Wakili Albert Msando EATV kwenye mikasi!

Wakili Albert Msando EATV kwenye mikasi!

mpingauonevu

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Posts
621
Reaction score
434
wakuu wakili huyu yuko kwenye kipindi karibuni msio na taarifa ila nilikuwa simjui kumbe ni kijana hivi!
 
wakuu wakili huyu yuko kwenye kipindi karibuni msio na taarifa ila nilikuwa simjui kumbe ni kijana hivi!

Ni kijana mdogo lakini anaonekana ni kichwa sana.. Hawa ndo vijana tunao wataka kwenye chama... Wakishirikiana na akina Zitto, Mnyika, Lemma, nk kwa kweli CHADEMA ni mpango wa Mungu.
 
Kumbe wamesoma wote chuo kikuu, zitto waziri Msando Spika..
Wametoka mbali..
 
Ametulia sana ni kichwa, nimegundua hana chuki yoyote na chama.!
 
Ni kijana mdogo lakini anaonekana ni kichwa sana.. Hawa ndo vijana tunao wataka kwenye chama... Wakishirikiana na akina Zitto, Mnyika, Lemma, nk kwa kweli CHADEMA ni mpango wa Mungu.
Zitto labda kama kuna chama cha mahakama huko ndio kunamfaa.
 
Ni kijana mdogo lakini anaonekana ni kichwa sana.. Hawa ndo vijana tunao wataka kwenye chama... Wakishirikiana na akina Zitto, Mnyika, Lemma, nk kwa kweli CHADEMA ni mpango wa Mungu.
Wee Bangoo,

Umemtaja ZZK? Ni uhaini kutaja jina Hilo wenye chama hawataki hata kumsikia!

Kazi kwako Subiri mitusi sasa
 
Kumbe zito anahasili ya usaliti na fitina tangu chuoni....

DOGO.
"amesema zitto alimfanyia fitina na hujuma ya kutaka kumgoa msando akiwa spika wa bunge la chuo, wakat zitto ni waziri mkuu...alipambana mpaka police walikuja"

Kweli wemetoka mbali sanaaa.
 
Wee Bangoo,

Umemtaja ZZK? Ni uhaini kutaja jina Hilo wenye chama hawataki hata kumsikia!

Kazi kwako Subiri mitusi sasa

ukisikia mtu anakwambia Zitto na vijana wengine wa chama ni wasaliti ujue hao sio wajuaji wa mambo.. Watu duniani kote hutofautiana kimawazo.
 
We unamfikia kielimu, au unamkashifu tu, kwa sababu za kijinga.

Namzidi sana Alberto Msando, yeye ni mwanasheria mimi nina professional yake na nyingine tofauti.
Nikueleweshe tu, elimu sii kigezo ila una-deliver kinachotakiwa ktk jamii??
Hawa nawafahamu, mawakili ni matapeli tu uwa, rusha, piga watu wakili akija mpe hela atakutetea.
Niko hapa Arusha niko nao nawaelewa kijana.
Dogo yuko kwenye Advert, usiogope nchi imeshakuwa sufuria hii mahala kuna loophole za kijinga ndiyo watu kama nyie mnaona KAZI.
 
ukisikia mtu anakwambia Zitto na vijana wengine wa chama ni wasaliti ujue hao sio wajuaji wa mambo.. Watu duniani kote hutofautiana kimawazo.

Jiunge naye Facebook, Zitto ni mwenyekiti wa Chadema Facebook. kwenye chama hana chake na mnaoshabikia ubongo wenu umeoza.
 
Back
Top Bottom