Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,671
- 8,237
Tumeyataka Wacha WatunyoosheWkaenyawanavipaji vingisana kuliko TZ
Sisi tumeweka Siasa za maji taka mbele.
Watanzania ni wajuwaji sana ,lakini kielimu tupo chini mno.
Hata hivyi ,hizo biashara zinazosifiwa ni za Wakenya mnajuwa ni wakenya wa jamii ganiwaliowekeza zaidi?
Mii nadhani Wahindi na pengine Wasomali,
sisi Waswahili tunasubiri Vibarua tuu.
Mitaji yetu midogo , Business management zetu ni Poor.
Mswahili kabakia mtu wa Kutumwa tuu na Kulipwaga mishahara.
Sisi fedha za umma zinanunua ndege lakini zinaitwa ndege za Lipumba, je mashabiki wa Mbowe watafurahia, ubinafsi wa kipumbavu unatutafuna mkuuWakenya mambo ya viwanda walianza muda mrefu sana pia taratibu za kujali vya kwao ipo kwenye damu.
Wao waliwahi fursa huku kupitia lugha ya kiingereza ndio maana wengi walifanikiwa hata kama hajasomea lakini lugha inapanda aliheshimiwa.
Pia wabinafsi sana utawekeza Kenya lakini mkenya alifanya hiyo biashara lazima waende kwa mkenya kwanza. Mtizamo wangu
Siasa imeharibu sn nchi yetuIngewezekana ila changamoto kubwa tunakwamisha. Njaa zetu zinazua matatizo mengi sana
Please bold this. This is the major reason for the gap between TZ and KE.When it Comes to Aggressiveness in Business To be Frank Kenyans WAMETUZIDI.
- The Reason is Clear. Bcz After After Independence Tz took Ujamaa Policy which is Non Hostile .
While Kenya took Ubepari na Ukabaila.
Which takes the Form Fit for the Fittest. Belligerent and Struggling.
- The Result is as what is Seen Now, When it Comes to Private Sectors.
- Tanzanians may Face a Bit of Hostility when Trying to set up Business, But Gradually with Government Protection, Future Equity is Possible.
Wakuu
Kenya ina jumla ya kampuni 529 zinazoendesha shughuli zake nchini Tanzania ambapo zimewekeza Dola za Marekani Bilioni 1.7 na zimeajiri watu 56,260.Tanzania sisi sasa Tuna makampuni 30 tu Tumekwama wapi kama Nchi?
Nini kifanyike..Waaalimu...Wahudumu katika hoteli nyingi ni Wakenya wapi wizara zetu na wale watoa maamuzi wanaweka mkakati wa pamoja juu ya hili.