Bashe: Albert Msando usitafute cheo kwa kupitia mgongo wangu, pambana na hali yako

Pagan Amum

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
1,932
4,395
Lema siwezi kushangaa reaction yake bcs huyu ndo Lema ninaemfahamu ambae tumekua marafiki kwa miaka mingi ana belief yake juu ya kutatua mambo na mimi njia yangu.

Wakati yeye analalamika kutoweka Ben Saanane twitter mimi nilisimama bungeni kutaka kauli ya Serikali kwa kutumia kanuni na kuomba ijadiliwe kama jambo la dharura “sikufanikiwa” na sikukata tamaa.

Wakati Lissu ameshambuliwa kwa risasi, Lema aliamini kuwa solution ni kulalamika twitter mimi niliamua kutumia Bunge kutaka kamati ya kudumu ya ulinzi ifanyie kazi na taarifa iletwe Bungeni “nilifanikiwa nusu”ripoti haijaletwa na kamati kikanuni imekufa kwahiyo solution ya Lema ni kushinikiza unashinikizaje twitter,Facebook na Instagram.

Wakati viongozi wa CCM wanauwawa Kibiti Lema aliamini njia pekee ni kusema na kufanya quotation za maandiko matakatifu na inspiration quotation mimi natumia kanuni za Bunge na Sheria kudai uchunguzi.

Now nimeona kamati ya Bunge ki kanuni haipo ya mzee adadi nimeamua kuchukua hatua ya kisheria, kikatiba na kikanuni na I will push this agenda hata kama tabaki peke yangu because I belive ninachosimamia ni kwa maslahi ya nchi yangu, chama changu na watanzania kwa ujumla.

Kwahiyo kila mmoja wetu ana njia yake ya kutatua matatizo naheshimu njia ya Lema kupiga kelele Facebook, Twitter na Instagram.

Kanuni zipo wazi njia pekee ambayo mimi binafsi naamini kutatua changamoto zote hizi ni either Mahakama or Bunge na mimi matumizi wajibu wangu ambao niliapa Bungeni 2015 na niliapa 1995 wakati napewa kadi ya CCM.

On Msando niseme nimesoma andiko lake nimejifunza mambo makubwa matatu with his immaturity.

(1)Hajui wala hafahamu historia yangu ya kisiasa sijawahi kutafuta kiki huwa nafanya ninachoamini ni sahihi na nimekua kwenye Chama Cha Mapinduzi not because ninaamini kwa mtu, but I subscribe kwenye ideology misingi na culture ya chama chetu.

Nadhani Msando bado a nahitaji kujifunza ukisilimu ama ukiokoka jifunze Biblia ama Quran kabla ya kujifanya unaifahamu sana Dini hiyo kuliko uliowakuta ni vizuri kifahamu kazi za mbunge wa CCM ni zipi kipi ana ripoti wapi na kwanini ni wakati gani anafanya kazi za umma na wakati gani anafanya kazi za chama.

(2)Usitafute cheo ama recognition kupitia mgongo wangu na mimi sipo CCM kutafuta cheo, I am here because I belive katika ideology na misingi ya chama hiki na am on record kuwa sikimbii matatizo na I belive I have duty kusimamia haki za raia and this part of my job

(3)Umeuliza mengi kuhusu Nzega karibu ufike ujifunze na kupitia huko utamfahamu mengi kuhusu uliouliza na majibu utapata kwa wananchi.

Kwahiyo naamini I have chosen to do wat I belive is Right for my Country.

Mchana mwema nitaongea zaidi Alhamisi Lema acha kulalamika social media tumia Bunge ambalo wewe mbunge nimeona hoja yako Bunge limekufa means wewe umekufa umeshindwa kutimiza wajibu wako tusitafute cheap answers kwenye critical issues I-salute walioamua kwenda mahakamani kina Karume because hiyo ni njia sahihi. Because nchi yetu ina legal platform, let us not mislead people na hili jambo CCM waathirika, CHADEMA waathirika wasiokua na vyama waathirika every one has to do his part.

Good day nafahamu ipo siku watanielewa
Bashe....
 
Insanity is doing the same thing all over and over again expecting different results!

Bashe amekiri hapo juu kuwa keshapeleka hoja kibao bungeni juu ya haya masuala na hazikufika popote, sasa sijui ni kipi haswa kinamfanya kuamini kuwa safari hii atafanikiwa!!
 
Back
Top Bottom