eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 15,737
- 14,000
Mnakamata vidagaa ambavyo vinabeba kwa mifuko kwa ushrikiano wa Watanzania.
Siku mtakamata papa wa Kiarabu na Wahindi na Wazungu ambao wameitafuna hiyo nchi yenu tangu jadi, ndio siku nitakubali mumeanza kupata muamko mpya na mtatoka kwenye umaskini.
Lakini hadi hiyo siku ifike, mtaendelea na hizi show za PR
Sasa wewe issue ya makinikia unafikiri ni nani wamekamatwa.
Unafiki yule ceo wa barick toka kanada na ndege binafsi alikuja kutembea? Wamekamatwa mpaka wanakanyagana.
CC: Joto La Jiwe