Wakenya waanza kumiminika Tanzania kwa kasi

Ukweli ni kwamba waKenya wana ahueni sana kimaisha ndiyo maana wanaweza kusave na kuja ketembea huko Arusha, Moshi na kwingineko. Tujiulize sisi ni watu wetu wangapi wanauwezo wa kwenda holiday Kenya?
Vipi kuhusu warundi ambao kila mwaka tunapokea watalii kati ya elfu 50 hadi elfu 70 toka Burundi?. Wakenya wana maisha magumu sana kuliko wananchi wote wa EA. Waganda wengi sana huenda kutembelea Kenya kipindi hiki, he wana hali nzuri kuliko wakenya?
 
Tanzania tutembee tu kifua mbele kama kawaida, huko Kenya saivi ni wakati sasa ambao wakenya wanaanza kutoa zile pesa wamekua wakidunduliza kwa mwaka mzima ili tu watimize ile ndoto yao ya muda mrefu kuona Tanzania.

Karibuni majirani kwa wingi. 😄
Ila hakikisheni mnaheshimu na kufuata sheria zetu za nchi.

View attachment 959186
 
Wakenya wanaoenda uganda ni wengikushinda wanaoenda tz
Wacha maneno weka music, waganda wengi hutembelea Kenya kuliko waganda wanaokuja Tanzania. Wakenya wengi hutembelea Tanzania kuliko watanzania wanaotembelea Kenya. Watanzania wengi hutembelea Zanzibar na Zambia. Watanzania wapo very sensitive na security kuliko kitu kingine, Kenya is not safe enough for Tanzanians to visit.
 
Wakenya wengi huenda Uganda..kwanza uganda hakuna haja ya passport ni ID tu ...watu wa western kenya kila weekend wanaenda uganda kwa wingi
 
Ukweli ni kwamba waKenya wana ahueni sana kimaisha ndiyo maana wanaweza kusave na kuja ketembea huko Arusha, Moshi na kwingineko. Tujiulize sisi ni watu wetu wangapi wanauwezo wa kwenda holiday Kenya?
Sasa mtanzania aende Kenya kufuata nini jamani just frankly speaking?
 
Wanaokuja kuomba omba watakuambia hufuata nini, nyie kwa mlivyo maskini hamuna jeuri ya kutalii ila kuomba omna.
Sio kwamba watanzania hawatalii me binafsi nina uzoefu mkubwa kwenye industry ya tourism Tanzania

The fact ni kwamba Tanzania kila mkoa una at least two massive national parks, mind you 35% of the great Tanzania is the reserve area bigger land, sasa ni mwananchi gani ataenda Kenya kwa ajili ya utalii?

Mfano unapotoka Namanga ukifika Longido kuanzia Longido mpaka karibu na Ngaramtoni all that bigger land has plenty of wildlife of different varieties lakini wala hata sio National Park lakini kuna zebras, impala, giraffes, lions and so forth sasa mwananchi wa hapo aende Kenya kufuata nini?
 
Hamnaa nyie maskini wa kutupwa hata nchi yenu ndani hamtalii, ni wachache sana kwenye jeuri hiyo, wengi mnasota Dar.
Kazi kutujazia omba omba Kenya.
 
Hamnaa nyie maskini wa kutupwa hata nchi yenu ndani hamtalii, ni wachache sana kwenye jeuri hiyo, wengi mnasota Dar.
Kazi kutujazia omba omba Kenya.
Tena Tanzania ina wider networks of standard roads yaani road trips tu unaitalii nchi yako vilivyo, huko Kenya penye Barabara za lami ni lower Kenya lakini County nyingi lodwaa, marsabit, wajir, kitale, lokichokio hakuna lami Kabisa ni vumbi tupu pamepauka utafikiri palipigwa bomb la atomic pabaya hakuna mvuto pakame ptuuuuu
 
Wakenya wengi huenda Uganda..kwanza uganda hakuna haja ya passport ni ID tu ...watu wa western kenya kila weekend wanaenda uganda kwa wingi
Naomba ushahidi kwa hili unalosema, hatuzungumzii daily movements kwa biashara, tunazungumzia wanaokwenda kula BATA. Wakenya ni miongoni mwa idadi kubwa ya watalii wanaotembelea Tanzania. Wakija kamwe hawachangii hata 5% ya watalii wa Uganda.
 
Tena Tanzania ina wider networks of standard roads yaani road trips tu unaitalii nchi yako vilivyo, huko Kenya penye Barabara za lami ni lower Kenya lakini County nyingi lodwaa, marsabit, wajir, kitale, lokichokio hakuna lami Kabisa ni vumbi tupu pamepauka utafikiri palipigwa bomb la atomic pabaya hakuna mvuto pakame ptuuuuu

Likija suala la barabara yaani pamoja na kwamba Tanzania ni kubwa kuzidi Kenya karibia mara mbili lakini Kenya inaizidi Tanzania kwa mtandao wa barabara tena zenye ubora...that's a fact. Tunaizidi Tanzania kwa kila kitu. Kumbuka middle-class wa nchi ndio hutalii nchi yao, sasa nyie kwenu wachache ndio wamekidhi uchumi wa kati, wengi wenu walalahoi wa Dar.
Asilimia 70% ya Watanzania ni maskini wa kutupwa hiyo ni kwa mujibu wa taarifa za benki kuu, mumetujazia omba omba Kenya, yaani Tanzania ndio nchi pekee ukanda huu wote ambayo raia wake hutoka nje ya nchi kwenda kujidharirisha kwa kuishi kama omba omba.
Halafu hapa EAC, Watanzania ndio wanalipwa mishahara duni, hilo tumeona juzi taarifa za utafiti zilizochapishwa humu. Halafu ukizingatia utawala wa leo jinsi umewakazia, vyuma vimekaza kote mnalia kilio cha mateso kwa jinsi mumekosa hela kitaani, sasa za kutalii mtatoa wapi.
Nimeona wengi mumeanza kumlilia Membe aje awakwamue ili mpate afueni hata ya kula bata.
 
Kenya overtakes America as leading source for visitors to
Wakenya wanaokuja Tanzania kila mwaka ni 234,000. Nina uhakika wakenya wanaoenda Uganda hawazidi 100,000 kwa mwaka. Kama unapinga lete ushahidi.
👏👏👏👏 Hii ni picture tosha kwamba Tanzania ina ushawishi wa hali ya juu kwenye hii region

Hakuna kipindi niliona rangi zote za wakenya kama kipindi kile cha Bill ya free land occupation to the member states walikua wanataka kila mtu kwenye jumuiya awe na uhuru wa kumiliki ardhi kwenye nchi wanachama

Kikwete alivyokataa wakenya walikua vichaa sababu walikua wameshajiseti Bill ikipita basi Tanzania ingekua Kenya on the spot

Hakuna nchi wakenya wanaihusudu kama Tanzania
 
Likija suala la barabara yaani pamoja na kwamba Tanzania ni kubwa kuzidi Kenya karibia mara mbili lakini Kenya inaizidi Tanzania kwa mtandao wa barabara tena zenye ubora...that's a fact. Tunaizidi Tanzania kwa kila kitu. Kumbuka middle-class wa nchi ndio hutalii nchi yao, sasa nyie kwenu wachache ndio wamekidhi uchumi wa kati, wengi wenu walalahoi wa Dar.
Asilimia 70% ya Watanzania ni maskini wa kutupwa hiyo ni kwa mujibu wa taarifa za benki kuu, mumetujazia omba omba Kenya, yaani Tanzania ndio nchi pekee ukanda huu wote ambayo raia wake hutoka nje ya nchi kwenda kujidharirisha kwa kuishi kama omba omba.
Halafu hapa EAC, Watanzania ndio wanalipwa mishahara duni, hilo tumeona juzi taarifa za utafiti zilizochapishwa humu. Halafu ukizingatia utawala wa leo jinsi umewakazia, vyuma vimekaza kote mnalia kilio cha mateso kwa jinsi mumekosa hela kitaani, sasa za kutalii mtatoa wapi.
Nimeona wengi mumeanza kumlilia Membe aje awakwamue ili mpate afueni hata ya kula bata.
Utamdanganya mtu ambae hajafika Kenya ila sio mimi

Hizo counties fukara nilizozitaja kila mtu huko dream yake ni kufika Nairobi ili atoke kimaisha sababu Kenya development is now marginalised bali ni kwenye counties chache hasa zilizotoa viongozi serikalini kuendana na makabila yao

Lakini pia hizo counties ni masikini wa kutupwa sababu ya ufinyu wa natural resources hawana kitu kinaitwa nature capital like fertile land, forests, minerals, attraction sites hivyo hawana alternative ya other means like industrial parks au other means of productions ndio maana wapo fukara

Unlike Tanzania, resources are everywhere hakuna kijana mwenye dream ya kwenda Dar labda apeleke mazao yake huko na bahati nzuri Tanzania development projects are marginalised equally Barabara za lami kila mkoa, umeme, huduma za maji, huduma za afya na elimu hakuna tofauti kubwa za kimikoa Tanzania

Ndio maana a tiny Nairobi is carrying multitude of population beyond its capacity limited resources tofauti na Dar mji mkubwa watu kidogo lakini Nairobi mji Mdogo watu wengi.
 
Deluded Tanzanians. In matters of infrastructure you are as behind as a dinosaur's tail. You have the poorest road network in the region. Rwanda,Kenya and Uganda leads in quality roads.
Always living in denial and exaggerating achievements. When will you stop?
The important thing you have to know is Tanzania development erupted in these around 15 years ni kweli hapo nyuma Tanzania was behind mfano kwenye sector ya Barabara, do you know what criterion gave JPM the power to win the 2015 general election?

Do you know where his world known nickname BULLDOZER came from?

In only 5 years while he was a minister for infrastructure he built more than 30,000 kilometers of trunk roads

Now around Tanzania there are contractors for more than 15,000 kilometers of roads in the sites
 
Back
Top Bottom