Wakenya tufundisheni jinsi ya kumake dollars online

Greg50

JF-Expert Member
Feb 11, 2014
1,953
2,431
Habari wakuu,

Baada ya kutafiti mitandaoni nimegundua kuwa kuna Kenyans wengi sana wanaotumia mitandao kujipatia pesa kama freeelancers na tutors compared to Tanzanians.

Mfano ni website moja inaitwa Idea connection nimeona humo Kenyan experts wako zaidi ya 700 wakati Tanzanian experts wako 80 tuu.

Tunaomba Kenyans mtupe tips mbalimbali ili tuweze nasi kutumia mitandao vyema kwa faida badala ya kushinda tuu WhatsApp, Instagram, Twitter bila faida yeyote.
 
Kimsingi uwe mpambanaji na mwenye subira..... Huwa nawaona vijana wengi hapa Kenya siku hizi wanakesha na laptops wanajituma balaa
Pia pitia pitia Quora mara nyingi, humo wataalam wengi huzijadili What are some good freelance websites to earn money by solving assignments? - Quora
 
Shukrani
 
Habari wakuu,

Baada ya kutafiti mitandaoni nimegundua kuwa kuna Kenyans wengi sana wanaotumia mitandao kujipatia pesa kama freeelancers na tutors compared to Tanzanians.

Mfano ni website moja inaitwa Idea connection nimeona humo Kenyan experts wako zaidi ya 700 wakati Tanzanian experts wako 80 tuu.

Tunaomba Kenyans mtupe tips mbalimbali ili tuweze nasi kutumia mitandao vyema kwa faida badala ya kushinda tuu WhatsApp, Instagram, Twitter bila faida yeyote.
Pale Tanzania kuna vijana wengi pia wana vuna pesa nyingi through online forex trading., if u are interested find out, I met some in Mombasa around 2019 in a forex seminar, wako vizuri sana, it is a high risk business, requires attention and being Keen to detail, a lot of study, ukitilia maanani na kuelewa then utakua mbele sana!
 
Back
Top Bottom