atakaa chini wala kusomea nje. watakula mchana na mishahara ya walimu itaboreshwa.
 
Ole wake amtegemaya mwanadamu

Luka 6:45​

"Mtu mwema katika hazina njema ya moyo wake hutoa yaliyo mema,
na mtu mwovu katika hazina mbovu ya moyo wake hutoa yaliyo maovu;
kwa kuwa mtu kinywa chake hunena yale yaujazayo moyo wake."
 
Jibu hoja yake
Hiyo ni Hoja ya kujibu au UHARO??wakati mnaandika UHARO JF mwenzenu Sabaya ananyea mtondoo pale Jela Karanga,kumbukeni ameshamaliza Mwaka ananyea mtondoo,na hata akitoka Jela leo hii hakika hatakuwa na impact yoyote maana cha moto amekipata, ule ubabe wake wote HAUTAKUWEPO tena, naamini hata akiona Kuku njiani atakuwa anapiga magoti na kutoa SHIKAMOO kwa Kuku [emoji1787]
 
Na mambo yote hayo kafanya ndani ya kipindi cha mwaka mmoja tu..!
Miaka mitano ya giza ndio iliyoanzisha huu UHOLELA na kutuletea TAKATAKA zote hizo katika jamii yetu. Na bado wapo wengi ambao kutokana na tamaa/njaa zao na pia kiwango duni cha uelewa, waliyoanza kuamini na kujivunia kuwa USHETANI unalipa. Lakini maadam Mungu wa haki yupo, yu hai basi ataendelea kuisafisha nchi hii, AMEN
 
Ole wake amtegemaya mwanadamu

Imalizie Yoda, usipunguze wala kuongeza neno 🤣🤣🤣

YEREMIA 17:5​

"BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA."
 
Back
Top Bottom