Anayesema Wakenya wana akili kuliko watanzania kwa matukio haya mawili akapimwe akili

BIG THINKER

JF-Expert Member
May 20, 2018
680
1,420
Nilikuwa sitaki kuingia kwenye huu mjadala wa Nan mwenye akili kati ya mtanzania na mkenya ila Sasa inanilazimu niingie kufungua mjadala huu iliodumu kwa muda mrefu.

Kuna matukio MAWILI yametokea Kenya na yamedhihirisha uwezo mdogo wa kufikili walionao WAKENYA.

Mtu anakwambia ufunge HADI ufe na unafunga hili kwa mtanzania huwezi kutoboa atakusikiliza na kukubaliana na ww ila atakula kwa Siri na utashangaa kuona hafi na anakwambia amefunga.

Nasema hivi siyo kwamba mchungaji wa aina hii TANZANIA hajawah kutokea hapana kwa mnaokumbuka mwka 2015 tukielekea kwenye uchaguzi Kuna mchungaji alijiyokeza akasema watu wafunge bila kunyws Wala kula kwa siku 40 Ili taifa lisiingie kwenye machagufuko anayoyaona mbele huyu hata waumin wake walifunga nae ila mwisho wa siku alikutwa amekufa yeye siku ya 36 huku hakuna hata muumini Mmoja aliyekufa.

Hii inamaanisha walimchora tu na kujifanya wamefunga nae kumbe hola akafa mwenyewe mpaka Leo watu wanaendelea kula ugali fresh.

Nakuja....
 
Tukio la 2

Kuna mchungaji mwingine wa Kenya aliwaambia WAKENYA watukise simu zao et ndiyo zipate pesa za ghafra na WAKENYA bila kuwaza wakatikisa na hakuna kitu kiliingia , huyu kama hujamuona yuko Ytube angalia namna WAKENYA walivyotikisa sim kama wendawazim et wapate Hela za bila kujua zinatoka wap

Sasa mm nasema hakuna mkenya anaweza kumzidi mtanznia akili na ukitaka ulijue Hilo mchukue mkenya na mtanzania wenye elimu sawa uwatupe ulaya bila kuajiliwa utakuta mtanzania maisha yake yanaendelea bila wasiwasi ila mkenya atalia njaa hutaamin.

Ipo mifano mingi sana

WAKENYA hawana uwezo wa kuhoji ukiwawine lolote utakalowaambia wanafanya lakin WATANZANIA ujipange sana.
 
Hili bandiko japo linafurahisha lakini lina ukweli, mtanzania hawezi kufunga hata kwa siku moja haiwezekani, wakenya wenye akili ni wachache mno. Tatizo huwa wanaona kujua kuongea kingereza ndio akili
Nilikuwa sitaki kuingia kwenye huu mjadala wa Nan mwenye akili kati ya mtanzania na mkenya ila Sasa inanilazimu niingie kufungua mjadala huu iliodumu kwa muda mrefu.

Kuna matukio MAWILI yametokea Kenya na yamedhihirisha uwezo mdogo wa kufikili walionao WAKENYA.

Mtu anakwambia ufunge HADI ufe na unafunga hili kwa mtanzania huwezi kutoboa atakusikiliza na kukubaliana na ww ila atakula kwa Siri na utashangaa kuona hafi na anakwambia amefunga.

Nasema hivi siyo kwamba mchungaji wa aina hii TANZANIA hajawah kutokea hapana kwa mnaokumbuka mwka 2015 tukielekea kwenye uchaguzi Kuna mchungaji alijiyokeza akasema watu wafunge bila kunyws Wala kula kwa siku 40 Ili taifa lisiingie kwenye machagufuko anayoyaona mbele huyu hata waumin wake walifunga nae ila mwisho wa siku alikutwa amekufa yeye siku ya 36 huku hakuna hata muumini Mmoja aliyekufa.

Hii inamaanisha walimchora tu na kujifanya wamefunga nae kumbe hola akafa mwenyewe mpaka Leo watu wanaendelea kula ugali fresh.

Nakuja....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tofauti ya wa Tz na wakenya. Wakenya wanaimani Kali sana ya kikristo while watanzania sio kiivyo tuna akili mbadala na dini mbadala sio rahisi kwetu
 
Nope,nadisagree na wewe,wale watu walifanyiwa ile kitu,we unadhani kwa akili za kawaida wangekubali?
Walitrainiwa for long,hiyo ni cult sio normal.
Shida ya wakenya wanapenda pesa na kujituma kulikopitiliza yaani by force by fire.
Wakiokolewa wewe unaemuokoa anakuita muuaji.daaah ndio nikaamini hii dunia kuna mengi siyajui.
Hao waumini ningekuwa mjeda ningewapa slap hot hot ndio vichwa zishtuke,ni Kama hawajielewi.

Huyo pasii alikuwa na motive behind itakuwa mbona yeye alikuwa anakula na familia yake.
 
Nilikuwa sitaki kuingia kwenye huu mjadala wa Nan mwenye akili kati ya mtanzania na mkenya ila Sasa inanilazimu niingie kufungua mjadala huu iliodumu kwa muda mrefu.

Kuna matukio MAWILI yametokea Kenya na yamedhihirisha uwezo mdogo wa kufikili walionao WAKENYA.

Mtu anakwambia ufunge HADI ufe na unafunga hili kwa mtanzania huwezi kutoboa atakusikiliza na kukubaliana na ww ila atakula kwa Siri na utashangaa kuona hafi na anakwambia amefunga.

Nasema hivi siyo kwamba mchungaji wa aina hii TANZANIA hajawah kutokea hapana kwa mnaokumbuka mwka 2015 tukielekea kwenye uchaguzi Kuna mchungaji alijiyokeza akasema watu wafunge bila kunyws Wala kula kwa siku 40 Ili taifa lisiingie kwenye machagufuko anayoyaona mbele huyu hata waumin wake walifunga nae ila mwisho wa siku alikutwa amekufa yeye siku ya 36 huku hakuna hata muumini Mmoja aliyekufa.

Hii inamaanisha walimchora tu na kujifanya wamefunga nae kumbe hola akafa mwenyewe mpaka Leo watu wanaendelea kula ugali fresh.

Nakuja....
Little thinker huwezi linganisha mataifa mawili hivyo. Kuna watanzania walienda uwanja wa ndege bila viza wala passport wala tiketi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom