Wakili Mwabukusi ni pandikizi?

Wakili Mwabukusi ni pandikizi?

JF ndio inataka wachangiaji wake waje na tuhuma kwa wengine pasipo ushahidi?!

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Kwani unataka ushahidi umeambiwa hii ni Mahakama? Au hujui kuwa hii ni whistle-blowing forum?

Hatua na actions mbalimbali zimekwishachukuliwa na Serikali kutokea JF bila kudaiwa ushahidi. Wewe kenge unataka tukupe ushahidi kama nani? Wacha double standatds
 
Kwa hiyo kule X ulipotaka ufunguliwe ili kuweka ushahidi wako uliambiwa ndio mahakamani?!

Una upungufu upstairs.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Nimeuliza swali hili kufuatia series of events za MAPANDIKIZI mengi tuliyowahi kukutana nayo.
MAPANDIKIZI ni wale watu wanaokuzwa na wenye madaraka kwa kujibrand kama vile ni watetezi wa haki, huku wakifanya yote yanayoonekana kutetea haki za wananchi lakini wakilindwa na watawala katika namna ambayo mwenye macho makali tu ndiye anayeweza kutambua.

MAPANDIKIZI yanaweza kuwa mstari wa mbele kuitisha maandamano, lakini maandamano yasifanyike kwa kuwa script inaandaliwa na 'WAZEE' kuwa 'tutaizingira nyumba yako, tutaipiga mabomu ya rasharasha' halafu maandamano hayafanyiki. Wasio na macho makali wataona muitisha maandamano ni 'mtetezi' kumbe ni SCRIPT ya WAZEE.

PANDIKIZI linafunguliwa makesi yasiyoisha na yasiyopata hukumu. PANDIKIZI litafungua kesi against serikali y chama TWAWALA na kesi hizo mwishowe zinaisha kisanii na zinakosa mwendelezo.

Baada ya yote hayo kutokea PANDIKIZI linapata wafuasi na taratibu linaanza vita against wapigania haki wa ukweli.
PANDIKIZI halitapigwa risasi, halitafungwa, halitafilisiwa, halitakimbia nchi, pandikizi hata familia yake haitabughudhiwa...ila kutakuwa na script ambayo iko very articulated itakayoonyesha confrontation baina yake na WATAWALA.

Mfano mmojawapo wa MAPANDIKIZI ni Zitto Kabwe.

Mwabukusi ameangukia kwenye sifa hizi zote. Mkataba wa bandari ambao ulianza kupigiwa kelele na Chadema, Mwabukusi aliukimbilia haraka haraka, akauhodhi na akijua wazi mahakama itaumaliza akakimbilia mahakamani ili hatimaye a- waterdown harakati za Chadema kwenye kupinga bandari ambapo Chadema waliona mahakamani ni kupoteza muda watoe elimu ya uraia kwa wananchi. Mwabukusi akauhodhi, vikaibuka 'vita' kati yake na serikali vita ambayo mimi naiona ni usanii, wakatishia kumfuta uwakili, kesi ikatengenezwa na hatima yake hakuna kinachoendelea.

Katikati ya hayo Mwabukusi ameanza kuonyesha rangi zake halisi sasa. Kumponda MBOWE. Yeye kila kukicha kwenye Clubhouse na kwenye Twitter Spaces yeye ni kuuponda upinzani. Na timing yake ni hii hii kuelekea uchaguzi. Kwa jinsi anavyoongea na kuandika huoni akianika kwa wingi na kwa uzito wake mabaya ya CCM. Yeye ni kuuponda upinzani na hasa Mbowe. Akiamka anatweet maudhui ya wananchi kutouamini upinzani eti akina Mbowe wanatafuta maslahi yao badala ya maslahi ya wananchi.
Mwabukusi huyu ambaye hajawahi kufilisiwa, hajawahi kuwa na kesi hata moja mahakamani, familia yake haijawahi kusumbuliwa, rumande yenyewe alipelekwa tu katika yale ninayoyaona ni mwendelezo wa kumtengeneza aonekane ni mpambanaji, hajawahi kupata msukosuko wowote unaotokana na kutetea watu zaidi ya 'misukosuko' iliyokuwa scripted kwa malengo ya haya anayoyafanya sasa, eti ananyanyua mdomo kumtangaza Mbowe na Chadema sio watetezi wa watu bali yeye ndiye mtetezi.
Na anafanya haya kwa nguvu kubwa kipindi hiki kuelekea Uchaguzi.

Je Mwabukusi sio PANDIKIZI? Karibuni kwa mjadala
Ni baada ya Kila kiki yenu kubuma 😂😂😂

Ila Machadema mna vituko sana 😁😁

Kwa Sa100 Kila goti litapindishwa

View: https://www.instagram.com/p/C1wobiPsFpV/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
 
Kabla ya kukimbilia kwenye hukumu, ni vyema mngezichambua na hoja zake kwanza ili kufahamu kama zina ukweli ndani yake, au la.

Maana hata na nyinyi wapinzani wa nchini pia siyo malaika! Kutokana na kuwa na mapungufu yenu mengi tu, kiasi cha baadhi yenu pia kuhisiwa kuwa mamluki na mapandikizi ya CCM.

Kwa mfano mimi kama mimi mpaka kesho naamini mpinzani wa kweli kuwahi kutokea ndani ya nchi hii; alikuwa ni Mchungaji Christopher Mtikila tu.
Hao si Huwa wanafika bei 🤪🤪

Mbowe keshafika bei ya asali tayari 😀😀
 
Nimeuliza swali hili kufuatia series of events za MAPANDIKIZI mengi tuliyowahi kukutana nayo.
MAPANDIKIZI ni wale watu wanaokuzwa na wenye madaraka kwa kujibrand kama vile ni watetezi wa haki, huku wakifanya yote yanayoonekana kutetea haki za wananchi lakini wakilindwa na watawala katika namna ambayo mwenye macho makali tu ndiye anayeweza kutambua.

MAPANDIKIZI yanaweza kuwa mstari wa mbele kuitisha maandamano, lakini maandamano yasifanyike kwa kuwa script inaandaliwa na 'WAZEE' kuwa 'tutaizingira nyumba yako, tutaipiga mabomu ya rasharasha' halafu maandamano hayafanyiki. Wasio na macho makali wataona muitisha maandamano ni 'mtetezi' kumbe ni SCRIPT ya WAZEE.

PANDIKIZI linafunguliwa makesi yasiyoisha na yasiyopata hukumu. PANDIKIZI litafungua kesi against serikali y chama TWAWALA na kesi hizo mwishowe zinaisha kisanii na zinakosa mwendelezo.

Baada ya yote hayo kutokea PANDIKIZI linapata wafuasi na taratibu linaanza vita against wapigania haki wa ukweli.
PANDIKIZI halitapigwa risasi, halitafungwa, halitafilisiwa, halitakimbia nchi, pandikizi hata familia yake haitabughudhiwa...ila kutakuwa na script ambayo iko very articulated itakayoonyesha confrontation baina yake na WATAWALA.

Mfano mmojawapo wa MAPANDIKIZI ni Zitto Kabwe.

Mwabukusi ameangukia kwenye sifa hizi zote. Mkataba wa bandari ambao ulianza kupigiwa kelele na Chadema, Mwabukusi aliukimbilia haraka haraka, akauhodhi na akijua wazi mahakama itaumaliza akakimbilia mahakamani ili hatimaye a- waterdown harakati za Chadema kwenye kupinga bandari ambapo Chadema waliona mahakamani ni kupoteza muda watoe elimu ya uraia kwa wananchi. Mwabukusi akauhodhi, vikaibuka 'vita' kati yake na serikali vita ambayo mimi naiona ni usanii, wakatishia kumfuta uwakili, kesi ikatengenezwa na hatima yake hakuna kinachoendelea.

Katikati ya hayo Mwabukusi ameanza kuonyesha rangi zake halisi sasa. Kumponda MBOWE. Yeye kila kukicha kwenye Clubhouse na kwenye Twitter Spaces yeye ni kuuponda upinzani. Na timing yake ni hii hii kuelekea uchaguzi. Kwa jinsi anavyoongea na kuandika huoni akianika kwa wingi na kwa uzito wake mabaya ya CCM. Yeye ni kuuponda upinzani na hasa Mbowe. Akiamka anatweet maudhui ya wananchi kutouamini upinzani eti akina Mbowe wanatafuta maslahi yao badala ya maslahi ya wananchi.
Mwabukusi huyu ambaye hajawahi kufilisiwa, hajawahi kuwa na kesi hata moja mahakamani, familia yake haijawahi kusumbuliwa, rumande yenyewe alipelekwa tu katika yale ninayoyaona ni mwendelezo wa kumtengeneza aonekane ni mpambanaji, hajawahi kupata msukosuko wowote unaotokana na kutetea watu zaidi ya 'misukosuko' iliyokuwa scripted kwa malengo ya haya anayoyafanya sasa, eti ananyanyua mdomo kumtangaza Mbowe na Chadema sio watetezi wa watu bali yeye ndiye mtetezi.
Na anafanya haya kwa nguvu kubwa kipindi hiki kuelekea Uchaguzi.

Je Mwabukusi sio PANDIKIZI? Karibuni kwa mjadala

1. Ramli chonganishi kazini.

2. Siku upinzani wakistuka na kuzikemea ramli chonganishi hizi tutafika mbali sana.

3. Vipi mwingine akikuhisi wewe kuwa pandizi papa?
 
Mtu yeyote mwenye uwezo wa kufikiri anajua Mbowe(kengeza) na Zitto(Mwami) ni mapandikizi...

Achilia mbali mapandikizi wadogo wadogo kama kina Mbatia na wenzake...

Mwambukusi ni mkweli kupitiliza...

Ukiwa mkweli huwezi kukubalika mbele ya wanasiasa maslahi....

Hata Lissu ni suala la muda tu ataondoka Chadema kwa aibu na nyumbu zitapewa maelekezo ya kumtukana. ..
Mwabukusi is a real deal to our Nation .ila watu kama hawa hawakubaliki hasa banana republic kama yeti
 
Acha dharau, hujui kitu mbwa wewe zaidi ya chuki uliyoivaa dhidi ya Rais Samia.
Samia kaingia vipi kwenye hiyo post yangu (uliyo quote) hata mention ya jina lake halipo.

Mada inamjadili Mwabukusi na legal matters na upoyoyo wake Samia anaingia vipi.

Mimi nakupa facts, deal with your emotions about contributors privately; ain’t nobody cares about your feeling towards them.
 
Nimeuliza swali hili kufuatia series of events za MAPANDIKIZI mengi tuliyowahi kukutana nayo.
MAPANDIKIZI ni wale watu wanaokuzwa na wenye madaraka kwa kujibrand kama vile ni watetezi wa haki, huku wakifanya yote yanayoonekana kutetea haki za wananchi lakini wakilindwa na watawala katika namna ambayo mwenye macho makali tu ndiye anayeweza kutambua.

MAPANDIKIZI yanaweza kuwa mstari wa mbele kuitisha maandamano, lakini maandamano yasifanyike kwa kuwa script inaandaliwa na 'WAZEE' kuwa 'tutaizingira nyumba yako, tutaipiga mabomu ya rasharasha' halafu maandamano hayafanyiki. Wasio na macho makali wataona muitisha maandamano ni 'mtetezi' kumbe ni SCRIPT ya WAZEE.

PANDIKIZI linafunguliwa makesi yasiyoisha na yasiyopata hukumu. PANDIKIZI litafungua kesi against serikali y chama TWAWALA na kesi hizo mwishowe zinaisha kisanii na zinakosa mwendelezo.

Baada ya yote hayo kutokea PANDIKIZI linapata wafuasi na taratibu linaanza vita against wapigania haki wa ukweli.
PANDIKIZI halitapigwa risasi, halitafungwa, halitafilisiwa, halitakimbia nchi, pandikizi hata familia yake haitabughudhiwa...ila kutakuwa na script ambayo iko very articulated itakayoonyesha confrontation baina yake na WATAWALA.

Mfano mmojawapo wa MAPANDIKIZI ni Zitto Kabwe.

Mwabukusi ameangukia kwenye sifa hizi zote. Mkataba wa bandari ambao ulianza kupigiwa kelele na Chadema, Mwabukusi aliukimbilia haraka haraka, akauhodhi na akijua wazi mahakama itaumaliza akakimbilia mahakamani ili hatimaye a- waterdown harakati za Chadema kwenye kupinga bandari ambapo Chadema waliona mahakamani ni kupoteza muda watoe elimu ya uraia kwa wananchi. Mwabukusi akauhodhi, vikaibuka 'vita' kati yake na serikali vita ambayo mimi naiona ni usanii, wakatishia kumfuta uwakili, kesi ikatengenezwa na hatima yake hakuna kinachoendelea.

Katikati ya hayo Mwabukusi ameanza kuonyesha rangi zake halisi sasa. Kumponda MBOWE. Yeye kila kukicha kwenye Clubhouse na kwenye Twitter Spaces yeye ni kuuponda upinzani. Na timing yake ni hii hii kuelekea uchaguzi. Kwa jinsi anavyoongea na kuandika huoni akianika kwa wingi na kwa uzito wake mabaya ya CCM. Yeye ni kuuponda upinzani na hasa Mbowe. Akiamka anatweet maudhui ya wananchi kutouamini upinzani eti akina Mbowe wanatafuta maslahi yao badala ya maslahi ya wananchi.
Mwabukusi huyu ambaye hajawahi kufilisiwa, hajawahi kuwa na kesi hata moja mahakamani, familia yake haijawahi kusumbuliwa, rumande yenyewe alipelekwa tu katika yale ninayoyaona ni mwendelezo wa kumtengeneza aonekane ni mpambanaji, hajawahi kupata msukosuko wowote unaotokana na kutetea watu zaidi ya 'misukosuko' iliyokuwa scripted kwa malengo ya haya anayoyafanya sasa, eti ananyanyua mdomo kumtangaza Mbowe na Chadema sio watetezi wa watu bali yeye ndiye mtetezi.
Na anafanya haya kwa nguvu kubwa kipindi hiki kuelekea Uchaguzi.

Je Mwabukusi sio PANDIKIZI? Karibuni kwa mjadala
Msingi wa hoja zako zote ni hisia na mapenzi makumbwa uliyonayo kwa Mhe. Hisia hazipaswi kuzarauliwa kwani zinaweza kuakisi ukweli, lakini pia zinaweza zikapotosha na kuharibu mwelekeo kabisa.
Moja ya Dosari kubwa sana ya Upinzani ni kujiamini kupita uhalisia, kuona kuwa wanajua na wapo sahihi kupita wengine kudharau wakosaji na hatimaye kutozingatia maoni ya wakosoaji, na Matokeo yake ni kushindwa kujifanyia tathmini na maboresho muhimu.
Mwaka 1995-1998 Mrema alikuwa kipenzi cha wananchi lakini alipata kiburi na kuwadharau wote waliomkosoa akataka kuwa dikteta dhidi ya watu waliomkaribisha kwenye chama akawa ashauriki. na waliokuwa wanamkosoa nao wakashindwa kukubali ukweli kuwa Mrema alikuwa ruru kwao na angeweza kuwapeleka kileleni mwaka 2000. Matokeo yake akahama chama na akafa kisiasa na huo ukawa mwisho wa NCCR na TLP.
Wanachi ambao hawaipendi CC wakahamia CUF. CUF wakiwa wametoka kwenye ugomvi wa mapandikizi kati ya Mapalala na Maalim wakamkaribisha Lipumba. CUF chini ya Lipumba ikawapokea wapinzania kutoka NCCR&TLP. Lipumba naye akavutana na Maalim hoja ikiwa mapandikizi na Lowassa mwishowe CUF ikapotea.
Chadema ambao walivuna wanachama kutoka UDP, TLP na NCCR waliimarika sana kutokana na hoja za Dr Silaha Bungeni yakiwemo mabomu. Kutokana na mchango wa Silaha Bungeni CDM ikapata mvuto mkumbwa na nusura CC waondoke madarakani 2010. Kwa wale wasahaulifu Silaha ndio ameweka rekodi ya kumfanya Mgombea wa CC apate kura pungufu wakati anagombea 2nd term, haijawahi tokea tangu multipart ianze. Mmakonde alipata kura nyingi zaidi 2000 ikilinganishwa na 1995, JPM alipata zaidi 2020 kuliko 2015. Lakini Mpwani mambo yalimharibikia 2010.
2015 Silaha aliondoka CDM sababu zikiwa kutokuaminiana na hadi sasa anaonekana kuwa pandikizi.
My point ni kuwa hoja ya mapandikizi ina utafuna sana upinzani. mkosoaji yeyote huondolewa kwenye reli kwa hoja ya upandiki, upinzani huwa haufanyii kazi hoja za kukosolewa badala yake upambana na mkosoaji. Ningekuwa kiongozi wa upinzani ningewatumia doble agents kujijenga kama wapo. Kama kuna chama kina changamoto ya mapandikizi ni CC lakini hamjifunzi namna CC wanavyo deal na Double Agen. Jifunzeni kenya Rutho-Odinga, Rutho- Kinyata, Rutho against both Kinyatta and Odinga. Wapinzania mnapaswa kukomaa na kuwa Taasisi imara vinginevyo mnaweza mkapotea kikaja chama kingine. aidha, muikubali nadharia ya kukubali kuto kukubaliana. Wakatai wanaruhusu upinzani mwanzoni mwa 1990's CC walijikadiri kuwa wanaweza kung'oka kati ya 2005-2015, hivyo udhaifu wenu ndio umewafanya wawepo walipo.
 
Manyumbu bila kumtaja Zitto huwashwa na masaburi yao. Uzuri ni kwamba Zitto anawapuuza tu, anawaonyesha dole la kati tu km wakizidi.

Minyumbu inaacha kuhangaika na Mbowe wao aliye pandikizi la wazi wanahangaika na wasiowaweza
 
Samia kaingia vipi kwenye hiyo post yangu (uliyo quote) hata mention ya jina lake halipo.

Mada inamjadili Mwabukusi na legal matters na upoyoyo wake Samia anaingia vipi.

Mimi nakupa facts, deal with your emotions about contributors privately; ain’t nobody cares about your feeling towards them.
Mkuu sikukujibu wewe bali nilimjibu denoo JG kwa namna anavyomtetea Mwabukusi ambaye mimi mwenyewe najuwa alipewa Tsh 400 Million ili aivuruge serikali kwenye mkataba na DP WORLD
 
Mfahamu wakili Mwabukusi

EXCLUSIVE; MFAHAMU WAKILI MAARUFU NCHINI MWABUKUSI NA HISTORIA YAKE TANGU SHULENI

View: https://m.youtube.com/watch?v=q5tMoPkJ9Tw

Dah Jamaa yupo vema sana kama anayoongea ni ya kweli na kwamba ndivyo alivyo. Tanzania ina watu wachache sana wenye sifa za huyu jamaa. Ana fikra sahihi, mkweli, na ana msimamo pamoja na willngness ya kufanikisha malengo. Pia ni mchambuzi makini wa mambo.

Ana Unyerere, ana Umrema na Umagulification. Tena huyu ni zaidi ya mrema na Magufuri kwani ana upeo na uelewa zaidi wa mambo mtambuka. Ana Msimamo na Ujasiri kama Mrema, Ukali na uthubutu kama Magufuri, na Fikra na upeo kama Nyerere, ingawa Nyerere alikuwa vema zaidi kisiasa, kwani alikuwa makini na busara zaidi.

Kwa fikra hizi na uwezo wake wa kujenga hoja na kujieleza pamoja na uzoefu wake akiwa Serikalini, Huyu mtu siku akija kuwa mbunge, atakuwa na ushawishi mkubwa sana kwa jwananchi, ambao utamfanya kuwa mtu mkubwa sana nchini. Na iwapo atakuwa waziri, kuna kila dalili za kupaa zaidi na kuwa mtu mkubwa sana kwenye uongozi wa nchi. Mtaji mkubwa alionao ni Maarifa mengi, kujua kujieleza, Kujua udhaifu wa Serikali, Kujua shida za watu masikini zaidi na kubwa zaidi umri unamruhusu.

Kikubwa anachotakiwa kufanya ni kupunguza overconfidence, apate adviser na ashaurike. Pia anapaswa kujua nyakati, mahali na wakati sahihi wakuongea hoja. Mwisho anapaswa kujua kuwa siasa ni mikakati, hivyo lazima awe na mkakati wa kisiasa na hapo ndipo umuhimu wa adviser unakuja.

Mungu amuongoze na amuhimarishe ili matamanio yake ya kuwasaidia wananchi yatimie
 
Nimeuliza swali hili kufuatia series of events za MAPANDIKIZI mengi tuliyowahi kukutana nayo.
MAPANDIKIZI ni wale watu wanaokuzwa na wenye madaraka kwa kujibrand kama vile ni watetezi wa haki, huku wakifanya yote yanayoonekana kutetea haki za wananchi lakini wakilindwa na watawala katika namna ambayo mwenye macho makali tu ndiye anayeweza kutambua.

MAPANDIKIZI yanaweza kuwa mstari wa mbele kuitisha maandamano, lakini maandamano yasifanyike kwa kuwa script inaandaliwa na 'WAZEE' kuwa 'tutaizingira nyumba yako, tutaipiga mabomu ya rasharasha' halafu maandamano hayafanyiki. Wasio na macho makali wataona muitisha maandamano ni 'mtetezi' kumbe ni SCRIPT ya WAZEE.

PANDIKIZI linafunguliwa makesi yasiyoisha na yasiyopata hukumu. PANDIKIZI litafungua kesi against serikali y chama TWAWALA na kesi hizo mwishowe zinaisha kisanii na zinakosa mwendelezo.

Baada ya yote hayo kutokea PANDIKIZI linapata wafuasi na taratibu linaanza vita against wapigania haki wa ukweli.
PANDIKIZI halitapigwa risasi, halitafungwa, halitafilisiwa, halitakimbia nchi, pandikizi hata familia yake haitabughudhiwa...ila kutakuwa na script ambayo iko very articulated itakayoonyesha confrontation baina yake na WATAWALA.

Mfano mmojawapo wa MAPANDIKIZI ni Zitto Kabwe.

Mwabukusi ameangukia kwenye sifa hizi zote. Mkataba wa bandari ambao ulianza kupigiwa kelele na Chadema, Mwabukusi aliukimbilia haraka haraka, akauhodhi na akijua wazi mahakama itaumaliza akakimbilia mahakamani ili hatimaye a- waterdown harakati za Chadema kwenye kupinga bandari ambapo Chadema waliona mahakamani ni kupoteza muda watoe elimu ya uraia kwa wananchi. Mwabukusi akauhodhi, vikaibuka 'vita' kati yake na serikali vita ambayo mimi naiona ni usanii, wakatishia kumfuta uwakili, kesi ikatengenezwa na hatima yake hakuna kinachoendelea.

Katikati ya hayo Mwabukusi ameanza kuonyesha rangi zake halisi sasa. Kumponda MBOWE. Yeye kila kukicha kwenye Clubhouse na kwenye Twitter Spaces yeye ni kuuponda upinzani. Na timing yake ni hii hii kuelekea uchaguzi. Kwa jinsi anavyoongea na kuandika huoni akianika kwa wingi na kwa uzito wake mabaya ya CCM. Yeye ni kuuponda upinzani na hasa Mbowe. Akiamka anatweet maudhui ya wananchi kutouamini upinzani eti akina Mbowe wanatafuta maslahi yao badala ya maslahi ya wananchi.
Mwabukusi huyu ambaye hajawahi kufilisiwa, hajawahi kuwa na kesi hata moja mahakamani, familia yake haijawahi kusumbuliwa, rumande yenyewe alipelekwa tu katika yale ninayoyaona ni mwendelezo wa kumtengeneza aonekane ni mpambanaji, hajawahi kupata msukosuko wowote unaotokana na kutetea watu zaidi ya 'misukosuko' iliyokuwa scripted kwa malengo ya haya anayoyafanya sasa, eti ananyanyua mdomo kumtangaza Mbowe na Chadema sio watetezi wa watu bali yeye ndiye mtetezi.
Na anafanya haya kwa nguvu kubwa kipindi hiki kuelekea Uchaguzi.

Je Mwabukusi sio PANDIKIZI? Karibuni kwa mjadala
Labda ungesema Wakili Madereka ningekubaliana na wewe moja kwa moja.
Lakini Wakili Mwabukusi, sidhani. But anyway, ngoja tuingie 'site' ili tuifanyie kazi hoja yako.
 
Back
Top Bottom