Wakili Albert Msando: Issue ya Lema inahitaji Busara zaidi ya Ubishi na Ujuaji

Huyo Msando naye kama mbabaishaji.kama anataka kuwaelimisha watu humu.kwa nini asiweke sababu za kisheria zilizomnyima Lema dhamana? Kama hatafanya hivyo hawezi kueleweka.
 
*Ameandika Mwanasheria Msomi Alberto Msando.......*

Suala la Lema ni la kisheria. Tuache kupotosha na kujivika huzuni za kinafiki.

Kwa mnaosema labda Lema anaonewa ni vyema mkaelewa issues za kisheria involved. Kilichotokea ni Mahakama kuamua on technicalities. Any good lawyer knows this.

System yetu ya sheria ni adversarial. Winner takes all. Mahakama siyo chombo cha sympathy. Mwenzako akikuwahi amekuwahi.

Kwa upande mwingine hebu tujadili 'noble cause' ya Lema ambayo anaipigania kwa kuangalia kesi gani zinamkabili. Je anashtakiwa kwa makosa gani? Tukiyajua na kuyaelewa tutakuwa katika nafasi nzuri ya kuhuzunika au kushauri.

Naamini huu ni wakati wa Lema kuangalia upya strategy zake za kutafuta haki. Naamini wabunge wengine wa CDM na viongozi wao wanatafuta haki pia. Je mbona wao hawako ndani au hawajanyimwa dhamana? Je kuna mahali Lema anakosea? Au wengine ndio wanakosea?

Tujadili kwa mapana kumsaidia Lema na kumtia moyo. Sio kishabiki. We must remain objective.

My take issue ya Lema inahitaji busara zaidi ya ubishi na ujuaji.
Haha.Achaneni na hao wanasheria wanaoamini kushinda kesi lazima uwe karibu na dola. Niliwaambia Lema very soon atakuwa zigo la ccm pa kulitua hakuna. LEMA SASA HATAKI WANASHERIA WAHANAGAIKE ILA WASUBIRI KTK KESI TUU. Sasa anataka watanzania waone jinsi watuhumiwa wengine wa hali ya chini wanafanyiwa nini km Yeye anafanyiwa haya.
 
Nimemwelewa sana Msando, umeongea ukweli kuwa kwenye sheria hakuna ushabiki kama wa Yanga Na simba.

Na Lema aangalie aina ya siasa zake, kwa nini yeye tu akae ndani Na sio wenzie.!
Kwa maana hiyo Lema hana haki ya dhamana kisheria?naomba unifafanuie kidogo na mimi niweze kumuelewa.
 
Ifike pahala watu wawe na nidhamu na mamlaka zilizowekwa ama zilizopo
Huwezi kulopoka tu kwa kisingizio cha ndoto
Unataka kuwaaminisha nini wtz juu ya ndoto zako?
Msimulie mkeo nani ana haja ya kusikia ndoto zako?
Ni vema mkachunga sana ndimi zenu ili mpate kunena yaliyo mema siku zote
Usijitafutie umaarufu kwa mizuka ya ndoto hapa sio mahala pake
Huyu jamaa amenikera sana

Hivi unapataje ujasili wa kuongea utumbo namna ile?
 
Pengine mliangalie suala hili kisaikolojia/kitabibu pia. Inawezekana Lema ana matatizo ya kisaikolojia hasa ile condition ya kutaka attention 24/7. Watu wa aina hii wakikosa attention (mf. kuandikwa kwenye vyombo vya habari, kusifiwa, kuonekana mashujaa hata kama ni ushujaa wa kijinga...) basi hujitafutia attention kwa gharama yo yote hata kuua au kufanya jambo la kuhatarisha maisha yao. Watu wa ushauri nasaha ongeeni kwa kituo na huyo "kamanda" ili mng'amue kama ana tatizo hili au hata mengineyo. Vinginevyo he will destroy himself and those around him!
 
*Ameandika Mwanasheria Msomi Alberto Msando.......*

Suala la Lema ni la kisheria. Tuache kupotosha na kujivika huzuni za kinafiki.

Kwa mnaosema labda Lema anaonewa ni vyema mkaelewa issues za kisheria involved. Kilichotokea ni Mahakama kuamua on technicalities. Any good lawyer knows this.

System yetu ya sheria ni adversarial. Winner takes all. Mahakama siyo chombo cha sympathy. Mwenzako akikuwahi amekuwahi.

Kwa upande mwingine hebu tujadili 'noble cause' ya Lema ambayo anaipigania kwa kuangalia kesi gani zinamkabili. Je anashtakiwa kwa makosa gani? Tukiyajua na kuyaelewa tutakuwa katika nafasi nzuri ya kuhuzunika au kushauri.

Naamini huu ni wakati wa Lema kuangalia upya strategy zake za kutafuta haki. Naamini wabunge wengine wa CDM na viongozi wao wanatafuta haki pia. Je mbona wao hawako ndani au hawajanyimwa dhamana? Je kuna mahali Lema anakosea? Au wengine ndio wanakosea?

Tujadili kwa mapana kumsaidia Lema na kumtia moyo. Sio kishabiki. We must remain objective.

My take issue ya Lema inahitaji busara zaidi ya ubishi na ujuaji.

Huyu naye wakili hovyo. Technicalities zipi. Ksendo hujasoma sheria peke yako,
 
For your information, hukumu nyingi zikitoka high court huwa zinakuwa overturned! Fuatilia hukumu za hawa wa juzi utaona
 
*Ameandika Mwanasheria Msomi Alberto Msando.......*

Suala la Lema ni la kisheria. Tuache kupotosha na kujivika huzuni za kinafiki.

Kwa mnaosema labda Lema anaonewa ni vyema mkaelewa issues za kisheria involved. Kilichotokea ni Mahakama kuamua on technicalities. Any good lawyer knows this.

System yetu ya sheria ni adversarial. Winner takes all. Mahakama siyo chombo cha sympathy. Mwenzako akikuwahi amekuwahi.

Kwa upande mwingine hebu tujadili 'noble cause' ya Lema ambayo anaipigania kwa kuangalia kesi gani zinamkabili. Je anashtakiwa kwa makosa gani? Tukiyajua na kuyaelewa tutakuwa katika nafasi nzuri ya kuhuzunika au kushauri.

Naamini huu ni wakati wa Lema kuangalia upya strategy zake za kutafuta haki. Naamini wabunge wengine wa CDM na viongozi wao wanatafuta haki pia. Je mbona wao hawako ndani au hawajanyimwa dhamana? Je kuna mahali Lema anakosea? Au wengine ndio wanakosea?

Tujadili kwa mapana kumsaidia Lema na kumtia moyo. Sio kishabiki. We must remain objective.

My take issue ya Lema inahitaji busara zaidi ya ubishi na ujuaji.

Ajitahidi kuzuia hasira na kutokuamua mambo kwa hisia bila kuzingatia sheria na uhalisia. Anaweza kuwa na ujumbe mzuri lakini njia anazotumia kuziwasilisha zinamfanya kila siku anakuwa victim...Unaweza kueleza disatisfaction in a dicent way na bado ikaonekana ina nguvu kuliko kutumia nguvu zenyewe kulazimisha watu wakubaliane na maoni yako
 
HIVI KWANINI UKITOA MAWAZO TOFAUTI NA VIONGOZI WAKO UNAITWA MSALITI?
Kwakua hatujafunzwa kutofautiana kiustaarabu na kukubaliana kutokubaliana. Hii ni shida ya sisi wengi nchini kwetu kuanzia upinzani mpaka kwa wenye kutuongoza...

Anayeongea kupendezesha ndiyo anayeonekana na nidhamu na anayetukana ndiye anayeonekana shujaa na jasiri..Pia perception zetu zipo negative mara nyingi hata kama jambo lina madhara ya kweli
 
Hakuna busara kwenye vitu ambavyo sheria imevitaja direct dhaman ni haki ya mtu kikatiba wala hakutaki busara apo kosa la lema lipo bailable kisheria sasa apo busara ya nn
Mkuu kuna conditions na exceptions. Wanasheria wanasema every general rule has exceptions. General rule ni kwamba dhamana ni haki ya mshitakiwa lakini kuna kesi ambazo mshitakiwa anweza kunyimwa dhamana kwa mujibu wa sheria. Hakimu pia amepewa madaraka ya kuangalia kazingira kabla ya kutoa dhamana. Kuna mazingira kama ya hali ya mtu kuwa na kesi akapewa dhamana, akiwa nje akatenda kosa sawa na lile ambalo amepewa dhamana kwalo. Hapo hakimu ana mamlaka ya kumpa ama kutompa dhamana. Hakimu pia ana mamlaka ya kutompa mshitakiwa dhamana kama kwa kupewa dhamana kunaweza kuhatarisha maisha yake uraiani. Hapo ni mawakili kuonyeshana ubabe wa hoja ili ionekane kama mshitakiwa apewe dhamana ama asipewe.
 
huyu jamaa anaongea v2 ju2 2,kwa nn asioneshe mishng ya kisheria inayompa m2 dhamana na ip haimpi m2 dhana na co kusema 2 maneno na kuyaacha yakielea hewan! mnaomtaka msando aje kutolea ufafanuz wa vfungu vnavyomnyima m2 dhamana kamwe haj hapo alikuwa anashow off il mwune ye2 n mjuv wa sheria!
 
Mkuu kuna conditions na exceptions. Wanasheria wanasema every general rule has exceptions. General rule ni kwamba dhamana ni haki ya mshitakiwa lakini kuna kesi ambazo mshitakiwa anweza kunyimwa dhamana kwa mujibu wa sheria. Hakimu pia amepewa madaraka ya kuangalia kazingira kabla ya kutoa dhamana. Kuna mazingira kama ya hali ya mtu kuwa na kesi akapewa dhamana, akiwa nje akatenda kosa sawa na lile ambalo amepewa dhamana kwalo. Hapo hakimu ana mamlaka ya kumpa ama kutompa dhamana. Hakimu pia ana mamlaka ya kutompa mshitakiwa dhamana kama kwa kupewa dhamana kunaweza kuhatarisha maisha yake uraiani. Hapo ni mawakili kuonyeshana ubabe wa hoja ili ionekane kama mshitakiwa apewe dhamana ama asipewe.
Iyo kesi ya Lema haipo kwenye izo exception za kunyimwa dhamana soma criminal procedure Act kifungu cha 148 (5)
 
Tafsiri ya ukamanda inapotoshwa na Chadema, ukamanda sio kuvunja sheria na kutoa lugha za matusi.

Mhe G Lema kajisahau na kasauhau uhuru wa mipaka yake. Kuwa huru na Member of Parliament siyo kigezo cha kumdhihaki Rais wa nchi, siyo kigezo cha kujifanya waswahili husema "much know" eti Rais atakufa. Hii ni kutotumia common sense na hata wakati wa enzi za mahakama ya kimila kabla ya uhuru wa Tanganyika raia yeyote hangethubutu kumkashifu Mangi wa Wachagga au Mtemi yeyote abaki mzima. Lema should and must change his strategies of seeking for true freedom of speech na kutafuta haki bila kuthihaki binadamu mwengine. Mtawala wa nchi lazima aheshimiwe hata kama umesoma zaidi ya huyo Rais, mfano mzuri General Iddi Amin Dada alikuwa standard four leaver(grade four) lakini kama Rais wa Uganda alitawala kwa zaidi ya miaka saba na hakuna Professor yeyote alidiriki kumdhihaki na kama yeyote alijaribu alikula risasi!!! Sasa Lema ajue nchi yetu ina amani na never use vulgar language.
 
Naona wapuuzi mmejezana na upuuzi wenu Humu ndani! Endeleeni kuota but Lema atatoka na atakua strong
 
Na wasiokuwa Makamanda akina Lugumi. Rugemarila, Chenge, Tibaijuka, na wale wote wa escrow na IPTL na Wabunge wa MACCM hawahitaji kuwa watiifu rushwa na ufisadi mbele kwa mbele lakini hakuna sheria ya kuwagusa they are above the law! Ila kuna sheria ya kumnyanyasa Lema! Mpuuzi kweli wewe!

Makamanda siku zote wanakuwa watiifu na wenye nidhamu ya hali ya juu. Sasa nashangaa hawa Makamanda wa CHADEMA sijui wa aina gani. Au ni makamanda wa aina ya Al Shabaab na ISIS
 
Back
Top Bottom