SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,802
No
Upo wapi usipo maliza likizoChadema ilishanunuliwa na CCM kupitia Komredi Lowassa
Siku zimepita lakini naungana nawe katika hili, nakumbuka hoja ya huyu mzee kuhusu mgombea binafsi ingetuondolea maslahi ya magenge kwa majina ya vyama.Kabla ya kukimbilia kwenye hukumu, ni vyema mngezichambua na hoja zake kwanza ili kufahamu kama zina ukweli ndani yake, au la.
Maana hata na nyinyi wapinzani wa nchini pia siyo malaika! Kutokana na kuwa na mapungufu yenu mengi tu, kiasi cha baadhi yenu pia kuhisiwa kuwa mamluki na mapandikizi ya CCM.
Kwa mfano mimi kama mimi mpaka kesho naamini mpinzani wa kweli kuwahi kutokea ndani ya nchi hii; alikuwa ni Mchungaji Christopher Mtikila tu.