gimmy's
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 3,340
- 3,394
u young maxvi.,,yeyote anaeshikamana na zitto ni msaliti,mzandiki,mnafki,mkuda,
Hatuburuzwi,zito ni akili kubwa kuliko babu na mbowe
u young maxvi.,,yeyote anaeshikamana na zitto ni msaliti,mzandiki,mnafki,mkuda,
Squarely............!
Hatuburuzwi,zito ni akili kubwa kuliko babu na mbowe
Tundu Lissu na makelele yake, kwa huyu dogo alituliza mori!
yule jamaa kichwa
Nilikua najua utakuja tu we hayawani! Unawezaje kumchukia mtu ambaye hauko size moja nae? It shows how stupid you are. Let me tell you Zitto siyo size yako. Yuko juu sana. Size yako ni Yericko Jobless mwenzako. Humfikii Zitto kwa lolote labda unachomzidi ni hiyo bangi unayovuta!
Dogo ni kichwa ndiomana akakubali kumtetea zito naona angelisimama kwa kina lisu ilikuwa anapoteza sv za uwakili mtu kama msando ndio wanaotakiwa nchi hii sio hao waze wa chuki na visasi mbowe na dr slaa na vifaranga vyao lisu lema msigwa na mshika mic sugu sas hapo unategemea chama kwenda mbele nyambafu
povu lanini kima wewe
u young maxvi.,,yeyote anaeshikamana na zitto ni msaliti,mzandiki,mnafki,mkuda,
Kwanini unahangaika hivyo! Thread ya Msando hii hao wengine watoka wapi pimbi?
Hao ndo wafuasi wa Chadema, chama kinachotaka kikabidhiwe nchi. Wanachojua wao ni matusi. Bora nchi hii iongozwe na teja kuliko Chadema
Jinsi mlivyo na bidii ya kuuza sembe mnategemea kizazi kipi zaidi ya kuzalisha mateja? zuzu wewe.Hao ndo wafuasi wa Chadema, chama kinachotaka kikabidhiwe nchi. Wanachojua wao ni matusi. Bora nchi hii iongozwe na teja kuliko Chadema
Wewe si umeamia CCM kuliko tena.
Jiunge naye Facebook, Zitto ni mwenyekiti wa Chadema Facebook. kwenye chama hana chake na mnaoshabikia ubongo wenu umeoza.
Matola, naungana na member mmoja anayesema, umepandikizwa chuki, unamchukia zitto lakini huna sababu, just hating....in any case endelea kumchukia tu.
Wengine tutaendelea kumpenda tu, lakini tutaona kipi kina nguvu kati ya upendo na chuki, just time will tell
Mkuu hizo ndizo sifa zetu watanzania wengi ambazo mojawapo ni kuamini amini tu bila hata kuhoji kwa nini unaamini.Matola, naungana na member mmoja anayesema, umepandikizwa chuki, unamchukia zitto lakini huna sababu, just hating....in any case endelea kumchukia tu.
Wengine tutaendelea kumpenda tu, lakini tutaona kipi kina nguvu kati ya upendo na chuki, just time will tell