joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,613
Vipi kuhusu warundi ambao kila mwaka tunapokea watalii kati ya elfu 50 hadi elfu 70 toka Burundi?. Wakenya wana maisha magumu sana kuliko wananchi wote wa EA. Waganda wengi sana huenda kutembelea Kenya kipindi hiki, he wana hali nzuri kuliko wakenya?Ukweli ni kwamba waKenya wana ahueni sana kimaisha ndiyo maana wanaweza kusave na kuja ketembea huko Arusha, Moshi na kwingineko. Tujiulize sisi ni watu wetu wangapi wanauwezo wa kwenda holiday Kenya?