Wakenya wanatuacha mbaaali sana Watanzania, Kwanini?

Wakenya wanatuacha mbaaali sana Watanzania, Kwanini?

Laa hasha !! ustaadhi RITZ chige hana haki wala hana upendo kwa kuitumia MADRASA kwa njia hiyo!! FYI, Madrasa ndo chimbuko la elimu na Ustaarabu hapa nchini tangu enzi hizo!! Na Kama ulitaka kuthibitisha mTZ aloshika nafasi za juu ona SALIM A SALIM !!
Afro-Arabica,

Tupo pamoja dada yangu.
 
basi al akhi yaishe
Kwangu wala hainisumbui na ndio maana ingawaje wote wamenitusi lakini hamna hata mmoja niliyemtusi manake nafahamu tatizo lao ni kuelewa ingawaje pia inakera kuona ingawaje mtu unamwelewesha lakini bado anazidi kumwaga matusi!!
 
Bhana eh; yaani najisikia hadi aibu!! Yaani mtu unamwambia soma kwa vituo lakini bado tu hataki kuelewa! Anyway, hata hivyo namshunguru Mungu nimejizuia kutumia lugha walizotumia dhidi yangu manake mambo mengine inabidi tu mtu uwe mstahimilivu!!!
Audhubillahi Minna Shetwani rajim !! KumRadhi ndugu Mpendwa... Natanguliza Msamaha na naomba tusahameheane kwa yaliyotokea. Al-Afu minnak.
Mie binfsi sikukusudia , ila kama ujuavyo kuna hisia humu JF hutugusa sehemu sensitive Nasi Lazima tujidefendi !!
By the way mimi nina hodhi Madrsa 18 ukanda huu wa Pwani.... So ni haki yangu kulinda haki ya wanafunzi wangu wema.
Kindly accept my Apology.
Ritz
DesertStorm
chige
 
Sina tatizo wala kinyongo na mtu vinginevyo huenda ningeanza na Sijali tangia jana ambapo pamoja na kumwambia asome kwa vituo lakini bado kabisa hakutaka kunielewa! Lakini kwa kuwa umetaka msamaha, basi umepata na hakuna japo tone la inda ndani yake manake tangia hapo, nilijua ni tatizo la matumizi ya aina za uandishi!
 
Ubarikiwe .. Your Goodness.
 
Once upon the time I worked as Online Contractor na moja ya kazi nyingi ambazo nilikuwa nakutana nazo ni Swahili-English-Swahli Translation or Transcription! Awali nilidhani huko ndiko ambako ningekutana na Watanzania but in most cases, Mbongo nilikuwa natokeaga peke yangu na waliosalia wote ni Wakenya! Sasa mbinde ndo ukutane na Swahili-English transaltion cleaning ambayo originally ilifanywa na Mkenya... utatamani ardhi ipasuke kama bajeti uliyowekewa ni ndogo!!!

Yaani huko duniani Wakenya ndo wanafahamika kwamba ndo watalaamu wa Kiswahili!!!! To be honest, Watanzania tupo less aggressive!
siyo huko duniani wanajua Kenya ndo wanajua tu kiswahili, bali hata na Mt. Kilimanjaro wanajua uko kwao.
Sasa hapa ndo nnashindwa kuelewa sisi ni wasindikizaji
 
siyo huko duniani wanajua Kenya ndo wanajua tu kiswahili, bali hata na Mt. Kilimanjaro wanajua uko kwao.
Sasa hapa ndo nnashindwa kuelewa sisi ni wasindikizaji
Basi kuna dada mmoja na yeye kenda ughaibuni basi ile kutaka kuipaisha Tanzania, akataka kuvaa Kimasai! Nikamwambia hoya, acha uboya wewe... kama unataka kuvaa Kimasai we vaa tu kwa mahaba yako lakini watakaokuona moja kwa moja wao watadhani ni Mkenya!! Yaani ughaibuni--
  • Kiswahili ni cha Wakenya
  • Kilimanjaro ni Kenya
  • Wamasai ni exclusively Kenya
  • Tanzanite Kenya!
Kweli hawa jamaa ni manyang'au 😉😀🙁 But, you know what? Si kwamba hawa jamaa wana akili sana bali ni very aggressive na ni good thing mtu kuwa nacho!
 
Sisi Watanzania kutoka Ukanda wa Pwani tangu hapo ni vilaza; tunachoweza ni madrasa!
Usitumie wingi, sema Mimi ni kilaza,(yaani wewe ni kilaza na pwani yako, tupo majembe wengi mno kwenye hii nchi),
Tena usiorodheshe nchi yangu tz kwenye ujinga wako tafadhar.
Mbona watz tuna maisha mazuri na tunafanikiwa kwa mengi. Tunapiga mishe mishe tunapata mapene, tunajenga tunadrive.
Kama na wewe unataka jifunze kingereza ukahudumie hotel kama hao wakenya.
Huyu mleta uzi nae bure kabisa!
Yaani hili nalo linakusunbua?
 
game over sijasema hatuna maisha mazuri yawezekana tuko safi, nimesema ujanja wa kutoka na kuwania fursa za kimataifa... bidhaa za Kenya Africa yote sisi chache sana.. hapa DRC Alhamdulillah Azam kafika ila Kenya wako siku nyingi sana wanauza, cement, mabati, vyakula vya kusindika ndio usiseme... wakenya kwa fursa za nje hawajambo... wametutime hata kwa tunu yetu ya kiswahili wao ndio wanafahamika kama wataalam imagine hata Kiswahili? naipenda nchi yangu na nasema niliyoyaona huku na kule niliko pita katika kutafuta
 
Sisi Watanzania kutoka Ukanda wa Pwani tangu hapo ni vilaza; tunachoweza ni madrasa! Ndugu mleta mada, unataka kusema hata wale Watanzania wa mikoa ya bara na mikoa ya Kaskazini wenye IQ kubwa nao hujawaona huko? Au ndo wao wanaendaga Uropa na Marekani kwa dada zao?! Mleta mada acha uongo wako bhana, hebu fanya tafiti zako vizuri! Goooosh! Kumbe umefanya utafiti kwenye makambi ya Wakimbizi... ndo maana! Hebu piga pande za IMF, World Bank, Wall Street, UNDP and in fact, kama shida yako ni kuona ma-hostess and pilots wa Kitanzania; stop searching for us kwenye mashine za kuruka angani... na badala yake tutafute kwenye airlines like Emirates, Qatar or at least British or Turkish Airlines!
Ulipaswa ujiite kilaza mwenyewe
 
Huyu mzee alikuwa na akili sana tatizo ni kutotengeneza wanasiasa makini katika muda wake vinginevyo tungekuwa mbali sana.
 
game over sijasema hatuna maisha mazuri yawezekana tuko safi, nimesema ujanja wa kutoka na kuwania fursa za kimataifa... bidhaa za Kenya Africa yote sisi chache sana.. hapa DRC Alhamdulillah Azam kafika ila Kenya wako siku nyingi sana wanauza, cement, mabati, vyakula vya kusindika ndio usiseme... wakenya kwa fursa za nje hawajambo... wametutime hata kwa tunu yetu ya kiswahili wao ndio wanafahamika kama wataalam imagine hata Kiswahili? naipenda nchi yangu na nasema niliyoyaona huku na kule niliko pita katika kutafuta
Sawa mkubwa nmekupata, ila kulaumu pekeake haisaidii, yafaa tufanye jambo.
Mimi kidogo nahofia hii jamii ya baada yetu, haina msingi mzuri wa kupambana na hizi changamoto.
 
Sawa mkubwa nmekupata, ila kulaumu pekeake haisaidii, yafaa tufanye jambo.
Mimi kidogo nahofia hii jamii ya baada yetu, haina msingi mzuri wa kupambana na hizi changamoto.

Sisi wa Kizazi cha Mwalimu ndio shida....mimi nafikiri hata uzalendo sisi umekua ni shida sana waKenya wanatafutiana kazi sana nje... sisi mtu yuko tayari awatafutie waTZ wenzie kazi ya manamba Oman avute mshikoo kwa kujifanya agent huku akiwanyonya nduguze....Imagine kila fursa ambazo kwa kawaida ni zetu hawa jamaa wanapora nasisi tunalalama kama mimi tu hapa... zile serengeti ile immergration ya wanyama wanapokea sana wageni Kenya kuja kuiona kuliko sisi, na wageni wengi wanajua eti ni Masai mara animal imergration wakati kiuhalisia ni yetu wameshindwa Zanzibar japo na hawa jamaa zetu wakiwa nje wanajitambulisha kivyao.... Sisi tulioko nje ndio wa kulaumiwa sana... tuitangaze nchi yetu na kuvyta ndugu zetu tuache ubinafsi... Wizara ya mambo ya nje nayo watufanyie lobying waTZ ili tuchangamkie fursa... Medias zishitishe watu imagine Congo Kubwa sana lakini kila mTZ ukimtajia Congo anafirkiria Mauwaji tu wakati kule Kinshansa hata kuna watu hawaijui Bunduki kabisa labda ya Poilice...kuna maaeneo Congo kuna amani sana...SSD mpaka wauza chapati ni Waganda na waKenya.... labda huko South Africa ambako sijawahi fika.... sijui ni Lugha? hata sijui
 
Kwani aliyekwambia kwamba TanZania ni mshindani wa Kenya ni nani?
Si swala la ushindani na Wakenya. Huyo bwana katoa uchambuzi mzuri kabisa. Ukiishi maisha ya kivyako vyako hutaki kujifunza kwa jirani yako aliyekupita kimaendeleo basi wewe ni mtu mwili tu na kichwa kimejaa maji huoni kesho. Unaridhika tu na maisha ya ulofa uliyonayo. Na ndio maana unaposema hatushindani na wakenya ni mtizamo finyu sana. Hakuna zuri la Tanzania ambalo Wakenya hawaigi. Ndio maana mwenye uzi huu kasema wametuzidi kwa maujanja ujanja. Kumbuka walimu wa kiswahili sehemu nyingi za ulaya ni Wakenya angali kiswahili kimelala Tanzania.
 
Mpka leo sijui ni kwanini sisi Watanzania tuko nyuma ya waKenya kwa maujanja sijajua naomba nanyi mnijuze hapa!!!!Mimi hapa nitatoa ushahidi kama kuna mtu atapinga basi apinge kwa ushahidi.

Wakenya wanaongoza kwa madiaspora tena waKenya wengi wako kwenye kazi za maana ughaibuni. Ukweli usemwe!!

1. Nimefika Dubai Airport, mweusi anaefanya Duty free karibia zote ni mKenya... Kiswahili analonga
2. Airlines maarufu nyimngi waKenya wako pale wengine kama ma Pilots na maairhostess, anaebisha atoe nae hoja yake!!! . Mfano shirika la ndege la Fly Dubai wakenya wako pale waTZ Ziiiii why!!!

3. UNHAS hili ni shirika la la ndege la WFP kwenye Humanitarian movement, nimefika South Sudan, WaKenya ndio ma airhostess na ma Pilot karibia wote!!!, nikasema labda hapa SSD pekee maana ni jirani... aaa wapi bwana niko hapa DRC, waKenya ndio marubani wa ndege Zote za UNHAS na ma airhostess wote .. wanalonga kiswahili na English, asie elewa kazi kwake mkenya yuko job bwana.... why not waTZ?

4. Service providers wengi kwenye Humanitarian movment ni wa Kenya...... South Sudan kwa mfano Internet service provider wakubwa wa Visat, na items nyingine wakenya alieyefika WAU ni shahidi ..... Hapa DRC nilipo provider Mkenya!!!!

5. Kwenye hizi ndege biskuti, karanga, korosho made in Kenya!!!!!! imagine hata chakula cha wakimbizi kinatoka Kenya mfano PPN na maziwa anaebisha amwage hija!!!

5. Siku moja niko kwenye warsha mara akasimama Field manager mmoja akiongea kifaransa kibovu bovu akichangia mada nikashawishika nimuulize asili yake kwenye ''pose cafe''kwa kifaransa changu cha ma---vi ma...vi akacheka na kuniambia wewe jombaa mimi nduguyo.... mimi mkenya toka wakati huo tukawa ndugu.... mkenya tena!!!!!. Baada ya hapo nikaja kugundua maboss wengi hapa kwenye nyanja ya Humanitarian iwe UN iwe wapi ni Wakenya .....

Sisi ukisikia mtu akaenda America basi kafuata kaka yake .... au dada yake aliolewa na mzungu... ukimwambia South Sudan au Afghanstan utasikia aaaaa wapi nikafeee? au ukishare hapa job opportunities wataku PM kukuulza kuhusu usalama utasikia '' aaa mkuu wanalipa lakini? natumaje maombi? wakati kila kitu kimejieleza kwenye tangazo ... mwisho kabisa ATAKUAMBIA LAKINI MKUU USALAMA VIPIi? ..... imagine hata waganda wametushinda pale Iraq-Najaf Airport kuna kampuni moja ya ulizi waganda watupu mpaka mademu waganda.

Hapa Goma tulikua waTZ w 4 tu mmoja katimka ni member humu JF japo siji ID yake, tumebaki wa 3 tu lakini wakenya wa kumwaga tena huko UN ndo wamejaa... Uzuri wa hawa jamaa wakiwa nje ya Kenya ni kiswahili tu wakiwa wao kwa wao au wakikutana na wa TZ.....

Msinielewe vibaya sina maana ya kujisifia niliko swampa ila siku moja niko Bar moja huko Cote d'ivoire Abidjan mara wakaaingia hawa jamaa ... wanalonga kiswahili nikajisogeza niwasikie maana walikua wakizungumzia siasa za nchi yao .... waKenya tena sikuona mTZ hata mmoja pale SHIDA Ni nini?

Ila kwa UN mission za kijeshi nasisi tuko safi

Jana nimekereka sana nikitoke BENI Rubani Mkenya... Msaidizi... Mkenya.... Airhostess Mkenya.... Karanga na biscukuti tulizopewa made in Kenya.... aaaaaa wajameni WHY??????

Tutoke waTZ uoga haufai... wengi wetu sasa ni wanasiasa kila mtu POLITIK why???
sisi ni wa mchangani mkuu hata rais wetu tangu kuapishwa hajavuka bahari
 
Huyu mzee alikuwa na akili sana tatizo ni kutotengeneza wanasiasa makini katika muda wake vinginevyo tungekuwa mbali sana.

Hii hakuisikia JK au alijifanya anajua zaidi baada ya kupokea uprofesa wa Kichina? Kwa kweli mtu yeyote angefuatilia tu maelekezo ya Nyerere nchi isingefika hapa. Wote akina Mkapa na JK walijidai wanajua zaidi kuliko huyu bwana. Huyu aliona mbali sana.
 
Msumeno Umenena
Wenzetu wakenya wanapenya sana kwa sababu tayari wanajua dunia hii inaenda vipi.Watanzania bado tupo mbali na ukitaka kujua kuwa watanzania bado tupo mbali angalia tu mabalozi wetu walio wengi jinsi wanavyowachukulia watanzania huko waliko,utakuta mabalozi wanawaona wabongo walioko nje kama vile wote ni wazamiaji haramu,mtanzania huna uhuru na ubalozi na pia hamna msaada labda kwa watu maalum tu ambao mara nyingi wanakuwa mainfoma.Mbongo akiwa afisa ubalozi utakuta ananyata vibaya na wanakuwa na roho mbaya sana je kwa hali kama hiyo wabongo tutachomoka kweli.Wabongo walioko nje wapo tayari kuwasaidia watu wengine kuliko wabongo wenzao ndio maana hata wazenji mara nyingi hutukimbia wabongo kwa sababu wanatujua sisi ni roho mbaya,ukiwa na roho mbaya huwezi kuchomoka.Wakenya wanasaidiana sio mchezo na pia wanaitangaza nchi yao.Kenya kila mwaka diaspora inaingiza karibu dala mil 30 kwenye nchi yao uliza bongo.
Kwanza inabidi tubadilike viongozi wetu ikiwa ni pamoja na maafisa ubalozi waache ushamba waige mfano mzuri wa balozi syks na sarakikya.Jk alijaribu kuifunulia anga bongo but wabongo kelele kibao ooh raisi anasafiri sana tuacheni ushamba.
Bongo kupata tu leseni ya kuuza muhogo ntwara shida je tutaweza kuingiza bidhaa zetu angani?
 
Back
Top Bottom