Wakili Mwabukusi ni pandikizi?

Wakili Mwabukusi ni pandikizi?

Kabla ya kukimbilia kwenye hukumu, ni vyema mngezichambua na hoja zake kwanza ili kufahamu kama zina ukweli ndani yake, au la.

Maana hata na nyinyi wapinzani wa nchini pia siyo malaika! Kutokana na kuwa na mapungufu yenu mengi tu, kiasi cha baadhi yenu pia kuhisiwa kuwa mamluki na mapandikizi ya CCM.

Kwa mfano mimi kama mimi mpaka kesho naamini mpinzani wa kweli kuwahi kutokea ndani ya nchi hii; alikuwa ni Mchungaji Christopher Mtikila tu.
Hakika
RIP Mchungaji Mtikila.
 
Watanzania tuna tabia kuu tatu, unafiki, kutopenda kukosolewa na kuchukia ukweli.

Kwenye siasa; CCM na vyama vingine hizo tabia zimekita mizizi hapo, hawapendi ukweli, hawataki kukosolewa, na wanakumbatia watu wanafiki wakuwasifia mda wote hata wakikosea, siku hizi wanaitwa 'chawa'.
 
Huyu huwa simu amina kabisa, he seems a double agent cha ajabu wapinzani wamemkumbatia sana. Kesho siri zao zikivuja wanatafuta mchawi
Huyu Madeleka ni Polisi kabisa, hizi ni special mission, hawa wanawekwa mpaka jela muweze kuwaamini wanateswa ni wenzenu.
 
Nimeuliza swali hili kufuatia series of events za MAPANDIKIZI mengi tuliyowahi kukutana nayo.
MAPANDIKIZI ni wale watu wanaokuzwa na wenye madaraka kwa kujibrand kama vile ni watetezi wa haki, huku wakifanya yote yanayoonekana kutetea haki za wananchi lakini wakilindwa na watawala katika namna ambayo mwenye macho makali tu ndiye anayeweza kutambua.

MAPANDIKIZI yanaweza kuwa mstari wa mbele kuitisha maandamano, lakini maandamano yasifanyike kwa kuwa script inaandaliwa na 'WAZEE' kuwa 'tutaizingira nyumba yako, tutaipiga mabomu ya rasharasha' halafu maandamano hayafanyiki. Wasio na macho makali wataona muitisha maandamano ni 'mtetezi' kumbe ni SCRIPT ya WAZEE.

PANDIKIZI linafunguliwa makesi yasiyoisha na yasiyopata hukumu. PANDIKIZI litafungua kesi against serikali y chama TWAWALA na kesi hizo mwishowe zinaisha kisanii na zinakosa mwendelezo.

Baada ya yote hayo kutokea PANDIKIZI linapata wafuasi na taratibu linaanza vita against wapigania haki wa ukweli.
PANDIKIZI halitapigwa risasi, halitafungwa, halitafilisiwa, halitakimbia nchi, pandikizi hata familia yake haitabughudhiwa...ila kutakuwa na script ambayo iko very articulated itakayoonyesha confrontation baina yake na WATAWALA.

Mfano mmojawapo wa MAPANDIKIZI ni Zitto Kabwe.

Mwabukusi ameangukia kwenye sifa hizi zote. Mkataba wa bandari ambao ulianza kupigiwa kelele na Chadema, Mwabukusi aliukimbilia haraka haraka, akauhodhi na akijua wazi mahakama itaumaliza akakimbilia mahakamani ili hatimaye a- waterdown harakati za Chadema kwenye kupinga bandari ambapo Chadema waliona mahakamani ni kupoteza muda watoe elimu ya uraia kwa wananchi. Mwabukusi akauhodhi, vikaibuka 'vita' kati yake na serikali vita ambayo mimi naiona ni usanii, wakatishia kumfuta uwakili, kesi ikatengenezwa na hatima yake hakuna kinachoendelea.

Katikati ya hayo Mwabukusi ameanza kuonyesha rangi zake halisi sasa. Kumponda MBOWE. Yeye kila kukicha kwenye Clubhouse na kwenye Twitter Spaces yeye ni kuuponda upinzani. Na timing yake ni hii hii kuelekea uchaguzi. Kwa jinsi anavyoongea na kuandika huoni akianika kwa wingi na kwa uzito wake mabaya ya CCM. Yeye ni kuuponda upinzani na hasa Mbowe. Akiamka anatweet maudhui ya wananchi kutouamini upinzani eti akina Mbowe wanatafuta maslahi yao badala ya maslahi ya wananchi.
Mwabukusi huyu ambaye hajawahi kufilisiwa, hajawahi kuwa na kesi hata moja mahakamani, familia yake haijawahi kusumbuliwa, rumande yenyewe alipelekwa tu katika yale ninayoyaona ni mwendelezo wa kumtengeneza aonekane ni mpambanaji, hajawahi kupata msukosuko wowote unaotokana na kutetea watu zaidi ya 'misukosuko' iliyokuwa scripted kwa malengo ya haya anayoyafanya sasa, eti ananyanyua mdomo kumtangaza Mbowe na Chadema sio watetezi wa watu bali yeye ndiye mtetezi.
Na anafanya haya kwa nguvu kubwa kipindi hiki kuelekea Uchaguzi.

Je Mwabukusi sio PANDIKIZI? Karibuni kwa mjadala
Kwanini vijana wa vyama vya siasa ni wapumbavu hivi???

Mmegeuka misukule, mnatamani kila mtu AMWABUDU Mbowe, Rais au Zitto na hamtaki kabisa kuambiwa ukweli.

Huu ni uzezeta
 
Mbowe ??? Na Kimvuli Cha Wakili Mwabukusi, nitachagua Kimvuli.

Mbowe ni Mwanasiasa mbinafsi sawa na Zito.
Mbowe ana namba ya Samia, juzi kampigia simu Samia na akawapa Milioni 150.

Lakini huwezi kuisikia MISUKULE yake ikimshutumu kwa chochote.
 
Mwabukusi sio pandikizi ila ni mkweli kabisa. Na hata, mm nauona huo ukweli wa Advocate Mwabukusi. Kama huna uwezo mzuri wa kufikiria hauwezi kuuona huo ukweli. Vyama vya siasa hapa Tanzania vinajua, ukweli kabisa kuwa, haviwez kuiondoa CCM madarakani. Kwa sababu, katiba ya Tanzania hairuhusu hivyo.Kwa hiyo ambacho wameamua ni kijifanya wanawatetea, watanzania ili angalau wapate ruzuku wale wafulai. Wapate mkate kidogo wa ubunge lakin sio kuiondoa CCM madarakani. Na juzi wameamua kujifanya kuna maridhiano, wamepewa mabilion ya mapesa, ndio maana Mbowe ametepeta kabisa. Mwabukusi anataka, mapambano ya kweli ya katiba mpya ili kuiondoa kabisa CCM.

Mwabukusi kama ni mwanaharakati kweli aanzishe chama chake cha upinzani ili afanye hayo anayoona wapinzani waliopo wameshindwa.
 
Kwasababu mleta hoja anamhukumu Mwabukusi kuwa pandikizi kwa vile anamkosoa Mbowe.
Nawqonea huruma sana wafuasi wa mbowe ,laiti wengelijua kuwa wanapalilia kampuni ya mbowe (cdm) kupita siasa
 
Na mvo
Siyo pandikizi tu, bali ni BONGE la pandikiziNa
Baada kufika hapa nimeacha kusoma bandiko lako, nikaanza kukuzarau nimekuona ni wale walioshikiwa akili, ni wale manyumbu wanaombishwa na kudemka midundo wasioijua. #Zitto ni next level ya wanasiasa wa upinzani, chadema Zitto amewazidi sana uelewa mnafuta njia zake mtake msitake.
Hivi unawezaje kufananisha vile vichekesho vya pale ufipa dhidi ya mheshimiwa Zitto?
 
Nimeuliza swali hili kufuatia series of events za MAPANDIKIZI mengi tuliyowahi kukutana nayo.
MAPANDIKIZI ni wale watu wanaokuzwa na wenye madaraka kwa kujibrand kama vile ni watetezi wa haki, huku wakifanya yote yanayoonekana kutetea haki za wananchi lakini wakilindwa na watawala katika namna ambayo mwenye macho makali tu ndiye anayeweza kutambua.

MAPANDIKIZI yanaweza kuwa mstari wa mbele kuitisha maandamano, lakini maandamano yasifanyike kwa kuwa script inaandaliwa na 'WAZEE' kuwa 'tutaizingira nyumba yako, tutaipiga mabomu ya rasharasha' halafu maandamano hayafanyiki. Wasio na macho makali wataona muitisha maandamano ni 'mtetezi' kumbe ni SCRIPT ya WAZEE.

PANDIKIZI linafunguliwa makesi yasiyoisha na yasiyopata hukumu. PANDIKIZI litafungua kesi against serikali y chama TWAWALA na kesi hizo mwishowe zinaisha kisanii na zinakosa mwendelezo.

Baada ya yote hayo kutokea PANDIKIZI linapata wafuasi na taratibu linaanza vita against wapigania haki wa ukweli.
PANDIKIZI halitapigwa risasi, halitafungwa, halitafilisiwa, halitakimbia nchi, pandikizi hata familia yake haitabughudhiwa...ila kutakuwa na script ambayo iko very articulated itakayoonyesha confrontation baina yake na WATAWALA.

Mfano mmojawapo wa MAPANDIKIZI ni Zitto Kabwe.

Mwabukusi ameangukia kwenye sifa hizi zote. Mkataba wa bandari ambao ulianza kupigiwa kelele na Chadema, Mwabukusi aliukimbilia haraka haraka, akauhodhi na akijua wazi mahakama itaumaliza akakimbilia mahakamani ili hatimaye a- waterdown harakati za Chadema kwenye kupinga bandari ambapo Chadema waliona mahakamani ni kupoteza muda watoe elimu ya uraia kwa wananchi. Mwabukusi akauhodhi, vikaibuka 'vita' kati yake na serikali vita ambayo mimi naiona ni usanii, wakatishia kumfuta uwakili, kesi ikatengenezwa na hatima yake hakuna kinachoendelea.

Katikati ya hayo Mwabukusi ameanza kuonyesha rangi zake halisi sasa. Kumponda MBOWE. Yeye kila kukicha kwenye Clubhouse na kwenye Twitter Spaces yeye ni kuuponda upinzani. Na timing yake ni hii hii kuelekea uchaguzi. Kwa jinsi anavyoongea na kuandika huoni akianika kwa wingi na kwa uzito wake mabaya ya CCM. Yeye ni kuuponda upinzani na hasa Mbowe. Akiamka anatweet maudhui ya wananchi kutouamini upinzani eti akina Mbowe wanatafuta maslahi yao badala ya maslahi ya wananchi.
Mwabukusi huyu ambaye hajawahi kufilisiwa, hajawahi kuwa na kesi hata moja mahakamani, familia yake haijawahi kusumbuliwa, rumande yenyewe alipelekwa tu katika yale ninayoyaona ni mwendelezo wa kumtengeneza aonekane ni mpambanaji, hajawahi kupata msukosuko wowote unaotokana na kutetea watu zaidi ya 'misukosuko' iliyokuwa scripted kwa malengo ya haya anayoyafanya sasa, eti ananyanyua mdomo kumtangaza Mbowe na Chadema sio watetezi wa watu bali yeye ndiye mtetezi.
Na anafanya haya kwa nguvu kubwa kipindi hiki kuelekea Uchaguzi.

Je Mwabukusi sio PANDIKIZI? Karibuni kwa mjadala
Ila ukitumia akili sana na kuchakata mambo kwa kina,nakuunga mkono;kwanza historia ya jamaa Mwabukusi ni utata sana,anakwambia alikuwa dereva Daladala kule Arusha na alikuwa anasoma Open University uku anaendesha Daladala baada ya kumaliza OUT akafanya kazi kama intern somewhere na baadaye akawa mtumishi wa umma kama Mwanasheria ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa serikali kama sikosei, baadaye akaacha kazi![emoji1787][emoji1787][emoji1787].Lakini nimemkumbuka Simbachawene naye historia yake na yeye alisoma Open University uku akiwa konda wa Daladala,Dodoma kumbe alikuwa nyoka![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nchi ngumu sana hii,usiamini watu kizembezembe!!
Hawa wanasheria wahitimu wa OUT, watch out sana

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Mapandikizi Yana sifa ya kutokuwa consistent. Issue zao huishia mahala fulani sawa sawa na alichofanya Mwamba juzi cha kupokea hela ya state na COVID 19 hivyo MBOWE ni pandikizi lenye ma nyigu masikioni
 
Ila ukitumia akili sana na kuchakata mambo kwa kina,nakuunga mkono;kwanza historia ya jamaa Mwabukusi ni utata sana,anakwambia alikuwa dereva Daladala kule Arusha na alikuwa anasoma Open University uku anaendesha Daladala baada ya kumaliza OUT akafanya kazi kama intern somewhere na baadaye akawa mtumishi wa umma kama Mwanasheria ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa serikali kama sikosei, baadaye akaacha kazi![emoji1787][emoji1787][emoji1787].Lakini nimemkumbuka Simbachawene naye historia yake na yeye alisoma Open University uku akiwa konda wa Daladala,Dodoma kumbe alikuwa nyoka![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nchi ngumu sana hii,usiamini watu kizembezembe!!
Hawa wanasheria wahitimu wa OUT, watch out sana

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Wakati huo huo huoni utata wa historia ya Mbowe Wala Mtei.

Mtei alikuwa mtumishi wa umma (BOT).

Mbowe alikuwa mtumishi wa umma BOT.

Nyerere alimpendekeza Mtei kufanya kazi IMF.

Mara Mbowe katoka BoT akawa DJ Bilcanus ambalo ni jengo la NSSF.

Huoni tatizo
 
Mtu yeyote mwenye uwezo wa kufikiri anajua Mbowe(kengeza) na Zitto(Mwami) ni mapandikizi...

Achilia mbali mapandikizi wadogo wadogo kama kina Mbatia na wenzake...

Mwambukusi ni mkweli kupitiliza...

Ukiwa mkweli huwezi kukubalika mbele ya wanasiasa maslahi....

Hata Lissu ni suala la muda tu ataondoka Chadema kwa aibu na nyumbu zitapewa maelekezo ya kumtukana. ...
 
Kabla ya kukimbilia kwenye hukumu, ni vyema mngezichambua na hoja zake kwanza ili kufahamu kama zina ukweli ndani yake, au la.

Maana hata na nyinyi wapinzani wa nchini pia siyo malaika! Kutokana na kuwa na mapungufu yenu mengi tu, kiasi cha baadhi yenu pia kuhisiwa kuwa mamluki na mapandikizi ya CCM.

Kwa mfano mimi kama mimi mpaka kesho naamini mpinzani wa kweli kuwahi kutokea ndani ya nchi hii; alikuwa ni Mchungaji Christopher Mtikila tu.
Mtikila alisimamia kile alichoamini, alipigania mgombea binafsi mpaka akashinda kesi, Cha ajabu baada ya kufariki hakuna mpinzani aliyeenda kushinikiza kuhusu mgombea binafsi.
 
Good Morning kwetu ni muda wa mambo mengine.

Kwa uelewa wa Madeleka, Mwabukusi, Shivji na asilimia ya wanasheria wa Tanzania walioonyesha kwenye uchambuzi wa IGA hizo ni entertainment za Tanzania politics.

Narudia tena ni mimi ndio nilielustua taifa hstuna makubaliano na SA ya kukadhia kesi.

Sasa nakueleza kesi ya Indian sio ya kushindwa, ila kama uelewa wa IGA unawasumbua; ile kesi awawezi shinda miaka mia.

Moreover Lissu, Madeleka, Mwabukusi, Shivji na wengine wengi niliowasikia contract law sio uwanja wao. Hao watu awawezi kushinda hata kesi za kushinda because they don’t have it.

Have a blessed weekend 👋
Acha dharau, hujui kitu mbwa wewe zaidi ya chuki uliyoivaa dhidi ya Rais Samia.
 
Back
Top Bottom