Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,941
- 9,947
Soma vizuriIyo kesi ya Lema haipo kwenye izo exception za kunyimwa dhamana soma criminal procedure Act kifungu cha 148 (5)
Soma vizuriIyo kesi ya Lema haipo kwenye izo exception za kunyimwa dhamana soma criminal procedure Act kifungu cha 148 (5)
Kama babu wa loliondo alioteshwa na bado mkaamini ameoteshwa na "mugu wake" hata angelisema mnywe mkojo wake bado mngefanya hivyo tu, ilimradi hatukujua mnaumwa nini, na hatujui kama mlipona.?Ifike pahala watu wawe na nidhamu na mamlaka zilizowekwa ama zilizopo
Huwezi kulopoka tu kwa kisingizio cha ndoto
Unataka kuwaaminisha nini wtz juu ya ndoto zako?
Msimulie mkeo nani ana haja ya kusikia ndoto zako?
Ni vema mkachunga sana ndimi zenu ili mpate kunena yaliyo mema siku zote
Usijitafutie umaarufu kwa mizuka ya ndoto hapa sio mahala pake
Huyu jamaa amenikera sana
Hivi unapataje ujasili wa kuongea utumbo namna ile?
Labda tumuulize msando, anavyoona yeye anataka busara itoke wapi na itoke kivipi?*Ameandika Mwanasheria Msomi Alberto Msando.......*
Suala la Lema ni la kisheria. Tuache kupotosha na kujivika huzuni za kinafiki.
Kwa mnaosema labda Lema anaonewa ni vyema mkaelewa issues za kisheria involved. Kilichotokea ni Mahakama kuamua on technicalities. Any good lawyer knows this.
System yetu ya sheria ni adversarial. Winner takes all. Mahakama siyo chombo cha sympathy. Mwenzako akikuwahi amekuwahi.
Kwa upande mwingine hebu tujadili 'noble cause' ya Lema ambayo anaipigania kwa kuangalia kesi gani zinamkabili. Je anashtakiwa kwa makosa gani? Tukiyajua na kuyaelewa tutakuwa katika nafasi nzuri ya kuhuzunika au kushauri.
Naamini huu ni wakati wa Lema kuangalia upya strategy zake za kutafuta haki. Naamini wabunge wengine wa CDM na viongozi wao wanatafuta haki pia. Je mbona wao hawako ndani au hawajanyimwa dhamana? Je kuna mahali Lema anakosea? Au wengine ndio wanakosea?
Tujadili kwa mapana kumsaidia Lema na kumtia moyo. Sio kishabiki. We must remain objective.
My take issue ya Lema inahitaji busara zaidi ya ubishi na ujuaji.
Ninyi si mnajiita Makamanda? muokoeni sasa Lema...!
Ni Ukweli kwamba Mawakili wa Lema walifanya makosa lakini hawakukusudia kuyafanya, ni technicalities za kisheria tu hizo ila wao tatizo lao waliwadharau Mawakili wa Serikali kuwa siyo Smart so hawatagundua kasoro hizo, hivo wakawakuta nao wapo smart sana.
Sasa Lema, Mwanzoni alitenda kosa akapewa Dhamana, lakini ile dhamana ilikuwa na masharti kadhaa ambayo Alitakiwa ayafuate, siku chache baadae akatenda tena kosa kwamba, Eti kaoteshwa Rais Magufuli atafariki dunia asipojirekebisha ....hili ni kosa kubwa sana kiusalama, hasa wa Rais, kwenye mambo ya usalama wa Rais ni priority namba one, kila mtu akitaka awe anatangaza kila Ndoto anayoota tutafika? kwani kulikuwa na umuhimu wowote kutangaza hadharani hiyo Ndoto? Je kama mmepanga mipango ya kumdhuru Rais sasa LEMA ndo katumwa atangaze kuwa Rais Atakufa ili ikitokea wananchi wasishtuke saaana????
Hivyo, Dhamana ya Lema imecheleweshwa na Mawakili wake na si kwamba kuna mkono wa mtu kama ambavyo Imeanza kuenezwa na wazushi...
Sasa Mawakili wanayo option ya Kukata rufaa mahakama ya Rufaa au waombe revisions tu.
Otherwise, akae tu KISONGO hadi JUNE 2017, nadhani atakuwa amenyooka sana.
Afu niwaombe Magereza Kisongo, LEMA asikae tu ndani, apewe shoka au jembe aende shambani kulima au akate kuni, au apewe UNYAMPARA.
*Ameandika Mwanasheria Msomi Alberto Msando.......*
Suala la Lema ni la kisheria. Tuache kupotosha na kujivika huzuni za kinafiki.
Kwa mnaosema labda Lema anaonewa ni vyema mkaelewa issues za kisheria involved. Kilichotokea ni Mahakama kuamua on technicalities. Any good lawyer knows this.
System yetu ya sheria ni adversarial. Winner takes all. Mahakama siyo chombo cha sympathy. Mwenzako akikuwahi amekuwahi.
Kwa upande mwingine hebu tujadili 'noble cause' ya Lema ambayo anaipigania kwa kuangalia kesi gani zinamkabili. Je anashtakiwa kwa makosa gani? Tukiyajua na kuyaelewa tutakuwa katika nafasi nzuri ya kuhuzunika au kushauri.
Naamini huu ni wakati wa Lema kuangalia upya strategy zake za kutafuta haki. Naamini wabunge wengine wa CDM na viongozi wao wanatafuta haki pia. Je mbona wao hawako ndani au hawajanyimwa dhamana? Je kuna mahali Lema anakosea? Au wengine ndio wanakosea?
Tujadili kwa mapana kumsaidia Lema na kumtia moyo. Sio kishabiki. We must remain objective.
My take issue ya Lema inahitaji busara zaidi ya ubishi na ujuaji.
Anatafuta atoke vipiAlbert Msando si mmojawapo wa wasaliti?
By not mixing themHow is it possible to separate the two?
Kama babu wa loliondo alioteshwa na bado mkaamini ameoteshwa na "mugu wake" hata angelisema mnywe mkojo wake bado mngefanya hivyo tu, ilimradi hatukujua mnaumwa nini, na hatujui kama mlipona.?
View attachment 442401
Haki itakuja tendeka tu. Hakuna haja ya kutaka eti wapigiwe magoti ili wamhurumie Lema. Tutakuwa tunahalalisha ukandamizaji.*Ameandika Mwanasheria Msomi Alberto Msando.......*
Suala la Lema ni la kisheria. Tuache kupotosha na kujivika huzuni za kinafiki.
Kwa mnaosema labda Lema anaonewa ni vyema mkaelewa issues za kisheria involved. Kilichotokea ni Mahakama kuamua on technicalities. Any good lawyer knows this.
System yetu ya sheria ni adversarial. Winner takes all. Mahakama siyo chombo cha sympathy. Mwenzako akikuwahi amekuwahi.
Kwa upande mwingine hebu tujadili 'noble cause' ya Lema ambayo anaipigania kwa kuangalia kesi gani zinamkabili. Je anashtakiwa kwa makosa gani? Tukiyajua na kuyaelewa tutakuwa katika nafasi nzuri ya kuhuzunika au kushauri.
Naamini huu ni wakati wa Lema kuangalia upya strategy zake za kutafuta haki. Naamini wabunge wengine wa CDM na viongozi wao wanatafuta haki pia. Je mbona wao hawako ndani au hawajanyimwa dhamana? Je kuna mahali Lema anakosea? Au wengine ndio wanakosea?
Tujadili kwa mapana kumsaidia Lema na kumtia moyo. Sio kishabiki. We must remain objective.
My take issue ya Lema inahitaji busara zaidi ya ubishi na ujuaji.
Kama huna majungu utaweza.How is it possible to separate the two?
Kasome kwanza hotuba huyo Ngambo, ndo utaelewa kinachosemwa kuhusu mahakama Arusha.Kuna kipindi Mbunge muheshimiwa Esther Bulaya alipomshinda katika Rufaa bwana Tyson nilisema walipoisifu mahakama imetenda haki kwao ikija ya Mbunge muheshimiwa Godbless Lema au kesi yoyote ya mahakamni wasijekusema mahakama hazitendi haki,je mko wapi?mahakama inatenda haki kwenu tu watu wenu wakishinda kesi,mkibanwa mnaonewa!
Akafie mbele huko kwenye kesi ya Lipumba na Msajili wa vyamaCHADEMA angalieni hapo kijana wa ACT anaomba kazi ya kumsimamia Lema
Ukisha soma wewe inatosha!lakini nimeshasema tayari!Kasome kwanza hotuba huyo Ngambo, ndo utaelewa kinachosemwa kuhusu mahakama Arusha.
Ooo..o akianza kusifu na kushangilia kila kitu chenu, atapata dhamana. Pole ndg kwa unyonge huu.Nimemwelewa sana Msando, umeongea ukweli kuwa kwenye sheria hakuna ushabiki kama wa Yanga Na simba.
Na Lema aangalie aina ya siasa zake, kwa nini yeye tu akae ndani Na sio wenzie.!
Pole wahitaji msaada wa kisaikolojiaHii iwafikie mashabiki UCHWARA wote wa MH. Lema!