kedekede
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 5,298
- 7,646
Kuna kipindi Mbunge muheshimiwa Esther Bulaya alipomshinda katika Rufaa bwana Tyson nilisema walipoisifu mahakama imetenda haki kwao ikija ya Mbunge muheshimiwa Godbless Lema au kesi yoyote ya mahakamni wasijekusema mahakama hazitendi haki,je mko wapi?mahakama inatenda haki kwenu tu watu wenu wakishinda kesi,mkibanwa mnaonewa!*Ameandika Mwanasheria Msomi Alberto Msando.......*
Suala la Lema ni la kisheria. Tuache kupotosha na kujivika huzuni za kinafiki.
Kwa mnaosema labda Lema anaonewa ni vyema mkaelewa issues za kisheria involved. Kilichotokea ni Mahakama kuamua on technicalities. Any good lawyer knows this.
System yetu ya sheria ni adversarial. Winner takes all. Mahakama siyo chombo cha sympathy. Mwenzako akikuwahi amekuwahi.
Kwa upande mwingine hebu tujadili 'noble cause' ya Lema ambayo anaipigania kwa kuangalia kesi gani zinamkabili. Je anashtakiwa kwa makosa gani? Tukiyajua na kuyaelewa tutakuwa katika nafasi nzuri ya kuhuzunika au kushauri.
Naamini huu ni wakati wa Lema kuangalia upya strategy zake za kutafuta haki. Naamini wabunge wengine wa CDM na viongozi wao wanatafuta haki pia. Je mbona wao hawako ndani au hawajanyimwa dhamana? Je kuna mahali Lema anakosea? Au wengine ndio wanakosea?
Tujadili kwa mapana kumsaidia Lema na kumtia moyo. Sio kishabiki. We must remain objective.
My take issue ya Lema inahitaji busara zaidi ya ubishi na ujuaji.