Wakili Albert Msando EATV kwenye mikasi!

Wakili Albert Msando EATV kwenye mikasi!

Nenda kapigane Jihad CAR kule hakuna mzaha Waislamu wanachinjwa kama kuku.
Hii dunia wote tunapita labda wewe utaishi milele, wala wewe siyo wa kwanza kufarahia waislam kuchinywa
 
Waberoya with all due respect sikutegemea wewe uje na comment dhaifu kiasi hiki, unless uniambie kile kimya chako chote cha kutoonekana hapa JF kwa Mwaka mzima na ushehe basi Id hii sasa inatumika kama taasisi na si Waberoya yule ninayemjuwa mimi.

Na wewe ni Mm ngapi?
Andika kiswahili tu kingereza unakipenda lakini bahati mbaya chenyewe akikupendi.
 
Last edited by a moderator:
Kwamba hapa umejipachika uanalist kwamba unalowaza wewe na kuona wewe sahihi ndio sahihi? upogo huu.

What if kama unazooengea hapa ni pumba tupu? hata Mansoor kule Zanziber alipata wafuasi wa kusikiliza song lake la Zanziber huru yenye mamlaka kamili lakini walipomsuck out wale mashabiki wake hawaonekani.

Zitto kama yeye ni mmarufu kuliko taasisi ahame chama au aanzishe chama chake. chapter is closed
Teh teh teh, eti chapter is closed...mbavu zangu.
 
Last edited by a moderator:
Unahangaika sana we boya.................... Narudia tena. Albert Msando ametumia taaluma yake ya kisheria kumtetea zitto. yupo vizuri.
Hakutoka mabogini kuhubiri injili, subiri ziliwe tuone kama watakuwa pamoja.
Kama vile Marando wa Chadema anavyotumia taaluma yake kuwatetea wezi wa EPA.
 
Unahangaika sana we boya.................... Narudia tena. Albert Msando ametumia taaluma yake ya kisheria kumtetea zitto. yupo vizuri.
Hakutoka mabogini kuhubiri injili, subiri ziliwe tuone kama watakuwa pamoja.

Hawajakutana barabarani
 
Ng'wama naungana mkono na wewe

kuna mtu leo anaamini kuwa eti Chadema au NCCR kuwa zikiingia ikulu ndio tutaendelea. I do hate CCM, oh I do

lakini tatizo letu liko deeped zaidi, tukiweza kujenga Familia zenye nguvu, taasisi zenye nguvu, ndio tutapata Taifa lenye nguvu

I cant imagine, kuwa someone ni baba wa familia lakini ni gullible, anaweza kudanganywa na wahuni wachache, akapelekeshwa kama upepo , yet these men are 'family men'

Ujinga wetu, na upofu wetu ni kama maiti, watu hawajiulizi, hawaulizi, wanapelekwa kama kundi la nyumbu, it is pity

I have been waiting over and over, mtu aje na incontrovertible truth kuwa ubaya wa zitto ni huu hapa. Hamna

just imagine starting from Lissu, lema, mnyika, n.k watu tuliowategemea kuwa watakuwa icon of changes, wamekuwa icon ya ujinga wa kutumika na wachache, yet these men we are expecting to lead us????? ney

ukiweza kudanganywa na kupumbazwa na Mbowe na Slaa kutimiza malengo yao; hao mababa wa uongo ( wazungu) utaweza vipi kuwapinga??

kwa nini tumekuwa so cheap wa kuaminishwa kitu, kama vile dini, ukakiamini na kukiingiza kabisa moyoni na ukaishi katika huo uongo??

Wale wana CCM tuliokuwa tunawaona wame hehuka kwa Kikwete kuwa chaguo la Mungu, baada ya Kikwete kuwadanganya over ten years; ndiyo tunaowaona chadema kwa style nyingine wakiwa wameaminishwa over just 4 years kuwa zitto ni msaliti

Kosa letu ni nini? kwa nini wanasiasa wahuni?? ukienda nyumba za ibada nako utawakuta wahuni wahuni tu, YET we are royal followers of these thieves; whom we can never QUESTION THEM?? any question??

Ng'wama huwa najaiuliza naumia sana, kama jamii yetu hatuwezi kujiuliza, tukauliza, tukakataa kupumbazwa na kuendeshwa kwa hisia, nani wa kutuokoa??


Aiseee,

Mkuu TAKE THE BIG LIKE FROM THE BIG SHOW

Tukiwa na watu laki kama wewe,basi taifa hili lote linakombolewa believe me.

Thank you
 
Last edited by a moderator:
Hii dunia wote tunapita labda wewe utaishi milele, wala wewe siyo wa kwanza kufarahia waislam kuchinywa
Matola si futuhi tuh humu ndani?

Kwan yule ASHA mohamed yuko wapi??emeshajifungua tayari??maaana i heard that she's expectin two have twins
 
Last edited by a moderator:
Unahangaika sana we boya.................... Narudia tena. Albert Msando ametumia taaluma yake ya kisheria kumtetea zitto. yupo vizuri.
Hakutoka mabogini kuhubiri injili, subiri ziliwe tuone kama watakuwa pamoja.

Watoto wa arusha wa.pu.mba.vu sana

Lema akishawanunulia viroba na kuwapa bundles za internet basi mtakesha usiku kucha na mchana wote kuongea onge mashudu humu ndani

Angalieni sana,jamaa yenu mwisho 2015 mtaolewa nyinyi
 
Alberto amekataliwa na wananchi wake mabogin leo hii atatuambia nn watanzania.Kazi yake kulala na wasanii wa kike na hata mkewe Jack amechoshwa na tabia ya dume hili.Kuwa bright darasani haimaanishi kuwa na uwezo wa kutawala au kuwa na elimu dunia ya kujua mahusiano na watu au makundi nbalimbali
li katika jamii.Msando like his friend ni watu wanaopenda umaarufu na mamlaka.
Pole sana ukona kijana unatoa maneno ya uongo kama haya, basi tujue taifa limekwisha. Labda alilala na dadako hakumlpa
 
Mie binafsi naunga mkono hoja.
Na hapo zamani za kale, nilishasema mawazo yangu kuwa,tatizo la Tanzania sio CCM, nikaongeza virtual entity kama CCM haiwezi leta matatizo ya uchumi ama virtual entity kama CHADEMA haiwezi leta maendeleo ama ukombozi wowote. Nikasema, tatizo letu ni ile physical processing unit iliyo ktk virtual machine na hii ni watanzania. Tatizo letu hakika sio chama bali ni watanzania wenyewe.
Bila kufanyia maarifa hii processing unit yani watanzania wenyewe hakika tutabaki tunaiba tu karne na karne.

Mkamap right on!

I hv waited so long atokee mtu ndani au nje ya ccm, upinzani n.k ambaye ata analyse matatizo ya watanzania, sioni, naona uwezo wetu ni kuiponda tu ccm
 
Unachokionyesha kwenye andiko lako hili kina ishara zote za kuwa na fikra ambazo zinajongea hoja huku zimetawaliwa na inferiority complex.

Utaonekana umejenga hoja isiyosukumwa na mapungu yenye inferiority complex kihoja kama utaonyesha wapi nimelazima kuwa hoja yangu ni Alfa and Omega.

Kama ungefahamu kuwa moja ya nguzo kuu za binadamu ni mapungufu, basi hata andiko lako hili lingekuwa ni kaput hata kabla ya kulileta hapa.

Haya ni mawazo yangu kama yalivyo mawazo yako lakini kinachosimama zaidi katika hoja nyingi ni nguvu iliyoko ndani ya hoja ambayo inabebwa na ukweli/uharisia na siyo nguvu iliyoko nje ya hoja, kwa maana nyingine, hoja ya nguvu.

Hatuko hapa kwenye probability kihoja, bali tuko katika upembuzi wa hoja iliyoko mezani. Mambo ya what if inadhihirisha hata hufahamu hata hiyo hoja achilia mbali position ya hoja na kwa maana hiyo, huwezi hata kutafuta angalizo katika hoja.

Tunarudi kule kule kwenye siasa za Tanzania ambapo andiko lako linachagiza/linakubaliana na kile ambacho nilikisema pamoja na kwamba wewe unafikiria hoja yako inaipinga hoja yangu.

Nilisema kwenye bandiko langu hapo juu kuwa wananchi wengi wa Tanzania ni bendera fuata upepo kwa vile hawajitambui nikiwa na maana kuwa, wale waliokuwa wafuasi wake wameishageuzwa na upepo wa wanasiasa wengine na kumuacha Mansoor kwa sababu walikuwa hawajitambui, na hata kule walikoenda watakuwa vile vile hawafahamu na hawajitambui. Ili mradi bendera fuata upepo.


Ni wapi ulimnukuu au ulimsikia Mh. Zitto akisema kuwa yeye ni maarufu kuliko taasisi?.

Ndiyo yale yale ya kuishi kwa hisia zinazochagizwa na mapungufu kifkra na kimtazamo ambao inakuwa ni rahisi sana kulishwa maneno na kumeza bila kuuliza WHY?.

By the way, kuhama chama ni maamuzi ya muhusika kwa matakwa yake na hili wala siyo kosa lake wala la chama chake. Kosa la chama na wafuasi ambao ni fuata bendera ni kumlisha maneno au matukio ili kumshinikiza kwa nguvu ahame na asipohama, basi chama kimfukuze.

Kama ungefahamu kuwa kuweka sahihi kwenye contract yoyoye haichukui hata sekunde tano lakini kuvunja contract huwa ni kama kuusukuma mlima, basi usingekuja na hoja nyepesi kama hii ya kusema ahame chama.


Mkuu huyo Matola ni mwehu mwehu na mpu.uuzi tuh

Hana haja ya kupoteza muda wetu,wala hana ya kukaa na kufanya nae mjadala

Ni mtu wa kupuuzwa na ikibidi unamzaba kibao na kuendelea na mambo mengine ya msingi

Tokea lini taifa hili likaongozwa na makengeza bana?

Wachaga zao ni biashara,sasa wanataka kwenda ikulu kufanya nini??

Wapuuz sana
 
Last edited by a moderator:
albert msando ni wakili makini huwezi kumfananisha na makanjanja wakina tundu lisu
 
nilishasema na ninasema tena. lisu anakutan ana vilaza anawagalagaza mnamwona kichwa, ngoja akutane na wanaume wanoijua sheria mtashangaa wenyewe, sheria haina mwenyewe, wote bado tunajifunza, sheria ni pana sana kwani inatafsiriwa kulingana na kesi yenyewe si kama ilivyo hesabu 1+1= 2, unahitajika kuumiza kichwa haswa, kam ani kilaza wa kukariri itakula kwako, msio wanasheria muiheshimu taaluma yetu kama tunavyoheshimu za kwenu
 
Msando kama kweli ana nia ya dhati ya kusaidia watanzania wenzake,basi ni vema akaanzia kwenye kata yake ya Mabogini,kwa mgeni anayefika kwenye hiyo kata kitu cha kwanza kuuliza lazima aulize kuna diwani hapa,na hii ni kutokana na barabara ya kuelkea huko ilivyo mbovu utafikiri njia ya Ng'ombe,sasa kikifika kipindi cha mvua ndio balaa na sijui masika ya mwaka huu kama itawaponyesha wakazi wa kata hiyo?
 
Kweli bongo tambarare; Kumtetea ZZK tayari umekuwa mjadala mkubwa kuliko kujadili rasimu!! Tuachekutumia nguuuuvu hoja ambazo sio za msimgi saaaana. hapa ni kama ubishi wa baa tu
 
Alberto amekataliwa na wananchi wake mabogin leo hii atatuambia nn watanzania.Kazi yake kulala na wasanii wa kike na hata mkewe Jack amechoshwa na tabia ya dume hili.Kuwa bright darasani haimaanishi kuwa na uwezo wa kutawala au kuwa na elimu dunia ya kujua mahusiano na watu au makundi nbalimbali
li katika jamii.Msando like his friend ni watu wanaopenda umaarufu na mamlaka.

Lete ushahidi wa hayo uliyoandika. kwa upande mwingine

1. KATIBU: Dr slaa amezaa na anaishi na mtu (mbunge viti maalum) ambaye kisheria ni mke wa mtu, wakati yeye mwenyewe kisheria ni mume wa mtu (mbunge wa viti maalum)
2. MWENYEKITI: Mbowe amezaa na mbunge wa viti maalum, wakati yeye mwenyewe kisheria ni mume wa mtu.

sioni kwa nini unahoji uadilifu wa diwani badala ya kuanzia kwenye nafasi hizi za juu!
 
Back
Top Bottom