Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,857
- 7,618
Nimeuliza swali hili kufuatia series of events za MAPANDIKIZI mengi tuliyowahi kukutana nayo.
MAPANDIKIZI ni wale watu wanaokuzwa na wenye madaraka kwa kujibrand kama vile ni watetezi wa haki, huku wakifanya yote yanayoonekana kutetea haki za wananchi lakini wakilindwa na watawala katika namna ambayo mwenye macho makali tu ndiye anayeweza kutambua.
MAPANDIKIZI yanaweza kuwa mstari wa mbele kuitisha maandamano, lakini maandamano yasifanyike kwa kuwa script inaandaliwa na 'WAZEE' kuwa 'tutaizingira nyumba yako, tutaipiga mabomu ya rasharasha' halafu maandamano hayafanyiki. Wasio na macho makali wataona muitisha maandamano ni 'mtetezi' kumbe ni SCRIPT ya WAZEE.
PANDIKIZI linafunguliwa makesi yasiyoisha na yasiyopata hukumu. PANDIKIZI litafungua kesi against serikali y chama TWAWALA na kesi hizo mwishowe zinaisha kisanii na zinakosa mwendelezo.
Baada ya yote hayo kutokea PANDIKIZI linapata wafuasi na taratibu linaanza vita against wapigania haki wa ukweli.
PANDIKIZI halitapigwa risasi, halitafungwa, halitafilisiwa, halitakimbia nchi, pandikizi hata familia yake haitabughudhiwa...ila kutakuwa na script ambayo iko very articulated itakayoonyesha confrontation baina yake na WATAWALA.
Mfano mmojawapo wa MAPANDIKIZI ni Zitto Kabwe.
Mwabukusi ameangukia kwenye sifa hizi zote. Mkataba wa bandari ambao ulianza kupigiwa kelele na Chadema, Mwabukusi aliukimbilia haraka haraka, akauhodhi na akijua wazi mahakama itaumaliza akakimbilia mahakamani ili hatimaye a- waterdown harakati za Chadema kwenye kupinga bandari ambapo Chadema waliona mahakamani ni kupoteza muda watoe elimu ya uraia kwa wananchi. Mwabukusi akauhodhi, vikaibuka 'vita' kati yake na serikali vita ambayo mimi naiona ni usanii, wakatishia kumfuta uwakili, kesi ikatengenezwa na hatima yake hakuna kinachoendelea.
Katikati ya hayo Mwabukusi ameanza kuonyesha rangi zake halisi sasa. Kumponda MBOWE. Yeye kila kukicha kwenye Clubhouse na kwenye Twitter Spaces yeye ni kuuponda upinzani. Na timing yake ni hii hii kuelekea uchaguzi. Kwa jinsi anavyoongea na kuandika huoni akianika kwa wingi na kwa uzito wake mabaya ya CCM. Yeye ni kuuponda upinzani na hasa Mbowe. Akiamka anatweet maudhui ya wananchi kutouamini upinzani eti akina Mbowe wanatafuta maslahi yao badala ya maslahi ya wananchi.
Mwabukusi huyu ambaye hajawahi kufilisiwa, hajawahi kuwa na kesi hata moja mahakamani, familia yake haijawahi kusumbuliwa, rumande yenyewe alipelekwa tu katika yale ninayoyaona ni mwendelezo wa kumtengeneza aonekane ni mpambanaji, hajawahi kupata msukosuko wowote unaotokana na kutetea watu zaidi ya 'misukosuko' iliyokuwa scripted kwa malengo ya haya anayoyafanya sasa, eti ananyanyua mdomo kumtangaza Mbowe na Chadema sio watetezi wa watu bali yeye ndiye mtetezi.
Na anafanya haya kwa nguvu kubwa kipindi hiki kuelekea Uchaguzi.
Je Mwabukusi sio PANDIKIZI? Karibuni kwa mjadala