voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,944
Pamoja na nguvu kubwa iliyotumika kumkomoa.
Hakuna hatia yoyote aliyokutwa nayo mpaka sasa Ndugu Lengai Ole Sabaya.
Kinachofanyika ni Uhuni wa kumkomoa kupitia Cartel ya wahalifu wa "Hai".
Na mnaposema hakuna uhuni kwa sasa,ebu mtuambie!
Inakuwaje!
Mtu ameshinda kesi,anarudishwa Rumande kwa sababu bado anayo kesi ingine.
Halafu akiwa amelala Ndani ya Gereza,usiku.
Anaamshwa na kutolewa kinyemela katika gereza la Kisongo- Arusha na kusafirishwa kinyume na taratibu,hadi Gereza la Karanga mkoani Kilimanjaro mjini Moshi.
Mtuhumiwa au mshitakiwa haruhusiwi kuhamishwa Gereza Usiku,tena bila mwanasheria wake kuwa na taarifa.Wala bila kuwepo remove warranty au Remove Order ya Mahakama.
Kisha Anafunguliwa Kesi ambayo kiuhalisia ndio ile ile ambayo amekwisha shinda kule Arusha!
Kwa sababu ya kukosekana ushahidi,anaendelea kushikiliwa huko kihuni,huku kesi ikiendelea kupigwa tarehe kila uchao,kwa visingizio kwamba upelelezi haujakamilika.
La kustaabisha,washtakiwa wenzie,wa kesi ile ile,wanaambiwa wakiri kosa na wanakiri na kupigwa faini ya shilingi elfu hamsini za kitanzania na wanaachiwa huru.
Sabaya kama mlengwa wa kukomolewa,na kwa sababu DPP kweka anazozijua yeye!
Bado anaendelea kumshikilia Sabaya kinyemela,halafu mnasema Serikali hii haina wahuni?
Ukweli unabaki kwamba,Sabaya amewashinda,na kinachoendelea ni Uhuni mtupu!
Wahuni wa Mbowe mtatukana sana,lakini ukweli hamtaubadilisha asilani.
Tutaendelea kuwaambia mpaka tarehe ya mwisho.
Nimepita....
10101.