Serikali....Anaangaliwa na nani?
Wamrudishe kazini basi ili wamuangalie vizuri!Serikali....
Wakae kimya ili muendelee kueneza ujinga wenuKwanini wasikae kimya tu, maana hii nchi ni ya mamaao hakuna wa kuwauliza, au wanajitekenya na kujichekesha
Uchaguzi Mkuu wa 2020 hakuwa wa HAKI. Ni fedhea na aibu kuu. Mola atawashughulikia muda utakapowadia.Wakae kimya ili muendelee kueneza ujinga wenu
Kukiri kosa mahakamani kunafuatiwa na kutiwa hatiani halafu adhabu ambayo ni hiyo conditional discharge.
Vinginevyo anaachiwa huru bila sharti lolote.
Kwa nini mtu asiye na hatia yoyote apewe masharti ya kuishi?
Hiyo tafsiri ya mwanasheria Ina ukakasi kwa mtu mwenye kutumia akili ya kawaida.
Hatia tayari, sijui kama kuna utaratibu mwingine wa kurudi mahakamani utolewe uamuzi mwingine...inaelekea wakili anataka kumkamua mapesa zaidi mteja / Ole Sabaya.
..anamdanganya mteja kwamba amemuwezesha kukwepa hatia kwa makosa aliyokuwa akituhumiwa.
Asante kwa ufafanuzi.Wakili wa Sabaya, Mh Mahuna amesema Sabaya alikiri kosa la uhujumu uchumi na hivo kwa mujibu wa makubaliano ya Plea Bargaining Sabaya anapaswa kumlipa Alex Swai kwa niaba ya mdogo wake Tsh 5,000,000/=.
Mara baada ya hayo kesi ilienda kufail tena kwa makosa mawili ambayo ni "Kujitwawalia madalaka" pamoja na "Kuzuia utendaji wa haki" na ni makosa haya mawili alikiri na mahakama ikatoa hukumu ya kumuachia kutokana na mahakama kutokuwa na record yoyote kama Sabaya aliwahi kuhukumiwa kokote na kumpa muda wa uangalizi wa mwaka mmoja asitende kosa lolote (conditional discharge). Kimsingi mpaka sasa mahakama ya Tanzania haijasajili record yoyote kama imewahi kumtia hatiani Sabaya na kumpa kifungo chochote.
Hili ni suala la kisheria na mahakama. Kama ni mdau wa sekta hiyo tafadhali toa ufafanuzi wa kutosha wa kisheria na kimahakama huku ukizingatia maelezo yaliyomo kwenye nyaraka za kimahakama (kama utazipata) yaliyomfanya Ndugu Ole awe Nje ya sero...inaelekea wakili anataka kumkamua mapesa zaidi mteja / Ole Sabaya.
..anamdanganya mteja kwamba amemuwezesha kukwepa hatia kwa makosa aliyokuwa akituhumiwa.
Si kakiri kosa lakiniWakae kimya ili muendelee kueneza ujinga wenu
Hili ni suala la kisheria na mahakama. Kama ni mdau wa sekta hiyo tafadhali toa ufafanuzi wa kutosha wa kisheria na kimahakama huku ukizingatia maelezo yaliyomo kwenye nyaraka za kimahakama (kama utazipata) yaliyomfanya Ndugu Ole awe Nje ya sero.
Wewe ni Mtaalamu wa Sheria?Kukiri kosa mahakamani kunafuatiwa na kutiwa hatiani halafu adhabu ambayo ni hiyo conditional discharge.
Vinginevyo anaachiwa huru bila sharti lolote.
Kwa nini mtu asiye na hatia yoyote apewe masharti ya kuishi?
Hiyo tafsiri ya mwanasheria Ina ukakasi kwa mtu mwenye kutumia akili ya kawaida.
Utaalamu wa kwanza duniani unaopita wote ni matumizi ya akili ya kawaida. Hapa hakuhitajiki ubingwa wa kisheria kuona ukakasi.Wewe ni Mtaalamu wa Sheria?
Yaani mi namshaangaa sana Sabaya,umeweka Mwanasheria ili akunasuwe, mwisho wa siku unaingia Plea bargain na DPP, inamaana Mwanasheria kashindwa kazi maana kuingia plea bargain na DPP hakuna ulazima sana wa kua na middle man (Lawyer)Mwanasheria uchwara huyu. Ndiyo maana mwanzo mwisho kashindwa kumnasua mteja wake kwenye makucha ya sheria. Anaongea upupu huyu mwanasheria.
Kuachiwa huru hakunaga masharti.
Hawa mwaka Jana walifaulu 16 tu hivyo sishangai Wakili kuwa kiazi kiasi hiki.Wakili wa Sabaya, Mh Mahuna amesema Sabaya alikiri kosa la uhujumu uchumi na hivo kwa mujibu wa makubaliano ya Plea Bargaining Sabaya anapaswa kumlipa Alex Swai kwa niaba ya mdogo wake Tsh 5,000,000/=.
Mara baada ya hayo kesi ilienda kufail tena kwa makosa mawili ambayo ni "Kujitwawalia madalaka" pamoja na "Kuzuia utendaji wa haki" na ni makosa haya mawili alikiri na mahakama ikatoa hukumu ya kumuachia kutokana na mahakama kutokuwa na record yoyote kama Sabaya aliwahi kuhukumiwa kokote na kumpa muda wa uangalizi wa mwaka mmoja asitende kosa lolote (conditional discharge). Kimsingi mpaka sasa mahakama ya Tanzania haijasajili record yoyote kama imewahi kumtia hatiani Sabaya na kumpa kifungo chochote.
Mbumbumbu tu Huyo.Mwanasheria uchwara huyu. Ndiyo maana mwanzo mwisho kashindwa kumnasua mteja wake kwenye makucha ya sheria. Anaongea upupu huyu mwanasheria.
Kuachiwa huru hakunaga masharti.
Mawakili siki hizi wengi ni Makanjanja sana, wengine Wana file hadi Forged documents Mahakamani ili mradi tu ashinde kesi kiujanjanja welidi hawana kabisa!!Hawa mwaka Jana walifaulu 16 tu hivyo sishangai Wakili kuwa kiazi kiasi hiki.