Wakili Mwabukusi ni pandikizi?

Wakili Mwabukusi ni pandikizi?

Kabla ya kukimbilia kwenye hukumu, ni vyema mngezichambua na hoja zake kwanza ili kufahamu kama zina ukweli ndani yake, au la.

Maana hata na nyinyi wapinzani wa nchini pia siyo malaika! Kutokana na kuwa na mapungufu yenu mengi tu, kiasi cha baadhi yenu pia kuhisiwa kuwa mamluki na mapandikizi ya CCM.

Kwa mfano mimi kama mimi mpaka kesho naamini mpinzani wa kweli kuwahi kutokea ndani ya nchi hii; alikuwa ni Mchungaji Christopher Mtikila tu.
Hata Christopher Mtikila (RIP) alikuwa akitumika na watu ambao walikuwa wanaweza kufika bei. Mfano Wahindi walipokomboa nyumba yake ya Mikocheni aliacha kuwaita magabacholi
 
Mfano mmojawapo wa MAPANDIKIZI ni Zitto Kabwe.
Baada kufika hapa nimeacha kusoma bandiko lako, nikaanza kukuzarau nimekuona ni wale walioshikiwa akili, ni wale manyumbu wanaombishwa na kudemka midundo wasioijua. #Zitto ni next level ya wanasiasa wa upinzani, chadema Zitto amewazidi sana uelewa mnafuta njia zake mtake msitake.
 
Attachments

  • 1704044183362.jpg
    1704044183362.jpg
    33.2 KB · Views: 12
  • 476140.jpg
    476140.jpg
    25.9 KB · Views: 11
Una tatizo la ujuaji usiokuwa na maana.

Huamini kama mtoto wa mkulima anaweza kuunga unga mwishowe akazifikia ndoto zake, umekariri kuwa mwanasheria lazima fulani atoke shule moja mpaka nyingine atakapomaliza masomo yake, bila kukatisha masomo husika kwa sababu yoyote.

Ajabu unawalaumu wengine kuwa na ubongo finyu, usijue wewe ndie mwenye ubongo finyu usiyejua kufikiri changamoto mbalimbali zinazoweza kumpata mwanafunzi wa sheria, kabla hajamaliza masomo yake, zinazoweza mfanya akatishe masomo husika, hasa kwa kuzingatia hali ya kiuchumi kwa familia nyingi.

- Ile IGA mahakama Mbeya ilikiri ina matatizo, judge kwa uoga wake badala ya kutoa order akaamua kurudisha mpira bungeni wakaifanyie mabadiliko, sasa wewe mjuaji unaweza kutuambia hapa, iweje IGA unayoona wewe haikuwa na tatizo mahakama ya Mbeya ikaiona ina tatizo mpaka kulitaka bunge kuifanyia marekebisho?

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Your arguments is based on emotions rather than legal facts.

Sipo kuponda legal understanding ya Mwabukusi kwa sababu ya alipo tokea. That’s not my whole argument. I went further na kusema hata uelewa wenyewe wa misingi ya sheria ya mikataba hana.

Sasa unless wewe mwenyewe unauelewa wa misingi ya kanuni za sheria za mikataba we can have a debate or else Mwabukusi amepotosha sana jamii kwa mambo asiyo ya elewa.

Tuna audience yetu ya kufurahishana
na uhalisia wa international arena kwenye kesi za kushinda lakini kila siku tunapigwa na wawekazaji uchwara kama Indiana.

Sasa what went wrong with companies like Indians ni hadithi ndefu iliyo juu ya uwezo wako na Mwabukusi.

Dunia aifanyi kazi kwa nadharia zenu, but accepted legal arguments kesi ya kushinda nchi inaenda daiwa tsh 269 billlion.

Kama uelewa wa IGA unawasumbua nchi. Basi wa wanasheria wake awawezi shinda kesi ya biashara nje ya nchi.

Narudia tena ni mimi kupitia JF ndio nilie liambia taifa SA na Tanzania hatuna makubaliano ya kukadhia kesi na kuokoa ndege.

Hakuna wanasheria wa contract law na huyo poyoyo Mwabukusi sijui Madeleka ni ujinga mtupu wanaongea.

Nina uhakika ni mimi pia kupitia makelele yangu umesababisha kuangalia uhalali wa $40 billliob LNG plant. Utapigwa kwenye huo mradi kwa thamani hiyo sikia tu.

Come to me kama una hoja sio ushabiki maandazi.
 
Ma CCM mtajaza sana takataka kwenye huu uzi. Haya jibu swali kwa hoja, je! Wakili Mwabukusi ni pandikizi?
Hakuna hoja ya kujadili kuna hisia tu katika andiko hili.
Siyo busara kujikita kujadili hisia za mtu binafsi.
Wapinzani wangapi wamesymbuliwa na kesi kisha zikafutwa au zikaisha Kama hizo za Mwabukusi?
Mbowe, Lissu, Msigwa, Lema, Mdee, Bulaya, ...., Wote Hawa wamewahi kupata kesi kama Mwabukusi zingine zikaisha kiaina aina fulani tu.
Nao tuwaite mapandikizi?

Mbowe siyo Mungu hivyo anastahili kukosolewa kama binadamu wengine endapo itaonekana kuna jambo amefanya haliko sawa.
 
Waambie JF wani BLOCK basi!! Yeye alipaswa anijibu kwenye page yake nimtolee ushahidi, ajabu kwa mnayemwita "Wakili" akasahau misingi ya sheria ya right to be heard akaniondolea haki yangu ya kusikilizwa.

Kwangu ni USHAHIDI tosha kuwa Mwabukusi alipokea fedha toka kwa "MABWANA" zake ili kuipinga serikali
Mimi nimekujibu hapa, hivyo nami nastahili kuuona huo ushahidi uliokwepa kumpa Adv. Mwabukusi kule x, usizunguke mbuyu.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Your arguments is based on emotions rather than legal facts.

Sipo kuponda legal understanding ya Mwabukusi kwa sababu ya alipo tokea. That’s not my whole argument. I went further na kusema hata uelewa wenyewe wa misingi ya sheria ya mikataba hana.

Sasa unless wewe mwenyewe unauelewa wa misingi ya kanuni za sheria za mikataba we can have a debate or else Mwabukusi amepotosha sana jamii kwa mambo asiyo ya elewa.

Tuna audience yetu ya kufurahishana
na uhalisia wa international arena kwenye kesi za kushinda lakini kila siku tunapigwa na wawekazaji uchwara kama Indiana.

Sasa what went wrong with companies like Indians ni hadithi ndefu iliyo juu ya uwezo wako na Mwabukusi.

Dunia aifanyi kazi kwa nadharia zenu, but accepted legal arguments kesi ya kushinda nchi inaenda daiwa tsh 269 billlion.

Kama uelewa wa IGA unawasumbua nchi. Basi wa wanasheria wake awawezi shinda kesi ya biashara nje ya nchi.

Narudia tena ni mimi kupitia JF ndio nilie liambia taifa SA na Tanzania hatuna makubaliano ya kukadhia kesi na kuokoa ndege.

Hakuna wanasheria wa contract law na huyo poyoyo Mwabukusi sijui Madeleka ni ujinga mtupu wanaongea.

Nina uhakika ni mimi pia kupitia makelele yangu umesababisha kuangalia uhalali wa $40 billliob LNG plant. Utapigwa kwenye huo mradi kwa thamani hiyo sikia tu.

Come to me kama una hoja sio ushabiki maandazi.
- Legal facts zipi ulizionesha ulivyoanza kwa kuponda namna Adv. Mwabukusi alivyopata uwakili wake? kwako kondakta hastahili kuwa wakili!

- Legal facts zipi ulizoonesha ikiwa IGA hata majaji wenyewe walikiri ina matatizo mpaka kuliagiza bunge kuifanyia marekebisho?

Issue ya IGA yenyewe umeshindwa kuielewa mwisho wake ulikuwa vipi, ajabu unakimbilia tena Indiana, kwani huko Indiana Adv. Mwabukusi aliwahi kwenda kufungua kesi huko?

Upeo wako ni mdogo hujui hata kusimamia hoja unayoianzisha, unaishia kurukaruka tu, habari ya LNG na kesi ya ndege SA vinahusiana vipi na Adv. Mwabukusi?

Hujielewi, punguza ujuaji.

Kupima uwezo wa JF kwenye sheria zingatia kesi ya IPTL

Ili kutoa hela zilizokuwa kwenye Escrow account judge alitaka Singasinga atoe guarantee kesi ikija yeye ndio a deal na standard charter.

Tukaletq ujinga akafungwa.standard charter wakawa bado wanatusumbua. Tukamuachia singasinga likitokea lolote kesi ni yake; leo hiyo kesi imepotelea juu juu huko huko wengi wetu hatukuwa na uelewa mpana ile ilikuwa kesi ya shareholders.

Same thing hapa kukuelezea kesi ya Indiana sio ya serikali kushindwa kama tunapeleka wanasheria makini ni hadithi ndefu iliyokuzidi kimo wewe na madereka kama hata mantiki ya IGA kuelewa shida.

Good Morning 👋
 
Good Morning
Naona umehamia Escrow... IPTL ... Singasinga.... ukafika mpaka kwa Madeleka from Mwabukusi!

Ok, mwanasheria wetu wa kimataifa, morning too!.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Naona umehamia Escrow... IPTL ... Singasinga.... ukafika mpaka kwa Madeleka from Mwabukusi!

Ok, mwanasheria wetu wa kimataifa, morning too!.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Good Morning kwetu ni muda wa mambo mengine.

Kwa uelewa wa Madeleka, Mwabukusi, Shivji na asilimia ya wanasheria wa Tanzania walioonyesha kwenye uchambuzi wa IGA hizo ni entertainment za Tanzania politics.

Narudia tena ni mimi ndio nilielustua taifa hstuna makubaliano na SA ya kukadhia kesi.

Sasa nakueleza kesi ya Indian sio ya kushindwa, ila kama uelewa wa IGA unawasumbua; ile kesi awawezi shinda miaka mia.

Moreover Lissu, Madeleka, Mwabukusi, Shivji na wengine wengi niliowasikia contract law sio uwanja wao. Hao watu awawezi kushinda hata kesi za kushinda because they don’t have it.

Have a blessed weekend 👋
 
Umemaliza acha na sisi tuje na ushahidi.....eti huyu aliungana na Dr. Slaa !!! Majanga Ili kutuchelewesha tu
 
Back
Top Bottom