pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,344
Mfumo mbovu wa elimu ukiambatana na mifumo mibovu ya kiutawala, matokeo yake huwa ni aibu kama hizi;
Huyo hapo ni mbunge aliyeteuliwa na rais wa Tz kama naibu waziri, akishindwa kusoma kiapo chake cha uwaziri. Hizi ndio athari tulizojiepusha nazo tulipoandika katiba mpya ya Kenya 2010. Mifumo ya ajabu ajabu kama hiyo ni kikwazo kikubwa mno kwa maendeleo ya nchi na watu pia hapa barani Afrika.
Yaani hapo kwa madaraka ya kulevya ambayo yamekabidhiwa mtu mmoja, uteuzi unafanya kiholela bila usaili(vetting) kutoka kwa mihimili mingine, au hata shirika lolote lingine la kiserikali. Tena mbaya zaidi ni kwamba sio kwenye nafasi za uwaziri tu.
Huu ndio mfano mzuri wa sampuli ya viongozi ambao huwa wanabebwa na maagizo ya 'mzee', kutoka kwa 'primaries' za wagombea ubunge ndani ya vyama. Hadi kwa uchaguzi mkuu ambapo huwa wanashinda kwa 'kishindo', kupitia mgongo wa Tume ya Uchaguzi ambayo sio huru, iliyojawa na uoga na mahakama ambazo zinapokea maagizo 'kutoka juu'.