Matola hata wewe unamchukia ZZK kwasababu za kupikwa? Aibu kubwa
nimemsikiliza yupo vizuri. ametumia taaluma yake kumtetea zitto
Jiunge naye Facebook, Zitto ni mwenyekiti wa Chadema Facebook. kwenye chama hana chake na mnaoshabikia ubongo wenu umeoza.
Acha unafiki wewe kamanda wa lema. Kwani mwanzo ulijua alitumia nini kumtetea zitto!nimemsikiliza yupo vizuri. ametumia taaluma yake kumtetea zitto
Acha unafiki wewe kamanda wa lema. Kwani mwanzo ulijua alitumia nini kumtetea zitto!nimemsikiliza yupo vizuri. ametumia taaluma yake kumtetea zitto
Wewe si umeamia CCM kuliko tena.Zitto labda kama kuna chama cha mahakama huko ndio kunamfaa.
Hawa jamaa wanafiki sana wakili Albert Msando ni kiboko ya Lissu, wanamchukia kisa rafiki yake Zitto.Acha unafiki wewe kamanda wa lema. Kwani mwanzo ulijua alitumia nini kumtetea zitto!
Kwikwikwi mtaanza kuelewa taratibu na wewe lazima hutwe msaliti.
Yani unajaribu kuwadanganya watu ulikuwa hujui MsandoAlberto ni nani katika swala la Zitto? Chadema himewafanya mmekuwa vipofu.
cc Ritz THE BIG SHOW MSALANI mwekundu CHAMVIGA
Cc Matola Ben Saanane Tumaini Makene Dr.W.Slaa Rose Mayemba Henry Kilewonimemsikiliza yupo vizuri. ametumia taaluma yake kumtetea zitto
Wewe si umeamia CCM kuliko tena.
Wewe si umeamia CCM kuliko tena.
nimemsikiliza yupo vizuri. ametumia taaluma yake kumtetea zitto
Jiunge naye Facebook, Zitto ni mwenyekiti wa Chadema Facebook. kwenye chama hana chake na mnaoshabikia ubongo wenu umeoza.
Msando ni mbabaishaji,anatafuta cheap popularity.