Wakenya wanatuacha mbaaali sana Watanzania, Kwanini?

Tatizo la bongo atupendani hasa tuishio uswahilini mfano mtoto wa fulani amefahulu mtihani wa 4kidato basi hapo wanamuombea njaa au ukitaka kwenda nje watakuambia huko hamna maisha unabanwa sana kwenye kodi imaladi tu akukatishe matumaini ya kwenda
 
Sisi Watanzania kutoka Ukanda wa Pwani tangu hapo ni vilaza; tunachoweza ni madrasa! Ndugu mleta mada, unataka kusema hata wale Watanzania wa mikoa ya bara na mikoa ya Kaskazini wenye IQ kubwa nao hujawaona huko? Au ndo wao wanaendaga Uropa na Marekani kwa dada zao?! Mleta mada acha uongo wako bhana, hebu fanya tafiti zako vizuri! Goooosh! Kumbe umefanya utafiti kwenye makambi ya Wakimbizi... ndo maana! Hebu piga pande za IMF, World Bank, Wall Street, UNDP and in fact, kama shida yako ni kuona ma-hostess and pilots wa Kitanzania; stop searching for us kwenye mashine za kuruka angani... na badala yake tutafute kwenye airlines like Emirates, Qatar or at least British or Turkish Airlines!
Wee Baradhuli hujui lolote bora Ufunge Choo chako (domo) kinachonuka!! wee hujui hiyo MADRASA ndiyo iliyo funza AMANI na kulea Upendo kati ya makabila hapa nchini kuanzia miaka 1749~2016 !!!
Umekuja kutokea msituni kwanye mapango na mahandaki ndo ukaikuta Nchi isha jengeka!! Now you dare to speak!!
tuuupu tuuth yako!!
 
Mjinga mmoja. Kwani lazima utukane Madrasa? Shwaini weee. Mbona sisi wengine tumesoma Madrasa na naweza kukuajiri kama msafisha nyumba yangu. Kama huna la kuchangia usitukane watu. Shwaini tena.
Ahsante Mpendwa..mpe zake huyo Mlemavu wa akili Nyangau mzoga!!
chige
 
Tanzania bwana hatutaki kwenda nje kuwekeza, kama tunataka tuimaishe uchumi wetu na kutoa ajira kwa taifa letu, kwanza serikali piga ua lazima ifufue ATCL, ianze kwenda africa yote na nchi za nje, hapo itakuwa easy kuanza kuwapeleka watanzania kwenda nje kusimamia company yetu wenyewe, bank zote NMB,NBC,CRDB,ziende kote africa na east africa, TBC isilale tu tanzania, waende kenya, rwanda, burundi ,uganda kote wakawekeze, tusisubiri wao waje, dunia ya leao kila nchi inatafuta soko na kuwekeza kwa ajiri ya watu wao, tusijidanganye eti watu watoke nje waweke tanzania na wato ajira zote kwa watanzania, ndo maana unaona kenya wamelijua hilo, utaona wanakuja tanzania, uganda, rwanda na nchi nyingi za africa kuwekeza. Ukienda hata SA, zambia, Botswana, huko kote utakuta kenya wana mabank au supermarket, na wanaosimamia ni wao, utakuta hata supermet kubwa za wahindi nchi za kusini mwa africa lakini ndani yake wakenya wameinvest haiyo BATA wanauza viatu made in china lakini zimepikwa brand za kenya (e.g BATA). Tukianza kwenda nje kuwekeza na tukaexport watanzania kwenda kule kufanya kazi tayari watu watakuwa na exposure, pili wataitangaza nchi, leo hii kila ukienda popote dunia KQ imetawala, kwenye ndege zao wanapiga kiswahili na ngeli na wanatangaza mlima kilimanjaro inakuwa vigumu mtanzania kusema kilimanjaro is in tz or tanzanias speak swahili. Serikali ya tanzania iko too political sana, haijakaa kimaendeleo zaidi, inatakiwa serikali ianze pia kuongea na wafanyabiashara wa tanzania, na kuwapatia pesa waje east africa kuwekeza hata , mfano mengi, kina azam hao, na wote wenye vituo vya tv, redio na magazeti ili watoe ajira kwa watanzania nchi husika. Invest zinazofanywa na kenya hata tanzania wanaweza, sema serikali yetu haina mipango, wafanya biashara wrtu pia wametulia, sasa ni jukumu la serikali to encourange them na kuwalinda kote waendako kwani wamebeba maisha ya watanzania na pia watatoa kipato kwa taifa. serikali inatakiwa kwa sasa iendeshwe kibiashara zaidi. Ukija kwenye swala la lugha -engilish hii sio point kubwa sana, mfano makampuni makubwa na menfu duniani hata mashirika ya fedha wanaajiri sana wahindi kuliko wachina au wajapan, lakini serikali ya china inachofanya inakwenda katika nchi mbalimbali kuwekeza, pia inatoa pesa nyingi kwenye makampuni ya china kwenda nchi kwekeza hivyo kutoa ajira kwa raia wao. Dunia nzima ,kila mahali uendapo kote utakuta wachina wengi wamejaa, uliza wanafaya kazi wapi, utakuta wanakuambi ni kampuni either china wuyi, sijui Huawei, au ZTE, obi, wenbee, china bank,CCTV, startimes, china airline, ......, kwenye kampuni zao tu , hivyo kutoa ajira nynigi kuliko nchi yeyeote duniani, na misha yanakwenda, tunaweza tukawa na mode hii ya investment , na hii ni safe zaidi. Kwa hiyo lugha sijui english sio kikwazo hata dakika moja. Mimi nakiri kabisa tanzania hatujapata viongozi wanojua kucheza kete vizuri, yaani wanaojua kucheza politics over neighbor countries,tunatakiwa tupate viongozi wanaojua fitina za maendeleo , leo hii geita gold mine, serikali miaka yote hiyo bado hawajapata uzoefu wowote ,serikali haiwezi fungua kampuni na kwenda kongo kuanza kuchimba madini kule tukishirikiana na serikali ya kongo? JWTZ iko kule inalinda nini wakati huo hata punje ya kampuni yetu haiko kule? mie naona wamarekani wanapeleka majeshi nchi fulani kulinda maslahi yao, angalia putin syria kakomaa, kwa sababu ya maslahi yao, let's wake up, Zuma raisi wa SA alimuingiza mkenge kikwete wakapeleka majeshi kongo, wakati huo makampuni yote yanayochimba dhabhabu kongo ni ya SA, dunia hii tukilala sana tumeliwa.
 
Watanzania tukubali Wakenya wanatuzidi kwenye nyanja nyingi sana huo ndo ukweli na utabakia kuwa ukweli.

1.Nenda pale TIC Tanzania Investment centre cheki Taifa la pili kuwekeza Tanzania kwa wingi ni Kenya,Je sisi ni wangapi kule kwao?

2. Watanzania hatuthamini vitu vyetu. Nenda Kenya kama kuna mkenya anatazama sijui TBC, au ITV au EATV, ila Tanzania kila siku ni ciityzentv, au KCB,
3. Sijawahi ona magazeti ya Tanzania kenya but Magazeti ya Kenya Tanzania ni hadi mtwara unayapata.

3. Wakenya wanafanya kazi sana, na wanajituma na hii ni kutokana na shida walizo nazo.

4. Nenda kacheki barabara zao flyover zao, sisi wakati tunaplani kujenga fly over wao wanajikita kwenye treni za umeme.

Wabongo tunaoneana wivu sisi kwa sisi, tunarudihsana nyuma sisi kwa sisi, mchawi wetu ni sisi wenyewe, kuanzia taasisi za serilkali mpaka wananchi wenyewe.

Kenya wako mbali sana, hilo halina ubishi, na kushindana nao inahita kazi na si porojo, hatuwezi shindana nao kwa porojo za vijiweni na kwenye keybord.
Namba 2 mkuu upo wrong,nishaenda kenya mara nyingi tu,kwenye matatu radio yao kubwa waipendayo ea radio ya mengi,kwenye tv eatv na clouds tv uwaambi kitu mungiki,na nimeshafanya nao kazi nchi mbalimbali,ni wafuatiliaji wakubwa blog za kibongo na bongofleva
 
tukafanye nini nje wakati hapahapa kwetu kuna njia nyingi za kutafuta money, mbali na kuajiriwa kuna biashara ndogondogo nyingi tu hapa bongo, zinaingiza pesa kwa haraka ambazo hazihitaji hata great capital, tatizo ni uvivu wa kujishughulidha matokeo yake tunabaki kulalamika pasipokuwa na benefits yeyote
 
Jiulizeni kwanini wakenya wengi wanakimbia kufanya Kazi Nje ya nchi yao,ungeleta sababu zinazowafanya kwenda Nje ndio ningeweza kukujibu,
 
Mjinga mmoja. Kwani lazima utukane Madrasa? Shwaini weee. Mbona sisi wengine tumesoma Madrasa na naweza kukuajiri kama msafisha nyumba yangu. Kama huna la kuchangia usitukane watu. Shwaini tena.
Wee Baradhuli hujui lolote bora Ufunge Choo chako (domo) kinachonuka!! wee hujui hiyo MADRASA ndiyo iliyo funza AMANI na kulea Upendo kati ya makabila hapa nchini kuanzia miaka 1749~2016 !!!
Umekuja kutokea msituni kwanye mapango na mahandaki ndo ukaikuta Nchi isha jengeka!! Now you dare to speak!!
tuuupu tuuth yako!!
Ahsante Mpendwa..mpe zake huyo Mlemavu wa akili Nyangau mzoga!!
chige
Mkuu msamehe bure mjinga Huyo,,
Ume

Umeandika utumbo,,
Nyie ni watu wa ajabu sana na mnajidhalilisha mbele ya watu wenye uelewa! Ikiwa mnashindwa kuelewa mtu akiandika kwa Kiswahili, ni lugha basi mtakayoweza kuelewa? Post yangu ni hii hapa:
Sisi Watanzania kutoka Ukanda wa Pwani tangu hapo ni vilaza; tunachoweza ni madrasa! Ndugu mleta mada, unataka kusema hata wale Watanzania wa mikoa ya bara na mikoa ya Kaskazini wenye IQ kubwa nao hujawaona huko? Au ndo wao wanaendaga Uropa na Marekani kwa dada zao?! Mleta mada acha uongo wako bhana, hebu fanya tafiti zako vizuri! Goooosh! Kumbe umefanya utafiti kwenye makambi ya Wakimbizi... ndo maana! Hebu piga pande za IMF, World Bank, Wall Street, UNDP and in fact, kama shida yako ni kuona ma-hostess and pilots wa Kitanzania; stop searching for us kwenye mashine za kuruka angani... na badala yake tutafute kwenye airlines like Emirates, Qatar or at least British or Turkish Airlines!
Badala ya kuisoma kwa vituo na kuilewa mnaanza kumwaga matusi. Humu JF watu wanasemaje? Sio kwamba watu wa Pwani ni vilaza na kwamba hakuna wanachofahamu zaidi ya madrasa?! Na mleta mada kasemaje? Sio kwamba kwenye taasisi za nje wamejaa Wakenya na Watanzania wanapatikana kwa kutafuta?! Na mimi kwa kuwakejeli watu wa bara wanaojiona wao ndo wenye akili sana na wamesoma sana; ndipo nawaambia sisi wa Pwani sawa ni vilaza na hakuna tunachofahamu zaidi ya madrasa; sasa nyie wasomi sana na wale wa Kaskazini wenye IQ kubwa mbona hawaonekani huko wanakoonekana Wakenya??!! Yaani hadi nasema mleta mada ni muongo aende kuangalia World Bank, IMF, Wall Street Qatar Airways n.k kama hawajakuta Watanzania lakini bado tu hamjashituka? Angalia hao watu wa bara... ingawaje huwa wanashabikia sana post zinazowakejeli watu wa pwani na Waislamu lakini hii post hakuna hata mmoja aliyeishabikia kwavile wenzenu washafahamu kwamba nawakejeli lakini nyie na kutoelewa kwenu mnakurupuka from nowhere na kuanza kumwaga matusi!

Watu wanasema JF ni Home of Great Thinker kwahiyo watu tunaamini hata ukitumia sarcasm journalism bado watu wataelewa tu! Sasa kama kila kitu mtaendelea kukisoma kama magazeti ya Shigongo; them am very sorry for you guys!
 
WEWE kama Rijali na dume kweli.." basi Omba samahani tu" just say Apoology"!! usijitetee... ulisema kilicho kuwa moyoni mwako kwa kupitia domo lako!!!
 
Ngoja nikupuuze manake hujui unachoongea! Halafu avatar yako ni picha ya wanawake na ikiwa na wewe ni mwanamke halafu una lugha chafu namna hii then am very sorry for you!
 
Na kuwasifia koooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooote... Kenya imeshindwa kutibu ukabila na ukanda... Nenda kenya uone huo ukabila then uje usimulie hapa
Wee Mwenyewe una ubaguzi uliyo kubuhu !!! afu unawataja wa kenya !! Jirekebishe kwanza..., Hata TZ kuna chembe chembe za ubaguzi.
 
chige,

Mimi toka mwanzo nimekuelewa kiundani mno na nimekufahamu akhui.

Tupo pamoja nadhani Ikhwaani wakikusoma kwa kituo watakuelewa.

Ahsanta!
 
Ngoja nikupuuze manake hujui unachoongea! Halafu avatar yako ni picha ya wanawake na ikiwa na wewe ni mwanamke halafu una lugha chafu namna hii then am very sorry for you!
WWEE OMBA SAMAHANI... usijitoe ufahamu. MUUNGWANA HUKUBALI MAKOSA YAKE !! acha kukimbia the truth!
 
Sasa chukua hii!!!! mpaka sasa nje ya Tanzania hasa Ulaya na at least kule niliko fika mimi ukiwa park au puplic places yoyote ukiongea kiswahili na nduguyo iwe kwa simu au mko wawili au zaidi utasikia hata ka ajuza kakikuuliza '' are you Kenyan? for sure utasema Noooo am Tanzanian..... utakakasikia tena Tanzania? where is that ..... sasa hapo inabidi ukaze misuli hasa Tanzania is Country of Kilimanjaro .... katarudi tena Kililmanjaro not in Kenya? noooooo is in Tanzania.... Ok so where is Tanzania... ukitaka ufupishe maneno na ka ajuza hako wewe sema is comibination of Zanzibar and Tanganyika.... hapo mapengo yote utayaona nje ...... Zanzibaaaaaa I want to go there before I die.... wanaijua Zanzibar kweli watu wa ughaibuni.... huku Afrika Tanzania inafahamika sana japo umaarufu wa Zanzibar uko juu sana... kuhusu Kiswahili hawa wakenya wametupora tena.... amini usiamini.... wengi wanajua Kiswahili asili yake ni KENYA hasa huko Uzunguni
Yaani ni shida kweli kweli mdau!!!!
 
chige,

Mimi toka mwanzo nimekuelewa kiundani mno na nimekufahamu akhui.

Tupo pamoja nadhani Ikhwaani wakikusoma kwa kituo watakuelewa.

Ahsanta!
Laa hasha !! ustaadhi RITZ chige hana haki wala hana upendo kwa kuitumia MADRASA kwa njia hiyo!! FYI, Madrasa ndo chimbuko la elimu na Ustaarabu hapa nchini tangu enzi hizo!! Na Kama ulitaka kuthibitisha mTZ aloshika nafasi za juu ona SALIM A SALIM !!
 
chige,

Mimi toka mwanzo nimekuelewa kiundani mno na nimekufahamu akhui.

Tupo pamoja nadhani Ikhwaani wakikusoma kwa kituo watakuelewa.

Ahsanta!
Bhana eh; yaani najisikia hadi aibu!! Yaani mtu unamwambia soma kwa vituo lakini bado tu hataki kuelewa! Anyway, hata hivyo namshunguru Mungu nimejizuia kutumia lugha walizotumia dhidi yangu manake mambo mengine inabidi tu mtu uwe mstahimilivu!!!
 
Mpka leo sijui ni kwanini sisi Watanzania tuko nyuma ya waKenya kwa maujanja sijajua naomba nanyi mnijuze hapa!!!!Mimi hapa nitatoa ushahidi kama kuna mtu atapinga basi apinge kwa ushahidi.

Wakenya wanaongoza kwa madiaspora tena waKenya wengi wako kwenye kazi za maana ughaibuni. Ukweli usemwe!!

1. Nimefika Dubai Airport, mweusi anaefanya Duty free karibia zote ni mKenya... Kiswahili analonga
2. Airlines maarufu nyimngi waKenya wako pale wengine kama ma Pilots na maairhostess, anaebisha atoe nae hoja yake!!! . Mfano shirika la ndege la Fly Dubai wakenya wako pale waTZ Ziiiii why!!!

3. UNHAS hili ni shirika la la ndege la WFP kwenye Humanitarian movement, nimefika South Sudan, WaKenya ndio ma airhostess na ma Pilot karibia wote!!!, nikasema labda hapa SSD pekee maana ni jirani... aaa wapi bwana niko hapa DRC, waKenya ndio marubani wa ndege Zote za UNHAS na ma airhostess wote .. wanalonga kiswahili na English, asie elewa kazi kwake mkenya yuko job bwana.... why not waTZ?

4. Service providers wengi kwenye Humanitarian movment ni wa Kenya...... South Sudan kwa mfano Internet service provider wakubwa wa Visat, na items nyingine wakenya alieyefika WAU ni shahidi ..... Hapa DRC nilipo provider Mkenya!!!!

5. Kwenye hizi ndege biskuti, karanga, korosho made in Kenya!!!!!! imagine hata chakula cha wakimbizi kinatoka Kenya mfano PPN na maziwa anaebisha amwage hija!!!

5. Siku moja niko kwenye warsha mara akasimama Field manager mmoja akiongea kifaransa kibovu bovu akichangia mada nikashawishika nimuulize asili yake kwenye ''pose cafe''kwa kifaransa changu cha ma---vi ma...vi akacheka na kuniambia wewe jombaa mimi nduguyo.... mimi mkenya toka wakati huo tukawa ndugu.... mkenya tena!!!!!. Baada ya hapo nikaja kugundua maboss wengi hapa kwenye nyanja ya Humanitarian iwe UN iwe wapi ni Wakenya .....

Sisi ukisikia mtu akaenda America basi kafuata kaka yake .... au dada yake aliolewa na mzungu... ukimwambia South Sudan au Afghanstan utasikia aaaaa wapi nikafeee? au ukishare hapa job opportunities wataku PM kukuulza kuhusu usalama utasikia '' aaa mkuu wanalipa lakini? natumaje maombi? wakati kila kitu kimejieleza kwenye tangazo ... mwisho kabisa ATAKUAMBIA LAKINI MKUU USALAMA VIPIi? ..... imagine hata waganda wametushinda pale Iraq-Najaf Airport kuna kampuni moja ya ulizi waganda watupu mpaka mademu waganda.

Hapa Goma tulikua waTZ w 4 tu mmoja katimka ni member humu JF japo siji ID yake, tumebaki wa 3 tu lakini wakenya wa kumwaga tena huko UN ndo wamejaa... Uzuri wa hawa jamaa wakiwa nje ya Kenya ni kiswahili tu wakiwa wao kwa wao au wakikutana na wa TZ.....

Msinielewe vibaya sina maana ya kujisifia niliko swampa ila siku moja niko Bar moja huko Cote d'ivoire Abidjan mara wakaaingia hawa jamaa ... wanalonga kiswahili nikajisogeza niwasikie maana walikua wakizungumzia siasa za nchi yao .... waKenya tena sikuona mTZ hata mmoja pale SHIDA Ni nini?

Ila kwa UN mission za kijeshi nasisi tuko safi

Jana nimekereka sana nikitoke BENI Rubani Mkenya... Msaidizi... Mkenya.... Airhostess Mkenya.... Karanga na biscukuti tulizopewa made in Kenya.... aaaaaa wajameni WHY??????

Tutoke waTZ uoga haufai... wengi wetu sasa ni wanasiasa kila mtu POLITIK why???

Hakuna asiye na cha kumzidi mwenzie hapa Duniani,waTanzania pia tuna vya kwetu wasivyokua navyo waKenya,au hujawah kua Kenya ukasikia wao wanaizungumzaje Tz?lazima tujikubali pia ni bola zaidi yao,penda kwenu na pambana kua kama wengine kwa kile cha tofauti kua nacho!
 
Bhana eh; yaani najisikia hadi aibu!! Yaani mtu unamwambia soma kwa vituo lakini bado tu hataki kuelewa! Anyway, hata hivyo namshunguru Mungu nimejizuia kutumia lugha walizotumia dhidi yangu manake mambo mengine inabidi tu mtu uwe mstahimilivu!!!

basi al akhi yaishe
 
Back
Top Bottom