TANZIA Wakili msomi Judith Mushumbusi hatunae tena

Kwa nini uwarudishie wazazi hela ya kukusomesha wakati ni wajibu wao? Wewe unawalipia wanao ada kubwa kubwa ili waje wakurudishie hapo baadaye? Mawazo ya kijinga kabisa haya yanayosababisha watoto wawe watumwa kwa wazazi wao maisha yao yote, na kusababisha stresses zisizo na sababu kwa watoto.
Yes nadhani jamaa hakuweka vzr hoja yake Mzazi kumsomesha mwanae ni wajibu mtoto kumtunza mzazi ni sadaka tu Ila mzazi kama anaona fahari mtoto wake anapofanikiwa Ile ndio faida yake sasa kama anakufa mapema hivyo manake anaumia mara mbili kukosa mtoto na fahari ya mwanae

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Pole kwa wafiwa.. naomba kuuliza Ivi mtu anapoitwa wakili msomi inamaana gani?
Maana sijawai kusikia Mwanahabari Msomi, Muhasibu msomi, Mwalimu Msomi au mkufunzi Msomi Neno Msomi kwa wanasheria linamaana gani? Ilihali kuna watu wana ma PHD yao sijawai kusikia wakiitwa flan Msomi
 
Mkuu kuna dada Nesi Muhimbili pale, yeye ndie alianza kuni-alert kuwa kuna uwezekano mtaani Corona imeanza kuwa nyingi kwa sababu Kuna siku walipokea wagonjwa karibu 200, na walikuwa na dalili zote.
Nikamuonya awe makini sana, na Wagonjwa na Manesi wanaowahudumia maana yeye alikuwa anaripoti kwa Boss tu.
Siku chache Baadae akaanza kulalamika kuchoka, siku ya pili akachoka sana kuliko jana yake.
Siku ya Tatu akanipigia kuwa anajisikia vibaya na maumivu ya Kichwa, nikajua Tayari mtihani ushampata. Mpaka kufikia mchana alikuwa keshakunywa Dawa za maumivu kupita kiwango chake, maana alikuwa analalamika mwili kuuma sana na maumivu makali ya Kichwa.
Mi nikamshauri aondoke arudi nyumbani, akaenda kuanza Dozi ya Tangawizi na Limao, kuanzia saa 8 mpaka 7 Usiku alikunywa karibu mara 6, ndio iliomsaidia Asubuhi akaamka kidogo nafuu. Alipofika nyumbani hali aliyonayo wadogo zake walidhani Dada yao anarudi kwa muumba.
Ukihadithiwa na mtu alieugua serious Corona hutailetea masihara. Nauheshimu mno huu Ugonjwa.

Watu wanaweka masikhara sana kwa kweli, kule kuchukua tahadhari kote kumeisha si kama awali...

Experience yake hiyo kitu ni kama mtu uumwe kwa mpigo Pumu + Malaria kali + kichwa cha Dengue + Kikohozi kile kikavu cha kuumiza mbavu + Tonsillitis "matonsesi"...

Kuna jamaa namfahamu, wiki ya pili sasa hajarecover, kila ikifika jioni hali inakuwa tete kwake roho juu juu na huyo kapigwa ile ya Stage II
 
Back
Top Bottom