Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,488
- 13,608
Mpaka leo hii tunaongelea kukosekana kwa muunganiko wa utendaji kazi baina ya wizara moja na nyingine na ni jambo ambalo Rais analisema mbele ya mawaziri wake!, kujilinganisha na wakenya wa sasa bado ni kufanya makosa.
Msingi wao ni wa ubepari tangu taifa lao lilipoanzishwa, wamefundishwa kutoka jasho ili mtu afike juu kimaisha. Na masuala ya ukabila ni sehemu ndogo tu ya udhaifu wao kitaifa.
Tunayo bahati kwamba kwa sasa tunao watu wengi wenye elimu kubwa na uelewa mpana wa dunia ya leo, hivyo matumaini yapo ya kuja kufika walipofika majirani hawa.