Wakili aliyeitwa Ofisini kwa DCI Kunyamaza ni Makosa

Mwenzako kishatapika huko mpaka wanaomlipa. Kuna cha kuongea tena hapo.

Wewe subiri leo au kesho anatangazwa mshindi wa zabuni rasmi, habari zilizovuja ni DP World. na siku wanayotangazwa wanaanza kazi rasmi.

Hapo sasa!
Habari yako FaizaFoxy.

1:- Hakuna mtu anayewachukia DPW ila mkataba ndio umekaa vibaya kwa kukosa limitation na share price.

2:- Ukiona wanasheria na wabobevu wa sheria wakiuona mkataba huo una mushkeli please kindly fungua macho na uusome upya utagundua kuwa waliousaini walisaini baada ya kupewa AMRI na mkubwa wa nchi.

Mbarawa hakuwa na jinsi ila kuusaini ila nadhani huenda alikuwa na doubt ndio sababu ulivuja na kufikia hadhira tena ukiwa umetumwa nje kwa diaspora ambao kwa mkataba huu wao ndio whistle blower.

3:- Kilichomsukuma Dr Rugemeleza Nshala sio kuwa amelipwa bali ni uzalendo wake kwa nchi yake.

Kumbuka kuwa hawa viongozi wote watakuja kuondoka madarani ila mkataba bado utakuwapo na hapo ndio mpenda nchi yeyote makini anaangalia next generation na sio next election kama wanasiasa wetu walivyo

Niishie hapa kwa sasa.

Wakatabahu
 
"Mkataba" unaoungelea wewe bado.

Unaouona ni wa makubaliano ya ushirikiano na maendeleo ya nchi mbili.

Wewe maendeleo yako yana bei?
 
Mkuu, nilikuwa sijui, hadi nilipotafakari mengi anayoandika humu, ndipo nikagundua ujuzi wake huo!
Amekuroga saa ngapi mkuu?

Maana yeye tofauti na kuwa na Imani kali ya Uislamu, hajawahi andika uchawi wowote zaidi ya Uzi wa anayemtaka amtongoze, amtongoze kwenye Uzi wake na sio PM.
 
Sio kuvimba huo ndio ukweli kila jamii ina misingi yake katika kila nyanja za maisha yanayotuzunguka. Tunapotofautina kimawazo sio sehemu ya kupanda chuki na kejeli dhidi ya mamlaka. Hapa hakuna ujuaji wala kitu chochote isipokuwa hekima na busara vinapaswa kutangulia mbele. Mbona prof shiv hakuitwa wala kutushiwa kwanini yeye. Mamlaka za nchi lazima zieshimiwe sio unaweza kuargue against na sio kumdhalilisha raisi na kauli zenye utata utanyooshwa tu. Ukitaka kujua mamlaka ziko active fanya ujinga uone ndio maana magufuri alikuwa mkali kwenye ujinga unaoitwa Uhuru wa kujieleza.
Imeandikwa wapi ndani ya sheria zetu, na katika Katiba ya nchi hii kwamba ni kuvunja sheria kama huheshimu mamlaka?

Kuheshimu mamlaka maana yake ni nini?

Ni wewe hapo unayeshikilia nyaraka za viwango vya kuwaheshimu mamlaka?

Mtu asipokubaliana na yanayofanywa na hayo mamlaka, maana yake ni kuwa haheshimu mamlaka?
 
Amekuroga saa ngapi mkuu?

Maana yeye tofauti na kuwa na Imani kali ya Uislamu, hajawahi andika uchawi wowote zaidi ya Uzi wa anayemtaka amtongoze, amtongoze kwenye Uzi wake na sio PM.
Binafsi sijawahi kumtamani hata kwa sekunde moja!
Nimewasiliana na mkuu wa wachawi humu, baada ya kuwa na mashaka juu ya huyu bibi kuwa na ufundi huo.
 
"Mkataba" unaoungelea wewe bado.

Unaouona ni wa makubaliano ya ushirikiano na maendeleo ya nchi mbili.

Wewe maendeleo yako yana bei?
Hakika ule ndio mkataba wenyewe.

Hakuna makubaliano yalishawahi kupelekwa bungeni hata siku moja.

Najua una akili na husukumwi na partisan I mean husukumwi na mapenzi yako kwa CCM
BD7511AD-5C7A-435F-9707-C5F90057C681 (1).jpeg
 
Binafsi sijawahi kumtamani hata kwa sekunde moja!
Nimewasiliana na mkuu wa wachawi humu, baada ya kuwa na mashaka juu ya huyu bibi kuwa na ufundi huo.
Hakika ule ndio mkataba wenyewe.

Hakuna makubaliano yalishawahi kupelekwa bungeni hata siku moja.

Najua una akili na husukumwi na partisan I mean husukumwi na mapenzi yako kwa CCM
Hakika ule ndio mkataba wenyewe.

Hakuna makubaliano yalishawahi kupelekwa bungeni hata siku moja.

Najua una akili na husukumwi na partisan I mean husukumwi na mapenzi yako kwa CCM
Mkuu , huyo mkuu wa wachawi kakuambia ni mchawi?
Hebu nipe majibu bro.
 
Mbona kama tender iliwasilishwa too late?
Maana makubaliano yalitiwa saini mwezi wa kumi mwaka 2022, tender imetangazwa mwezi Mei 2023, Je kuna umuhimu wa kutangaza tender wakati tayari makubaliano yashafanyika?
yes, kwanza zilitazamwa kampuni zilizoonesha nia, wabunge wakatumwa kwenye nchi zinapofanya kazi hizo kampuni zilizoonesha nia, zikawa short listed 3. Ndiyo wakapewa tender documents, hapo sasa ndiyo kunakitwa kinaitwa HGA, kinaainishwa humo, anaekikubali anasaini and at the same time mikataba ya kibiashara inafatia.

Biashara za "logistics" ni mlolongo (chain) mrefu sana, siyo bandari pekee, kwa hiyo inabidi atazamwe mwenye uwezo mzuri zaidi kuliko wenzake na aliyekubaliana na masharti ya HGA.

Sharti letu la kwanza la HGA ni mifumo yeti ya bandarini yote isomane kama kitu kimoja na kwa wakati huohuo. Hapo ndiyo wapigaji wengi hawapataki.

Cha ajabu, DP World tayari wamesemq wao wapo tayari kuifanya mifumo yote isomane hata kabla ya mikataba mingine ya bandari, na wanaweza ku finance, hiyo ina MoU ya peke yake baina ya TPA na DP World, siku nyingi sana, lakini jamaa waliikalia bandarini pale. mama kaja, kasema sasa kitu kama hiki tunakipigia kelele siku zote kumbe kipo, Fanyeni haraka, sana.

Hilo ndiyo linalowapigisha watu wote, wale wafaidika kelele zote hizi.

Humu mitandaoni mapoyoyo tu wengi, vita ya kibiashara ipo huko nje. Sema wamejulikana wote, wa ndani na wa nje. Vijana wa Tanzania kwa intelijensia usicheze nao bwana.

Kuna vita ya:

1) makampuni yanyoshindana kupata hiyo kazi'
2) Wezi na wabadhirifu waliokuwa wanafaidika.
3) Makampuni ya ICSID ambayo mengi Watanzania waliokuwa wakurugenzi bandarinina hata makanisa ni wanufaika.
4) nchi jirani zenye bandari.
5) taasisi za kidini zilizokuwa zinapitisha mizigo yao kwa wingi wakishirikiana na wafanya biashra wasio waaminifu.

Hawa namba 5 ndiyo wajinga zaidi, hujaona wauzaji wa vikorokoro vya nje vya kila kila aina wakitembeza Tanzania nzima wanakwambia "tunafanya promo". Hizo zote zinapitia misamha ya makanisa na kwa waatu kama kina Slaa, anapewa ubalozi anakwenda kuwa aombaomba wa bidhaa makanisani, anzipitisha kwa exemptions Tanzania kupitia kanisa, ataacha kulalamika mlevi yule? hawa ni hovyo kuliko wamachinga.

Hivi vya mtandaoni humu vinanunuliwa kwa vocha tu.
 
Unadanganya 100%

Mkataba ulisainiwa 2020 hiyo ya wabunge kwenda Dubai ilikuwa ni kutafuta kuhalalisha tu Faiza.

Kumbuka kilichosainiwa ulisema awali kuwa sio mkataba ila kiukweli ndio mkataba wenyewe.

Hakukuwa na ushindani na kampuni nyingine so punguza dhambi kwa kusema ukweli na kama hujui chochote bora unyamaze kuliko kumislead members hapa.
 
Attachments

  • IMG-20230714-WA0002.jpg
    IMG-20230714-WA0002.jpg
    15.9 KB · Views: 1
  • IMG-20230714-WA0004.jpg
    IMG-20230714-WA0004.jpg
    18.1 KB · Views: 1
  • IMG-20230714-WA0005.jpg
    IMG-20230714-WA0005.jpg
    11.3 KB · Views: 2
  • IMG-20230714-WA0003.jpg
    IMG-20230714-WA0003.jpg
    23.2 KB · Views: 1
Mwenzako kishatapika huko mpaka wanaomlipa. Kuna cha kuongea tena hapo.

Wewe subiri leo au kesho anatangazwa mshindi wa zabuni rasmi, habari zilizovuja ni DP World. na siku wanayotangazwa wanaanza kazi rasmi.

Hapo sasa!
Wamama wa uswahili bwana !! Kila kitu ni mipasho.
 
Unadanganya 100%

Mkataba ulisainiwa 2020 hiyo ya wabunge kwenda Dubai ilikuwa ni kutafuta kuhalalisha tu Faiza.

Kumbuka kilichosainiwa ulisema awali kuwa sio mkataba ila kiukweli ndio mkataba wenyewe.

Hakukuwa na ushindani na kampuni nyingine so punguza dhambi kwa kusema ukweli na kama hujui chochote bora unyamaze kuliko kumislead members hapa.
Mbona hiyo MoU ya 2020 inajulikana kijana.
 
MoU ya 2020 ila mkataba ndio huu wa 2023 na mmeshaupitisha bungeni kibabe
Huo uliouona bungeni unaitwa IGA, bado kuna HGA halafu kuna mikataba mingi tu ya kuendesha mambo mengi tu, siyo bandari peke yake..

Vitu vinaenda kisheria, mama hakurupuki.
 
Kama ameambiwa afunge kopo laka?
Looooh.
Kashikiwa bunduki kichwani.

Mbona aliposema yale aliyoyasema hapo mwanzo alionekana kuwa mtu mwenye kujitambua?

Hata kama angeshikiwa bunduki kichwani, bado kuna njia ya kufikisha ujumbe kuwa mdomo wake umefungwa, siyo kunyamaza tu kama bubu.

Niseme wazi, kama huyo ni msomi wa Havard kweli, kuna mambo ambayo anategemewa au hategemewi kuwa nayo au kutokuwa nayo.
Na siyo Havard tu, mtu msomi kwa kiwango chake kuna mambo asiyotegemewa kuwa nayo; moja ikiwa ni huko kufungwa mdomo.

kama ni kweli huyu katishiwa na kutishika, nitamsikitikia sana.
Tena unatishwa na majambazi yanayo ihujumu nchi yako?
 
Back
Top Bottom